Niolewe na yupi kati ya nimpendae ama anipendae?

Niolewe na yupi kati ya nimpendae ama anipendae?

mbona sijaona hoja gapo kama unasema mr y hunafeel naye lakini mr x unampenda.sasa utaolewaje namtu ambaye huna feeling.msaada usiwe kigezo cha ndoa.hapa inaonekana hela za mr y unazitaka wakati huo x unamfeel.use ur common sense
 
Mtu hupata ajaliwalo silo atakalo. Mr. Y ni sahihi, alikutongoza. Wewe umejitongozesha kwa Mr. X! Uangalie vizuri huo ulokole wako.
 
Dah... naona kura nyingi zinamuangukia Mr. Y. Mh ngoja nijifunze kumpenda, huenda akawa ndiye.

Nashukuru kwa Ushauri wenu wadau.
 
Pole kwa kuwa njia panda, sikuwahi kuwa kwenye hali kama hii ila ntajaribu kuipambanua kadri niwezavyo. Je Mr. X anakupenda? anakufeel au ni wewe tuu ndo unaumia juu yake? Kama imekutokea hii umependwa usipopenda na wewe umependa usikopendwa geuka haraka, maana itafika wakati utaitamani hii chance ya kupendwa hutaipata. To me Mr. Y seems to be good to u na hiyo miaka 3 mliyokuwa friends hope inatosha kumjua ndani na nje plus tabia na kampani yake na mauza uza yake yote iliyobaki ni wewe tuu kukubali uchumba uolewe. Naomba nikusimulie kisa cha kweli kabisa.
Kuna dada mmoja anaitwa Nelie ni mzuri wa sura hadi umbo akicheka ndo usiseme rangi ya chocklate, kiufupi anavutia. Kitabia sio mbaya maana ni mpole hata kuongea tuu sauti yake inamfanya mwanaume anasimamisha hadharani. Labda tuu mie kasoro niliyoiona kwake ni unywaji pombe mnoo, akinywa ndo anazidi kurembua na kuongea kwa kudeka ila kwa mschana ambae hujaolewa kuwa mnywaji hata kama mie ningekuwa mwanaume inapunguza credit hasa kwenye uchumba. Binti ni msafi akivaa anapendeza na anasifa zote za kuwa mke wa mtu. Shida iko hv alikuwa anachumbiwa na wengi waliokuwa wanampenda akawa anawamwaga kwakuwa hawakuwa na vigezo alivotaka yeye na hakuwa anawapenda so akausikiliza moyo wake na kuwakataa. Huku na huku akapata mkaka aliyempenda kumbe yule kaka alitaka amgegede tuu hakuwa na mapenzi ya kumfanya mke. Uchumba umekaa miaka 5 bila kuvalishwa pete wala kutolewa mahari wala ndoa kuongelewa, kule kazini kwa yule binti kukawa na kijana mmoja (shabani) anamtokea kuwa mie nataka nikuoe binti akawa anamtolkea nje, mwisho uzalendo ukamshinda baada ya kuona kule alikopenda dalili za ndoa hamna akamkubali shabani wawe wapenz wa kuibia, kumbe yule mchumba wake aliyekuwa anampenda alijua kuwa Nelie kaanza mahusiano ndani ya miezi miwili akamuacha na akaoa mschana mwingine.
Huyu Nelie alilazwa hospitali wiki mbili maana hakuamini kuwa jamaa alikuwa anamchezea tuu, huku na huku shabani nae bado wako kwenye uchumba ila nae kama keshamzoea hatangazi ndoa leo wala kesho na umri wa Nelie unazidi songa kumbuka uzuri nao unachuja maana anazidi kugegedwa tuu na shabani.
Moral of the story, kama unataka ndoa olewa na Mr. Y achana na X utakosa yote, kwa mwanaume kumpenda mke ni nadra sana ila wewe utajifunza tuu kumpenda hasa ukishaishi nae na kuzoeana nae kama mumeo.
Kila la heri. Ngano na pumba zote ziko kwenye ungo kazi kwako kuchambua.

Nashukuru kwa ushauri wako na mfano ulionipa dada yangu Mungu akubariki.
 
mbona sijaona hoja gapo kama unasema mr y hunafeel naye lakini mr x unampenda.sasa utaolewaje namtu ambaye huna feeling.msaada usiwe kigezo cha ndoa.hapa inaonekana hela za mr y unazitaka wakati huo x unamfeel.use ur common sense

Ndugu yangu, naomba nikufafanulie kidogo maana naona umeniquote vibaya. Mr. Y tulikuwa tunafahamiana tangu awali hata kabla hajanitongoza. Kwa maana hiyo sikwenda kumuomba msaada kwa kigezo chake cha kunitongoza bali nilimuomba msaada kwa vile ni mtu tunafahamiana. Na isitoshe msaada wenyewe haukuwa wa kifedha bali kuniunganisha na mtu fulani kwa ajili ya biashara fulani. Na pia kwa kigezo cha pesa ni kwamba mie kipato changu ni kikubwa zaidi ya cha Mr. Y. Nadhani umenielewa sasa.
 
Ukiolewa na yeyote kati yao lazima urudi humu na majuto siku moja!

Ninakuhakikishia, muda utakukumbusha hili nililokwambia!
 
Mtu hupata ajaliwalo silo atakalo. Mr. Y ni sahihi, alikutongoza. Wewe umejitongozesha kwa Mr. X! Uangalie vizuri huo ulokole wako.

Ndugu yangu mbona unaquote vibaya? Mie sijasema nilimtongoza Mr. X. Bali nilifahamiana naye kupitia kwa kaka yake, baada ya hapo ndipo naye akaanza kurusha ndoano. Hakuna mahali nimesema niliwahi kumtongoza Mr. X hebu soma vizuri.
 
Hi all,

Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, nipo njia panda.

Iko hivi, nina wachumba wawili. Mr. X na Mr. Y. Nilifahamiana na Mr. Y miaka mitatu iliyopita, hatukuwa marafiki ila tulikuwa ni watu tunaofahamiana tu kwamba huyu ni Mr. Y anafanya kazi somewhere na huyu ni Nyakwaratony anafanya kazi.somewhere.

Siku moja Mr. Y akaniomba tukutane mahali fulani ana maongezi kidogo, bila hiyana nikaenda na kumsikiliza, akaniambia ananitaka uchumba, sikumkubalia moja kwa moja ila nilimwambia anipe muda. Kiukweli sikuwa namfeel hata kidogo na mpaka sasa simfeel.

Basi baada ya mwezi hivi nikampa jibu kuwa haitowezekana. Alikubali kwa shingo upande, kisha kila mtu akaanza na hamsini zake. Lakini hakusita kunijulia hali kila baada ya muda fulani.

Siku moja nikakutana na Mr. X, Yeye simfahamu sana ila nafahamiana na kaka yake kwa muda.mrefu na kaka yake ndiye aliyenitambulisha kwake. Wadau nampenda Mr. X kupita kiasi ingawa yeye anaishi mkoani.

Tukirudi kwa Mr. Y, siku moja nilikuwa nina shida ya kitu fulani na mtu pekee aliyekuwa na chance kubwa ya kunisaidia. Nilimpigia na akanisaidia mpaka nikapata nilichotaka. Sasa Mr. Y akatumia huo mwanya kutaka kukumbushia ombi lake, nikamwambia haiwezekani kwani yeye hajaokoka.

Alichonijibu nikajikuta nachoka mpaka maini, eti hakuna shida mimi nitaokoka tu kama hicho ndio kigezo cha mimi kukupata wewe. Na siku iliyofuata ilikuwa ni siku ya ibada, akaniuliza nasali wapi, kesho yake akawahi hata kunishinda mimi. Nilidhani ni masihara, kumbe mwenzangu kadhamiria. Na hivi sasa anajiandaa kubatizwa ilhali mimi sina feeling naye. mimi mawazo, akili na moyo vipo kwa Mr. X

NOTE: Sijawahi toa papuchi kwa hao wote.

Nishaurini mwenzenu nifanyeje.

Samahani kwa habari ndefu.

Wasalaam

Nyakwaratony!

Kol 3:15 Na amani ya Kristo iamue mioyoni mwenu; ndiyo mliyoitiwa katika mwili mmoja; tena iweni watu wa shukrani.

Mbona jambo liko wazi kabisa hili embu ona

Mit19:14--Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; Bali mke mwenye busara, mtu hupewa na Bwana.

Mke mwenye busara MTU HUPEWA NA BWANA, Sio MUME mwenye Busara MTU hupewa Na BWANA , Na hapo ndipo wanawake wengi hufeli, ukiona Mtu unampenda wewe Basi ujue wewe ndiye unayepewa huyo kitu ambacho kinakinzana Na neno la Mungu so lazima yawe maamuzi ya kutoka chini, LAZIMA MWANAUME NDIYE APENDE not otherwise.. Lakini si Kwamba mwanaume kakupenda ndio faster umkubalie Hapana lazima Amani ya Mungu iamue kwako, usiwe Na papara Wala usiwe mwepesi wa kusema ndio au SIO buy-time. Muda utadefine kila kitu Kwa usawa..
 
Kwanini unasema hivyo ndugu yangu? Ni vyema ukanishauri pia.

Kwa sababu huna maamuzi, hujui unataka nini!! unaenda tu ilimradi mwishoni ni ndoa!

Ndoa hailetwi na sababu kuwa unampenda sana ama anakupenda sana! Ulishapenda wangapi na wala hamkufika kuoana?! Ambao hata ukijiuliza kilichotokea hujui hadi sasa?! unadhani ni kwa nini?! Hujawahi kuwa na mtu ukadhani mnapendana kuliko chochote na mwisho ukaishia kuumizwa/kumuumiza?! Unadhani ni kwa nn?!

Nimekuhakikishia, chukua yeyote kati yao,utarudi humu kuomba ushauri siku moja!
 
Hi all,

Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, nipo njia panda.

Iko hivi, nina wachumba wawili. Mr. X na Mr. Y. Nilifahamiana na Mr. Y miaka mitatu iliyopita, hatukuwa marafiki ila tulikuwa ni watu tunaofahamiana tu kwamba huyu ni Mr. Y anafanya kazi somewhere na huyu ni Nyakwaratony anafanya kazi.somewhere.

Siku moja Mr. Y akaniomba tukutane mahali fulani ana maongezi kidogo, bila hiyana nikaenda na kumsikiliza, akaniambia ananitaka uchumba, sikumkubalia moja kwa moja ila nilimwambia anipe muda. Kiukweli sikuwa namfeel hata kidogo na mpaka sasa simfeel.

Basi baada ya mwezi hivi nikampa jibu kuwa haitowezekana. Alikubali kwa shingo upande, kisha kila mtu akaanza na hamsini zake. Lakini hakusita kunijulia hali kila baada ya muda fulani.

Siku moja nikakutana na Mr. X, Yeye simfahamu sana ila nafahamiana na kaka yake kwa muda.mrefu na kaka yake ndiye aliyenitambulisha kwake. Wadau nampenda Mr. X kupita kiasi ingawa yeye anaishi mkoani.

Tukirudi kwa Mr. Y, siku moja nilikuwa nina shida ya kitu fulani na mtu pekee aliyekuwa na chance kubwa ya kunisaidia. Nilimpigia na akanisaidia mpaka nikapata nilichotaka. Sasa Mr. Y akatumia huo mwanya kutaka kukumbushia ombi lake, nikamwambia haiwezekani kwani yeye hajaokoka.

Alichonijibu nikajikuta nachoka mpaka maini, eti hakuna shida mimi nitaokoka tu kama hicho ndio kigezo cha mimi kukupata wewe. Na siku iliyofuata ilikuwa ni siku ya ibada, akaniuliza nasali wapi, kesho yake akawahi hata kunishinda mimi. Nilidhani ni masihara, kumbe mwenzangu kadhamiria. Na hivi sasa anajiandaa kubatizwa ilhali mimi sina feeling naye. mimi mawazo, akili na moyo vipo kwa Mr. X

NOTE: Sijawahi toa papuchi kwa hao wote.

Nishaurini mwenzenu nifanyeje.

Samahani kwa habari ndefu.

Wasalaam

Nyakwaratony!

Basi dada mpendwa historia ya maisha yako itajengwa kutokana na maamuzi yako hata hivyo umebainisha zaidi ya mr y kuliko mr x.Inamaana mr y ndio mwenye ishara zote za kuandikaukurasa mpya wa maisha yako basi mpe nafasi mr y ingawa mapenzi hayalazimishwi lakini fimbo ya mbali haiui nyoka
 
Toa papuchi hiyo usikilizie huo ndo msingi wa ndoa. Ukitoka kanisani ukiwa huna hela papuchi ndo inawaunganiisha. Ukitaka uolewe uanze kugegedwa nje ya ndoa jidanganye kuchagua mpenzi kwa misingi mingine. Sijui dini, sura... Minoti. Utajibeba. Chukua hili.
 
Back
Top Bottom