Nipe uzoefu wako kuhusu Songea/Ruvuma

Nipe uzoefu wako kuhusu Songea/Ruvuma

Virginia nilipita siku moja nikaondoka na mrembo mmoja mtamu sanaa wa kinyaturu mweupee amejaa sehemu zote wakuitwa fetty..

La chaz sikupapenda kulipoa sana, but virginia was lit 🔥

Btw ruvuma imenitendea mazuri sana siwezi kusahau!
Aisee huyo manzi si ana kithembe?
 
Wakuu heri ya jumapili,
Kwa mara ya kwanza nimefika mkoa wa Ruvuma aka Songea.

Naomba kujua maeneo muhimu nifike ili nisijilaumu nikiyajua baada ya kurudi nilikotoka!

Hayo tu wakuu, natanguliza shukrani za dating.

Uzi tayari
Nenda sehemu inaitwa Namabengo,,,utafurahi sana....pia msalimie binti Ndembo
 
Aisee huyo manzi si ana kithembe?
Kwa kweli siku notice iko kitu.. ila ni mtu wa singida, mweupe sanaa na ana limzigo balaa.
Yani mzigo mpka umepitiliza!

Nina km wiki 3 hivi toka nionane nae, so sijajua km atakuwepo mpaka sasa mana si unajua wale hawakai sehemu zile muda mrefu.
 
Back
Top Bottom