Nipeni mawazo kwenye hili

yanii saa kumi inafikaa chap tuuu 😀 😀 😀 kama umemkulaa bhasi mwambie ukweli kuwa umekwama kupata ila jua ndo penzi litadoda kabisaaa.. sema anyway kuwa single kama huna HELAA maana utaumiza kichwaa bure. elfu 25 huna sasa demu wa watu si unampotezea muda???
 
😂😂😂😂
mdogo wangu una mipango ya muda mrefu, me kuna mtu kaniambia atanibebisha mpaka tuvunje wote...!!

Mac Alpho
Dada angu! Kama ulishapiga simu kwa kaka ukaomba elf 50 ujazie rejesho au kununua hisa wallah me aje aniulize tarehe ya kuvunja. Hakii nampa 🤣🤣🤣👋
Maana hiko ni kikoba chenu, sio chako peke ako 🏃‍♀️🏃‍♂️
 
Wee njoo chaputa mzeya...vizuri umekubaliana na hali yako kuwa huwezi kumiliki demu.
Mie nilivyogundua hilo nimekuwa na amani sana maishani
 
Kwanza sijawahi kuomba pesa ya kikoba[emoji16]

Nakomaa mwenyewe,nitaomba za vocha nk.
Kabisa yan
Bora usogeze hela ya mafuta ukagonge hisa zako, af ya mafuta uendelee kuomba.

Ila kikoba hamna 😂😂
 
Yani hapo inatakiwa amwambie mapema dada wa watu kuwa hana hela ili akadange pengine sio sa kumi ifike ndio aseme mwenzie atachanganyikiwa [emoji28][emoji28]
 
Yani hapo inatakiwa amwambie mapema dada wa watu kuwa hana hela ili akadange pengine sio sa kumi ifike ndio aseme mwenzie atachanganyikiwa [emoji28][emoji28]
mkuu unauzoefuu sanaa na hawa viumbee...yani hapo ashapata uhakika wa hela ya kikoba sasa huyu jamaa aje kuleta ukengeee ghaflaa aiseee huwa wanamind wengine mpaka kutukanaa 😀 😀 😀
 
mkuu unauzoefuu sanaa na hawa viumbee...yani hapo ashapata uhakika wa hela ya kikoba sasa huyu jamaa aje kuleta ukengeee ghaflaa aiseee huwa wanamind wengine mpaka kutukanaa 😀 😀 😀
Na penzi litaishia hapo [emoji28][emoji28]
 
[emoji3][emoji3] daaah sawa mkuu
 
Yani hapo inatakiwa amwambie mapema dada wa watu kuwa hana hela ili akadange pengine sio sa kumi ifike ndio aseme mwenzie atachanganyikiwa [emoji28][emoji28]
mpaka kuombwa yeye kuna wasela kadhaa kama yeye washaombwa. Kati ya 5 mmoja lazima atatuma. Ikitokea wengine wakatuma ni faida kwa muombaji.

Kuna demu niliwahi kumrekebishia simu yake, msg zilikuwa zinagoma kutuma. Nilichokutana nacho whatsapp ana broadcasting group yenye namba kadhaa. Maudhui ya humo ni moja tu. My naomba nitumie (kiasi kadhaa) halafu inatumwa. Sasa hapo kuna wataouchuna, kuna watakaotuma nusu na wapo ambao watatuma yote.

Mwisho wa siku ukiona umeombwa hela usijiumize sana maana kuna wengine kama wewe wameombwa pia hivyo ukiuchuna wewe mwingine atamaliza.
 
Kabisa huo ndio ukweli [emoji28][emoji28]
 
Labda hana rejesho
Elf 25 ni hisa 5 za week.

Kuna wale wa hisa 1 elf2.. huyu ten tu kwa week
Kwetu hisa moja elf 5, na kuna ka buku hapa ka maafa looh jumla buku sita,

Kama sina nakubali nitoe adhabu ya buku kuliko kutangaza naomba naomba[emoji23]
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…