Nipe uzoefu wako kuhusu Songea/Ruvuma

Nipe uzoefu wako kuhusu Songea/Ruvuma

Tripple 7, iko msamala.
Virginia, iko matarawe
Ndungunya iko Msamala

Kwa Disi, hapa ni maarufu kwa kitimoto na nyama choma.

Delight Garden park, ni cafeteria na restaurant, linapatikana mkabala na hospital ya mkoa.

Krista park, cafeteria na restaurant, inapatikana nyuma ya makao makuu ya TANESCO mkoa.

Himo Garden, restaurant na cafeteria linapatikana mkabala na Krista park.

Etc
Virginia nilipita siku moja nikaondoka na mrembo mmoja mtamu sanaa wa kinyaturu mweupee amejaa sehemu zote wakuitwa fetty..

La chaz sikupapenda kulipoa sana, but virginia was lit 🔥

Btw ruvuma imenitendea mazuri sana siwezi kusahau!
 
Virginia nilipita siku moja nikaondoka na mrembo mmoja mtamu sanaa wa kinyaturu mweupee amejaa sehemu zote wakuitwa fetty..

La chaz sikupapenda kulipoa sana, but virginia was lit 🔥

Btw ruvuma imenitendea mazuri sana siwezi kusahau!
Karibu tena kunyumba.
 
Wapi? Delight, au Krista, au Himo??
😂😂😂😂😂😂😂
Nimeipata habari eti lilipo ghorofa la shaibu kitete inabidi libomolewe🙌
Screenshot_20260209-210748.png
 
Uwanja wa maji maji, huu ni uwanja wa kihistoria, unapatikana mjini kati.

Mashujaa, hapo ni kuna kumbu kumbu ya wapiganaji wa zamani, makaburi yao na baadhi ya silaha walizotumia, eneo ni hapo Mahenge.

Soko kuu, hili linapatikana mjini kati.
Soko la bombambili,
Soko la mazao, linapatikana msamala.
Soko la samaki na dagaa, linapatikana mfaranyaki.

Peramiho mission hospital na seminari kuu,
Ni vyanzo vikuu vya tiba na Elimu kwa wamisionari wakiwa hapa enzi hizo, zinapatikana Peramiho, nje kidogo ya mji wa Songea

Maliasili, hapa kuna hifadhi ndogo ya wanyama, imeanzishwa km miaka 3 nyuma, linapatikana Mtaa wa Mkuzo.

Etc.
Kuna mwaka niliwahi kujaga huko songea, hivi ile yapenda mtini bado ipo?
 
Back
Top Bottom