Niolewe na yupi kati ya nimpendae ama anipendae?

Niolewe na yupi kati ya nimpendae ama anipendae?

We nawe , utaolewaje na mtu usiyempenda? Lakini nasikia siku hizi hapendwi mtu zinapendwa fedha, kama unauhakika jamaa atakupa huduma zote Saloon, usafiri, chakula watoto waende skuli nzuri na vitu kama hivyo olewa ukiiishi nae akakujali na kukuheshimu na kukupenda kama ilivyo sasa ji tune tu automatic utajikuta mnapendana.
 
maamuz ya kuoa anatoa mwanamme sasa we unajipangia, hivi unaijua mtu anachowaza au unabashiri 2. jipange au sio?
 
Back
Top Bottom