Nipe uzoefu wako kuhusu Songea/Ruvuma

Nipe uzoefu wako kuhusu Songea/Ruvuma

Aliachana na mumewe wa ndoa mzee mwenzake, akapatana na kibenteni ambaye alikua dereva wake,

Majini na mizimu ikachukia kaishiwa, japo majini yakahamia kwa binti yake, alikua anasoma Domestic Matimira, naye alikataa kuwa mganga.
😂😂😂😂😂😂😂
Kiu Nayo Haina Adabu Kabisa
Akatafuta Mwenye Kumpandisha Kileleni Kumbe Anaharibu Kazi Haa
 
Virginia nilipita siku moja nikaondoka na mrembo mmoja mtamu sanaa wa kinyaturu mweupee amejaa sehemu zote wakuitwa fetty..

La chaz sikupapenda kulipoa sana, but virginia was lit 🔥

Btw ruvuma imenitendea mazuri sana siwezi kusahau!
Mkuu, I wonder 🤔 yaani kupata mwanamke stranger kwenye bar & pub nijambo la kujivunia na la kutembea kifua mbeleeeeee basi Mimi ni mshamba wa kutupwa..
 
La Charlz, ni club na pub kubwa na maarufu iko majengo karibu na lamoly.

Chantaburi ni club na pub kubwa na maarufu tena mpya iko Bombambili.

Ruhuwiko Hunt Club, hii ni ya 3⭐ iko Ruhuwiko, ni sehemu maalumu ya watu wa heshima, maarufu na maalumu.

Bwawani, hii ni sehemu ya starehe kwa rika zote, iko Namanditi njia ya Mbinga.

Na kadhalika.
Kuna buhemba imesahau
 
Walinichanganya kucheza na mahirizi wakiwa na nguo nyeusi MCHANA kweupe na ni KAWAIDA yao, kucheA kichawi,


MAISHA simple SANA, pale stand ya ZAMANI, chips yai efu moja, UGALI kuku EF MBILI, aisee MPAKA niliogopa KULA wanatolea WAPI hivi VITU Yani MAISHA RAHISI SANA, WATOTO WA vyuo wanauza km balaa hata Dodoma hawauzi HIVO, ukimwi njenje, hospital ya uhakika IPO ya waroma nje ya mji HUKO kipindi HICHO Kuna wazungu WALIKUA wameweka Kambi pale, USAFIRI ni hiace, vitanda bei che Yani VITU bei chee SANA, DAH TARUDI ruvuma kutembea
 
Mkuu, I wonder 🤔 yaani kupata mwanamke stranger kwenye bar & pub nijambo la kujivunia na la kutembea kifua mbeleeeeee basi Mimi ni mshamba wa kutupwa..
Tunatofautiana perspectives likija suala sensitive km hilo.. we endelea kuamini unavyoona maana hatuwezi kuwa sawa.
 
Back
Top Bottom