Niolewe na yupi kati ya nimpendae ama anipendae?

hahaha hujatoa papuchi ...nyc!!!
kwanza ulikosea kusema uongo...u dnt love the guy na sio kwamba eti sio mlokole...hapo umekosea

huyo wa mkoani kusema kweli mapenzi ya mbali full uzushi tuu hamna kitu utakuwa wajidanganya.

wee kama umekufa kwa jamaa x basi tulizana atakuja kykuoa na uhamie mkoani

Asante ndugu kwa ushauri.
 
....lala nao wote..... sikilizia machine inagegedwa vipi then uje hapa UTAKUWA NA JIBU.....

.... vitoto vidogo vya kike tatizo tupu.... sasa kama humfeel why uliomba msaada kwa Mr. Y.... !!!!????
...na ww ni muuzaji kama wa corner bar tu...!!!
... & lastly walokole ndio malaya kama ulaya.... so stop using ulokole as a guard kujiona ww si mzinzi.......!!!!
 
Hatudanganyiki wana jf papuchi na mkavu ushagawa..kijana gani wamjini miaka mitatu asikule?cha msingi shine yo eyes

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Hi all,

Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, nipo njia panda.

Iko hivi, nina wachumba wawili. Mr. X na Mr. Y. Nilifahamiana na Mr. Y miaka mitatu iliyopita, hatukuwa marafiki ila tulikuwa ni watu tunaofahamiana tu kwamba huyu ni Mr. Y anafanya kazi somewhere na huyu ni Nyakwaratony anafanya kazi.somewhere.

Siku moja Mr. Y akaniomba tukutane mahali fulani ana maongezi kidogo, bila hiyana nikaenda na kumsikiliza, akaniambia ananitaka uchumba, sikumkubalia moja kwa moja ila nilimwambia anipe muda. Kiukweli sikuwa namfeel hata kidogo na mpaka sasa simfeel.

Basi baada ya mwezi hivi nikampa jibu kuwa haitowezekana. Alikubali kwa shingo upande, kisha kila mtu akaanza na hamsini zake. Lakini hakusita kunijulia hali kila baada ya muda fulani.

Siku moja nikakutana na Mr. X, Yeye simfahamu sana ila nafahamiana na kaka yake kwa muda.mrefu na kaka yake ndiye aliyenitambulisha kwake. Wadau nampenda Mr. X kupita kiasi ingawa yeye anaishi mkoani.

Tukirudi kwa Mr. Y, siku moja nilikuwa nina shida ya kitu fulani na mtu pekee aliyekuwa na chance kubwa ya kunisaidia. Nilimpigia na akanisaidia mpaka nikapata nilichotaka. Sasa Mr. Y akatumia huo mwanya kutaka kukumbushia ombi lake, nikamwambia haiwezekani kwani yeye hajaokoka.

Alichonijibu nikajikuta nachoka mpaka maini, eti hakuna shida mimi nitaokoka tu kama hicho ndio kigezo cha mimi kukupata wewe. Na siku iliyofuata ilikuwa ni siku ya ibada, akaniuliza nasali wapi, kesho yake akawahi hata kunishinda mimi. Nilidhani ni masihara, kumbe mwenzangu kadhamiria. Na hivi sasa anajiandaa kubatizwa ilhali mimi sina feeling naye. mimi mawazo, akili na moyo vipo kwa Mr. X

NOTE: Sijawahi toa papuchi kwa hao wote.

Nishaurini mwenzenu nifanyeje.

Samahani kwa habari ndefu.

Wasalaam

Nyakwaratony!

Mwonjeshe kwanza kila mmoja papuchi .... ndo utajua anaekupenda!!!
Sasa hv you are completely wrong wala usijadanganye kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!

Nakunong'oneza: papuchi ndio turufu yako pale, bila kuonjwa kwanza huwezijua nani anakupenda (shiiiiiiiiiiii.......usimwambie mtu ))))))))))))))
 
Shida haina adabu ulimkataa Y ukamkimbilia kutatua shida. Lazima itakuwa pesa hiyo mmmhh.
Sasa unataka tukushauri kati ya
Y mwenye pesa na haumpendi au
X asiye na pesa na unampenda.

Mimi naona unatamaaa, inaelekea umejua Y anapesa zaidi ya X na ndio unakimbilia huku kuomba ushauri,

Haya mie sina cha kusema, chagua then juta mbele. Tamaa mbaya sana.
 
Just go and marry the man you fall in love with. Simple and Clear.
 
Mhh. . . .huyt mtoa mada huyu. . . Mentor embu njoo usaidie huku. . .
 
Last edited by a moderator:
Nenda nafsi inakokupeleka, moyo ni darubin iliyotulia yapima bila shinikizi
 
Shida haina adabu ulimkataa Y ukamkimbilia kutatua shida. Lazima itakuwa pesa hiyo mmmhh.
Sasa unataka tukushauri kati ya
Y mwenye pesa na haumpendi au
X asiye na pesa na unampenda.

Mimi naona unatamaaa, inaelekea umejua Y anapesa zaidi ya X na ndio unakimbilia huku kuomba ushauri,

Haya mie sina cha kusema, chagua then juta mbele. Tamaa mbaya sana.

Mzuri wewe, FYI. Mr. Y hata kazi hajapata, na shida iliyonipeleka kwake sio ya kifedha bali kuniunganisha somewhere. Kumkataa mtu si mwanzo wa uadui make we were known each other before.
 
....lala nao wote..... sikilizia machine inagegedwa vipi then uje hapa UTAKUWA NA JIBU.....

.... vitoto vidogo vya kike tatizo tupu.... sasa kama humfeel why uliomba msaada kwa Mr. Y.... !!!!????
...na ww ni muuzaji kama wa corner bar tu...!!!
... & lastly walokole ndio malaya kama ulaya.... so stop using ulokole as a guard kujiona ww si mzinzi.......!!!!

We kweli Mr. President
 
Last edited by a moderator:
Okay!!!!!!!!!!!!!!There are 2 options 1. BE COURAGEOUS, UNSELFISH AND DO WHAT YOU ARE SUPPOSED TO DO! Marry the X guy, learn to love him while you make him ya slave, he will worship you and kiss the ground you work on, sweep the ocean for you and live like queen for rest of ya life. Not so quick there is a price to pay! The price is never enjoyin the SEX and always brag abt fake orgasam! SAAAAAAAAAD!!!!!!!!!! But cheer up X is workin and you will cruising around the city, shop in expensive areas you know what im sayin? Who cares abt the stupid orgasm while you roll on a BMW X6!!!!!!!!! I dont care!2. BE BRAVE, HONORABLE,STUPID, CHILDISH AND VERY NAIVE to believe on a HAPPLY EVER AFTER!!!!!!!!!!! and DO WHAT YOUR SORRY A.S.S WANTS TO DO Marry the Y guy, and keep waiting, prayin and expectin a happily ever after for the rest of ya miserable life, only to discover ITS A MYTH!!!!!!!!! Fact is and always has been that despite their difference in Di.ck sizes all men are the SAME! Mind you Marriage is the BEGINNING!!!!!!!!!!! Not so quick there is a reward for your honor and bravery to ignore and foregore THE BMW ET AL! The reward will be enjoyin the Sex to the fullest and being a very happy being who is ofcourse broke!Pardon the my language which is too direct but THATS THAT!!!!!!!!
I love you lala1 and I love your comments, but i think umechanganya madesa, comment 1 should be Y guy and 2 be X guy. au sio!
 
Hi all,

Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, nipo njia panda.

Iko hivi, nina wachumba wawili. Mr. X na Mr. Y. Nilifahamiana na Mr. Y miaka mitatu iliyopita, hatukuwa marafiki ila tulikuwa ni watu tunaofahamiana tu kwamba huyu ni Mr. Y anafanya kazi somewhere na huyu ni Nyakwaratony anafanya kazi.somewhere.

Siku moja Mr. Y akaniomba tukutane mahali fulani ana maongezi kidogo, bila hiyana nikaenda na kumsikiliza, akaniambia ananitaka uchumba, sikumkubalia moja kwa moja ila nilimwambia anipe muda. Kiukweli sikuwa namfeel hata kidogo na mpaka sasa simfeel.

Basi baada ya mwezi hivi nikampa jibu kuwa haitowezekana. Alikubali kwa shingo upande, kisha kila mtu akaanza na hamsini zake. Lakini hakusita kunijulia hali kila baada ya muda fulani.

Siku moja nikakutana na Mr. X, Yeye simfahamu sana ila nafahamiana na kaka yake kwa muda.mrefu na kaka yake ndiye aliyenitambulisha kwake. Wadau nampenda Mr. X kupita kiasi ingawa yeye anaishi mkoani.

Tukirudi kwa Mr. Y, siku moja nilikuwa nina shida ya kitu fulani na mtu pekee aliyekuwa na chance kubwa ya kunisaidia. Nilimpigia na akanisaidia mpaka nikapata nilichotaka. Sasa Mr. Y akatumia huo mwanya kutaka kukumbushia ombi lake, nikamwambia haiwezekani kwani yeye hajaokoka.

Alichonijibu nikajikuta nachoka mpaka maini, eti hakuna shida mimi nitaokoka tu kama hicho ndio kigezo cha mimi kukupata wewe. Na siku iliyofuata ilikuwa ni siku ya ibada, akaniuliza nasali wapi, kesho yake akawahi hata kunishinda mimi. Nilidhani ni masihara, kumbe mwenzangu kadhamiria. Na hivi sasa anajiandaa kubatizwa ilhali mimi sina feeling naye. mimi mawazo, akili na moyo vipo kwa Mr. X
Mdogo wangu,umeokoka
NOTE: Sijawahi toa papuchi kwa hao wote.

Nishaurini mwenzenu nifanyeje.

Samahani kwa habari ndefu.

Wasalaam

Nyakwaratony!

mdogo wangu,nimefarijika kuona umeokoka, acha kuuliza wanadam juu ya hili,funga na kumuuliza Mungu,otherwise labda haujaokoka sawasawa, fanya hili kiroho zaidi
 
Shida haina adabu ulimkataa Y ukamkimbilia kutatua shida. Lazima itakuwa pesa hiyo mmmhh.Sasa unataka tukushauri kati yaY mwenye pesa na haumpendi auX asiye na pesa na unampenda.Mimi naona unatamaaa, inaelekea umejua Y anapesa zaidi ya X na ndio unakimbilia huku kuomba ushauri,Haya mie sina cha kusema, chagua then juta mbele. Tamaa mbaya sana.
hujakosea hapo, yaana roho yake inakataa lakin tumbo ni dhaifu..
 
hongera kwa kuwa na wachumba wawili at the same time!

Hi all,

Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, nipo njia panda.

Iko hivi, nina wachumba wawili. Mr. X na Mr. Y. Nilifahamiana na Mr. Y miaka mitatu iliyopita, hatukuwa marafiki ila tulikuwa ni watu tunaofahamiana tu kwamba huyu ni Mr. Y anafanya kazi somewhere na huyu ni Nyakwaratony anafanya kazi.somewhere.

Siku moja Mr. Y akaniomba tukutane mahali fulani ana maongezi kidogo, bila hiyana nikaenda na kumsikiliza, akaniambia ananitaka uchumba, sikumkubalia moja kwa moja ila nilimwambia anipe muda. Kiukweli sikuwa namfeel hata kidogo na mpaka sasa simfeel.

Basi baada ya mwezi hivi nikampa jibu kuwa haitowezekana. Alikubali kwa shingo upande, kisha kila mtu akaanza na hamsini zake. Lakini hakusita kunijulia hali kila baada ya muda fulani.

Siku moja nikakutana na Mr. X, Yeye simfahamu sana ila nafahamiana na kaka yake kwa muda.mrefu na kaka yake ndiye aliyenitambulisha kwake. Wadau nampenda Mr. X kupita kiasi ingawa yeye anaishi mkoani.

Tukirudi kwa Mr. Y, siku moja nilikuwa nina shida ya kitu fulani na mtu pekee aliyekuwa na chance kubwa ya kunisaidia. Nilimpigia na akanisaidia mpaka nikapata nilichotaka. Sasa Mr. Y akatumia huo mwanya kutaka kukumbushia ombi lake, nikamwambia haiwezekani kwani yeye hajaokoka.

Alichonijibu nikajikuta nachoka mpaka maini, eti hakuna shida mimi nitaokoka tu kama hicho ndio kigezo cha mimi kukupata wewe. Na siku iliyofuata ilikuwa ni siku ya ibada, akaniuliza nasali wapi, kesho yake akawahi hata kunishinda mimi. Nilidhani ni masihara, kumbe mwenzangu kadhamiria. Na hivi sasa anajiandaa kubatizwa ilhali mimi sina feeling naye. mimi mawazo, akili na moyo vipo kwa Mr. X

NOTE: Sijawahi toa papuchi kwa hao wote.

Nishaurini mwenzenu nifanyeje.

Samahani kwa habari ndefu.

Wasalaam

Nyakwaratony!
 
Mzuri wewe, FYI. Mr. Y hata kazi hajapata, na shida iliyonipeleka kwake sio ya kifedha bali kuniunganisha somewhere. Kumkataa mtu si mwanzo wa uadui make we were known each other before.

unataka kusemaje hapo
 
  1. @Nyakwaratony, kwani wewe moyo wako unakutumaje?Follow your heart!kuolewa na mtu ambaye haujampenda, halafu kila ukiamka yuko pembeni yako for the rest of your life, inakuwaje hapo?
  2. Huyo Mr X anakupenda? anajua kama unampenda au unajiandaa kumtokea? anajua kama umeokoka?na yeye kaokoka?
 
Mwayaa. Olewa na akupendae ukiolewa na umpendae dunia utaiyona chungu
 
Back
Top Bottom