cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,159
- 181,308
Binti Ndembo uganga wake umeisha zamani, si alikiuka masharti, sahivi anaishi changalawe hapo.Nenda sehemu inaitwa Namabengo,,,utafurahi sana....pia msalimie binti Ndembo
Kaishiwa hana jipyaa, ila wakati wake alitikisa kutoa uchawi na kufufua misukule wazi wazi. Lol