Nipe uzoefu wako kuhusu Songea/Ruvuma

Nipe uzoefu wako kuhusu Songea/Ruvuma

Kwa kweli siku notice iko kitu.. ila ni mtu wa singida, mweupe sanaa na ana limzigo balaa.
Yani mzigo mpka umepitiliza!

Nina km wiki 3 hivi toka nionane nae, so sijajua km atakuwepo mpaka sasa mana si unajua wale hawakai sehemu zile muda mrefu.
Matako KWA songea yapo SANA SHIDA ni sura ni kama wilaya ya musoma TU ilivo
 
Binti Ndembo uganga wake umeisha zamani, si alikiuka masharti, sahivi anaishi changalawe hapo.
Kaishiwa hana jipyaa, ila wakati wake alitikisa kutoa uchawi na kufufua misukule wazi wazi. Lol
Sikupata taarifa hizo ni kitambo sana...mimi nilikaa pale Utwango,,nilikuwa ninakunywa ulanzi na wazee...halafu kama kawaida nikapata mushangazi binti Saidi.
 
Masasa ni halmashauri ,Songea ni manispaa

Kuna utofauti mkubwa halmashauri ,Manispaa na Jiji

Huwezi sema Jiji la Mbeya sawa na Manispaa ya Iringa

Masasi ni halmashauri tu ,Huduma za muhimu masasi hakuna mpaka uende lindi mjini au Mtwara mjini na mangine Songea
Umewahi kufanya biashara?
 
Uwanja wa maji maji, huu ni uwanja wa kihistoria, unapatikana mjini kati.

Mashujaa, hapo ni kuna kumbu kumbu ya wapiganaji wa zamani, makaburi yao na baadhi ya silaha walizotumia, eneo ni hapo Mahenge.

Soko kuu, hili linapatikana mjini kati.
Soko la bombambili,
Soko la mazao, linapatikana msamala.
Soko la samaki na dagaa, linapatikana mfaranyaki.

Peramiho mission hospital na seminari kuu,
Ni vyanzo vikuu vya tiba na Elimu kwa wamisionari wakiwa hapa enzi hizo, zinapatikana Peramiho, nje kidogo ya mji wa Songea

Maliasili, hapa kuna hifadhi ndogo ya wanyama, imeanzishwa km miaka 3 nyuma, linapatikana Mtaa wa Mkuzo.

Etc.
Hongera.
Nimetokea kukupenda saana.
-Huna hasira
-Unacheka nyakati zote(iwe ni kweli au ni au ni aina yako ya uandishi utajua wewe)
-Uko wazi kiaina
-Na kadhalika.

Anayekumiliki/unayemmiliki ana bahati ya kipekee.
 
Hongera.
Nimetokea kukupenda saana.
-Huna hasira
-Unacheka nyakati zote(iwe ni kweli au ni au ni aina yako ya uandishi utajua wewe)
-Uko wazi kiaina
-Na kadhalika.

Anayekumiliki/unayemmiliki ana bahati ya kipekee.
Ahsante sana kwa appreciation!! Nimepokea kwa mikono miwili.
🙏🙏🙏
 
Walinichanganya kucheza na mahirizi wakiwa na nguo nyeusi MCHANA kweupe na ni KAWAIDA yao, kucheA kichawi,


MAISHA simple SANA, pale stand ya ZAMANI, chips yai efu moja, UGALI kuku EF MBILI, aisee MPAKA niliogopa KULA wanatolea WAPI hivi VITU Yani MAISHA RAHISI SANA, WATOTO WA vyuo wanauza km balaa hata Dodoma hawauzi HIVO, ukimwi njenje, hospital ya uhakika IPO ya waroma nje ya mji HUKO kipindi HICHO Kuna wazungu WALIKUA wameweka Kambi pale, USAFIRI ni hiace, vitanda bei che Yani VITU bei chee SANA, DAH TARUDI ruvuma kutembea
Nimependa sana kuna uoto wa asili mzuri
 
Halafu pale Mtwara pachani .
....njia panda ya Chengena.... nilisingiziwaga mtoto
 
Back
Top Bottom