Niolewe na yupi kati ya nimpendae ama anipendae?

  1. @Nyakwaratony, kwani wewe moyo wako unakutumaje?Follow your heart!kuolewa na mtu ambaye haujampenda, halafu kila ukiamka yuko pembeni yako for the rest of your life, inakuwaje hapo?
  2. Huyo Mr X anakupenda? anajua kama unampenda au unajiandaa kumtokea? anajua kama umeokoka?na yeye kaokoka?

Kiukweli mie nampenda sana Mr. X, naye anaonesha kuwa ananipenda lakini Mr. Y anaonesha kunipenda zaidi. Mr. X ameokoka na anajua nami nimeokoka. Kwa hivyo wote tunasali kanisa moja.
 
unataka kusemaje hapo

Nilikuwa namaanisha kuwa kumkataa mtu uchumba sio kigezo cha kugeuka maadui kwani tunafahamiana muda mrefu. Samahani nilichangacha neno "make" nikimaanisha maana yake.
 
Kiukweli mie nampenda sana Mr. X, naye anaonesha kuwa ananipenda lakini Mr. Y anaonesha kunipenda zaidi. Mr. X ameokoka na anajua nami nimeokoka. Kwa hivyo wote tunasali kanisa moja.

wewe dili na mr x tu kwa sasa
huyo y akae pending...
na huyo x anza kumuulizia future ili ujue kama ipo au haipo
 
Kamata anae kupenda hata akikufuma na njemba jingine unalo lipenda hata kuacha
 
Hi all,

Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, nipo njia panda.

Iko hivi, nina wachumba wawili. Mr. X na Mr. Y. Nilifahamiana na Mr. Y miaka mitatu iliyopita, hatukuwa marafiki ila tulikuwa ni watu tunaofahamiana tu kwamba huyu ni Mr. Y anafanya kazi somewhere na huyu ni Nyakwaratony anafanya kazi.somewhere.

Siku moja Mr. Y akaniomba tukutane mahali fulani ana maongezi kidogo, bila hiyana nikaenda na kumsikiliza, akaniambia ananitaka uchumba, sikumkubalia moja kwa moja ila nilimwambia anipe muda. Kiukweli sikuwa namfeel hata kidogo na mpaka sasa simfeel.

Basi baada ya mwezi hivi nikampa jibu kuwa haitowezekana. Alikubali kwa shingo upande, kisha kila mtu akaanza na hamsini zake. Lakini hakusita kunijulia hali kila baada ya muda fulani.

Siku moja nikakutana na Mr. X, Yeye simfahamu sana ila nafahamiana na kaka yake kwa muda.mrefu na kaka yake ndiye aliyenitambulisha kwake. Wadau nampenda Mr. X kupita kiasi ingawa yeye anaishi mkoani.

Tukirudi kwa Mr. Y, siku moja nilikuwa nina shida ya kitu fulani na mtu pekee aliyekuwa na chance kubwa ya kunisaidia. Nilimpigia na akanisaidia mpaka nikapata nilichotaka. Sasa Mr. Y akatumia huo mwanya kutaka kukumbushia ombi lake, nikamwambia haiwezekani kwani yeye hajaokoka.

Alichonijibu nikajikuta nachoka mpaka maini, eti hakuna shida mimi nitaokoka tu kama hicho ndio kigezo cha mimi kukupata wewe. Na siku iliyofuata ilikuwa ni siku ya ibada, akaniuliza nasali wapi, kesho yake akawahi hata kunishinda mimi. Nilidhani ni masihara, kumbe mwenzangu kadhamiria. Na hivi sasa anajiandaa kubatizwa ilhali mimi sina feeling naye. mimi mawazo, akili na moyo vipo kwa Mr. X

NOTE: Sijawahi toa papuchi kwa hao wote.

Nishaurini mwenzenu nifanyeje.

Samahani kwa habari ndefu.

Wasalaam

Nyakwaratony!

Pole kwa kuwa njia panda, sikuwahi kuwa kwenye hali kama hii ila ntajaribu kuipambanua kadri niwezavyo. Je Mr. X anakupenda? anakufeel au ni wewe tuu ndo unaumia juu yake? Kama imekutokea hii umependwa usipopenda na wewe umependa usikopendwa geuka haraka, maana itafika wakati utaitamani hii chance ya kupendwa hutaipata. To me Mr. Y seems to be good to u na hiyo miaka 3 mliyokuwa friends hope inatosha kumjua ndani na nje plus tabia na kampani yake na mauza uza yake yote iliyobaki ni wewe tuu kukubali uchumba uolewe. Naomba nikusimulie kisa cha kweli kabisa.
Kuna dada mmoja anaitwa Nelie ni mzuri wa sura hadi umbo akicheka ndo usiseme rangi ya chocklate, kiufupi anavutia. Kitabia sio mbaya maana ni mpole hata kuongea tuu sauti yake inamfanya mwanaume anasimamisha hadharani. Labda tuu mie kasoro niliyoiona kwake ni unywaji pombe mnoo, akinywa ndo anazidi kurembua na kuongea kwa kudeka ila kwa mschana ambae hujaolewa kuwa mnywaji hata kama mie ningekuwa mwanaume inapunguza credit hasa kwenye uchumba. Binti ni msafi akivaa anapendeza na anasifa zote za kuwa mke wa mtu. Shida iko hv alikuwa anachumbiwa na wengi waliokuwa wanampenda akawa anawamwaga kwakuwa hawakuwa na vigezo alivotaka yeye na hakuwa anawapenda so akausikiliza moyo wake na kuwakataa. Huku na huku akapata mkaka aliyempenda kumbe yule kaka alitaka amgegede tuu hakuwa na mapenzi ya kumfanya mke. Uchumba umekaa miaka 5 bila kuvalishwa pete wala kutolewa mahari wala ndoa kuongelewa, kule kazini kwa yule binti kukawa na kijana mmoja (shabani) anamtokea kuwa mie nataka nikuoe binti akawa anamtolkea nje, mwisho uzalendo ukamshinda baada ya kuona kule alikopenda dalili za ndoa hamna akamkubali shabani wawe wapenz wa kuibia, kumbe yule mchumba wake aliyekuwa anampenda alijua kuwa Nelie kaanza mahusiano ndani ya miezi miwili akamuacha na akaoa mschana mwingine.
Huyu Nelie alilazwa hospitali wiki mbili maana hakuamini kuwa jamaa alikuwa anamchezea tuu, huku na huku shabani nae bado wako kwenye uchumba ila nae kama keshamzoea hatangazi ndoa leo wala kesho na umri wa Nelie unazidi songa kumbuka uzuri nao unachuja maana anazidi kugegedwa tuu na shabani.
Moral of the story, kama unataka ndoa olewa na Mr. Y achana na X utakosa yote, kwa mwanaume kumpenda mke ni nadra sana ila wewe utajifunza tuu kumpenda hasa ukishaishi nae na kuzoeana nae kama mumeo.
Kila la heri. Ngano na pumba zote ziko kwenye ungo kazi kwako kuchambua.
 
Nasubiri opinions za AshaDii. Atakachoshauri ndio jibu sahihi
 
Wape wote papuchi halafu uone reaction zao...I am not kidding, hasa huyu wa mkoa, nina wasi wasi naye. But most important listen to your heart. Kwa sababu, ukiolewa na unayempenda, utakuwa tayari kuvumilia adha zote atakazokuletea. On the other side, Mr. Y hatapenda kuona unakosa raha kwa ajili ya matendo yake. Atafanya kila linalowezekana kukuona uko happy daily.

Hi all,

Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, nipo njia panda.

Iko hivi, nina wachumba wawili. Mr. X na Mr. Y. Nilifahamiana na Mr. Y miaka mitatu iliyopita, hatukuwa marafiki ila tulikuwa ni watu tunaofahamiana tu kwamba huyu ni Mr. Y anafanya kazi somewhere na huyu ni Nyakwaratony anafanya kazi.somewhere.

Siku moja Mr. Y akaniomba tukutane mahali fulani ana maongezi kidogo, bila hiyana nikaenda na kumsikiliza, akaniambia ananitaka uchumba, sikumkubalia moja kwa moja ila nilimwambia anipe muda. Kiukweli sikuwa namfeel hata kidogo na mpaka sasa simfeel.

Basi baada ya mwezi hivi nikampa jibu kuwa haitowezekana. Alikubali kwa shingo upande, kisha kila mtu akaanza na hamsini zake. Lakini hakusita kunijulia hali kila baada ya muda fulani.

Siku moja nikakutana na Mr. X, Yeye simfahamu sana ila nafahamiana na kaka yake kwa muda.mrefu na kaka yake ndiye aliyenitambulisha kwake. Wadau nampenda Mr. X kupita kiasi ingawa yeye anaishi mkoani.

Tukirudi kwa Mr. Y, siku moja nilikuwa nina shida ya kitu fulani na mtu pekee aliyekuwa na chance kubwa ya kunisaidia. Nilimpigia na akanisaidia mpaka nikapata nilichotaka. Sasa Mr. Y akatumia huo mwanya kutaka kukumbushia ombi lake, nikamwambia haiwezekani kwani yeye hajaokoka.

Alichonijibu nikajikuta nachoka mpaka maini, eti hakuna shida mimi nitaokoka tu kama hicho ndio kigezo cha mimi kukupata wewe. Na siku iliyofuata ilikuwa ni siku ya ibada, akaniuliza nasali wapi, kesho yake akawahi hata kunishinda mimi. Nilidhani ni masihara, kumbe mwenzangu kadhamiria. Na hivi sasa anajiandaa kubatizwa ilhali mimi sina feeling naye. mimi mawazo, akili na moyo vipo kwa Mr. X

NOTE: Sijawahi toa papuchi kwa hao wote.

Nishaurini mwenzenu nifanyeje.

Samahani kwa habari ndefu.

Wasalaam

Nyakwaratony!
 
Olewa na akupendae bibi we!hutapata tabu kumtongoza kitandan ila yy ndo atakuhangaikia sna

Sent from my BlackBerry 9800 using Jamie's
 
Kaolewe kote maana waonekana huna mcmamo unatamaa take care dada.
 
Tatizo lako unajaribu kulazimisha matamanio ya moyo wako kutawala hisia zako. Dada kumbuka kuna msemo usemao "marriage is not a rehessal it is performance" huwezi kufanya jaribio la kuolewa na mtu kisha kama utaona hatimizi mahitaji ya ndoa ukaamua kuachana naye na kuolewa na mtu mwingine, nadhani umenielewa vizuri maana yangu. Na ktk mambo ambayo mwanadamu hatakiwi kukosea ni ndoa, utakapofanya kosa ktk ndoa ujue umefanya kosa ambalo litakugharimu maisha yako yote. Na ndo mana tunatakiwa kumshirikisha mungu ktk swala la ndoa ili akuongoze kupata mwanamme mwema kwa maisha yako yote. Hivyo achana na tamaa zako na umuombe sana mungu akupe aliye mwema kwako. Huenda ambaye mungu amekupangia si ktk hao unaowafikiria. Inawezekana ikawa mimi au mwingine. I think you understand my suggestion. Keep it up.
 
Tuwekee hata kapicha kako ili tuone ni kitu gani kimemchanganya Mr y ili tumshauri yeye kwani wewe umefanya maamuz tayar
 
Kiukweli mie nampenda sana Mr. X, naye anaonesha kuwa ananipenda lakini Mr. Y anaonesha kunipenda zaidi. Mr. X ameokoka na anajua nami nimeokoka. Kwa hivyo wote tunasali kanisa moja.
Mwambie ukweli Mr.Y kwamba moyo wako uko kwingine ili aanze kujua hilo mapema.najua ataumia ila ni bora iwe hivyo kuliko kuendelea kumpa matumaini.
Sie wanaume tukiumizwa kwenye mapenzi huwa tabia zetu zinabadilika na kukaribia kufanana na wanyama,sasa ni bora kabla Mr.Y hajanogewa na kujipa matumaini, umwambie mapema.
Ukichelewa , utashangaa na roho yako, pale atakapokubadilikia na kukutenda.
 
Hi all,

Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, nipo njia panda.

Iko hivi, nina wachumba wawili. Mr. X na Mr. Y. Nilifahamiana na Mr. Y miaka mitatu iliyopita, hatukuwa marafiki ila tulikuwa ni watu tunaofahamiana tu kwamba huyu ni Mr. Y anafanya kazi somewhere na huyu ni Nyakwaratony anafanya kazi.somewhere.

Siku moja Mr. Y akaniomba tukutane mahali fulani ana maongezi kidogo, bila hiyana nikaenda na kumsikiliza, akaniambia ananitaka uchumba, sikumkubalia moja kwa moja ila nilimwambia anipe muda. Kiukweli sikuwa namfeel hata kidogo na mpaka sasa simfeel.

Basi baada ya mwezi hivi nikampa jibu kuwa haitowezekana. Alikubali kwa shingo upande, kisha kila mtu akaanza na hamsini zake. Lakini hakusita kunijulia hali kila baada ya muda fulani.

Siku moja nikakutana na Mr. X, Yeye simfahamu sana ila nafahamiana na kaka yake kwa muda.mrefu na kaka yake ndiye aliyenitambulisha kwake. Wadau nampenda Mr. X kupita kiasi ingawa yeye anaishi mkoani.

Tukirudi kwa Mr. Y, siku moja nilikuwa nina shida ya kitu fulani na mtu pekee aliyekuwa na chance kubwa ya kunisaidia. Nilimpigia na akanisaidia mpaka nikapata nilichotaka. Sasa Mr. Y akatumia huo mwanya kutaka kukumbushia ombi lake, nikamwambia haiwezekani kwani yeye hajaokoka.

Alichonijibu nikajikuta nachoka mpaka maini, eti hakuna shida mimi nitaokoka tu kama hicho ndio kigezo cha mimi kukupata wewe. Na siku iliyofuata ilikuwa ni siku ya ibada, akaniuliza nasali wapi, kesho yake akawahi hata kunishinda mimi. Nilidhani ni masihara, kumbe mwenzangu kadhamiria. Na hivi sasa anajiandaa kubatizwa ilhali mimi sina feeling naye. mimi mawazo, akili na moyo vipo kwa Mr. X

NOTE: Sijawahi toa papuchi kwa hao wote.

Nishaurini mwenzenu nifanyeje.

Samahani kwa habari ndefu.

Wasalaam

Nyakwaratony!

Ndugu yangu wanaume waoaji wana sifa za kuwa hawavutii kwa macho ila wanaupendo wa kweli so rogwa uchague huyo unaejipendekeza ukaburuzwe uje una lia hapa.
 
Duh!! Men planning and management. hongera.
Any way, Labda wewe waona bara kipi kati ya KUPENDA na KUPENDWA. tuanzie hapo!!
 
Mathayo 5:38 "Mmesikia
kwamba imenenwa jicho kwa jicho na jino
kwa jino.

kwa hapa nitachangia soma Mathay 5:39 mbaka 45 pia soma Mathaya 6:1 soma Mathay 7:1 vyema kuwa na amani na watu wote soma Marko 9:50 roho na mwili viko tofauti soma Warumi 8:5-9 upendo ni mkuu na haupimiki soma Wakorintho 13:4-13 amani ya bwana iwe nawe.
 
Kwa upand wang nimjgependa upate mume ambaye mnaleta neno tunapendana
 
Back
Top Bottom