Niolewe na yupi kati ya nimpendae ama anipendae?

Niolewe na yupi kati ya nimpendae ama anipendae?

Halafu umeokoka!! mbwa anaweza kuongea?? wewe ni mlokole mnafiki na mwongo

Heeeeeeeeey! DONT GET JUDGY AND CONDEMIN!!!!!!!!!!!!!!

Sasa kwani mlokole yeye hana Moyo?

Mlokole hana hisia na matamanio ya kimwili?

Hapendi nae apate mwenza wa maisha?

Acha mambo zako kabisaaaa! Kama wewe umeokaka na umejaaliwa mzigo ulio mwepesi usihukumu wengine, Mwache mwenzio mzigo wake wa miba mzito kama nini, na yupo in critical stage that will transform her life.

WE ARE NOT ALL LUCKY! Other wise hata yeye angependa ampende mtu ampendae, dini yake n everythin in place! But if life was that straight and fully blassed we wouldnt go to church would we? Atleast i wouldnt! (Ofcourse i ususlly go to church to negotiate for lighter odds, just try to reason with The Oga on top! Sometimes it works sometimes he it just doesnt so i go to church more for even more reasoning and bargains.
 
huyu amesema hivyo baada ya mlokole(mwenye uzi) kumjibu mwenzie anaongea na mfuga mbwa na sio mbwa.
 
..hamna hoja hapa wala njia panda yoyote,ukijifanbya mama huruma utajua maana ya mama huruma baada ya ndoa,tena kwa taarifa yako huyo jamaa akiokoka na kusimama katiaka Yesu hata kuwaza tena wewe na akiendelea kukuwaza jua kakuokokea tu akikupata life la zamani kama kawa,mifano kibao tunaayo...tafakari,chukua hatuaaaa..
 
Mathayo 5:38 "Mmesikia
kwamba imenenwa jicho kwa jicho na jino
kwa jino.

umesahau akupigae shavu la kushoto mgeuzie na la kulia,akunyang'anyae kanzu moja mpe na ya pili,akutembezae mile moja ongeza ya pili.DUMU ktk imani na epuka kuutumia huo mstari
 
hahaha hujatoa papuchi ...nyc!!!
kwanza ulikosea kusema uongo...u dnt love the guy na sio kwamba eti sio mlokole...hapo umekosea

huyo wa mkoani kusema kweli mapenzi ya mbali full uzushi tuu hamna kitu utakuwa wajidanganya.

wee kama umekufa kwa jamaa x basi tulizana atakuja kykuoa na uhamie mkoani
 
Ndiyo Mr. X alishanitamkia na anapenda sana kuongelea future zaidi.
kuongea sio kutenda,ila kwa ufahamu wangu juu ya mapenzi kama unanielewa nakushauri uolewe na unae mpenda,ila kuna changamoto nyingi kwa umpendae kuliko akupendae.
 
Hivi jamaa karibu anabatizwa huko sie tunakazana kutoa ushauri huku...hii nimeipenda, but tunajaribu kulinganisha mambo mawili ambayo bado hayajakaa level
Huyo anayekupenda ameshakwambia na hatua umeshaziona, na huyo unayempenda uliongea nae? pengine ungepata muda wa kukaa na kusema naye angekuwa kwako....
 
Kwahiyo wote unaendelea ku du nao kila mmoja kwa wakati wake au.
 
Back
Top Bottom