niokoleeni jahazi nakaribia kukolapsi

niokoleeni jahazi nakaribia kukolapsi

wazazi wa kike tuna kazi lol!

Yaani we acha tu, mm nilikuwa naumia mpk natamani kulia, halafu ukimwambia baba yake anagombeza mtoto na kumwambia mjinga, halafua ananikataza nisiende shule kulalamika. nikaamua kumfundisha ununda.
 
Nachukia mtoto akionewa, napenda mtoto awe jasiri hata kama ni mpole, huyo mwanao wenzie washamsoma na kumgundua kuwa ni mpole sana ndio mana hawaishi kumuonea, nilivyo na hasira mie ningeshapiga mtoto wa mtu tena mbele ya hao waalimu, hao walimu nao kazi yao ni nini kama wameshindwa hata kuwafundisha watoto upendo? Mtoto anatakiwa awe na amani mda wote.... Itafika mahali mwanao atachukia kwenda shule mpendwa hebu fanya jitihada manake shule zipo nyingi na zina maadili mazuri kabisa... Mwambie mamdogo akawaambie waalimu kuwa upo mbali hivyo ukirudi utaenda shuleni kuyamaliza! Hiyo shule ya hovyo sana! Ulichomfundisha mwanao wala sio kitu kibaya!

gfsonwin pole sana ila plz kama unaweza mwamishe mwanao hiyo shule manake inaonekana haina maadili kabisa ndio mana watoto wanapgana hovyo!
 
Last edited by a moderator:
Yaani we acha tu, mm nilikuwa naumia mpk natamani kulia, halafu ukimwambia baba yake anagombeza mtoto na kumwambia mjinga, halafua ananikataza nisiende shule kulalamika. nikaamua kumfundisha ununda.

wababa achana nao kabisa manake mr alichosema ahame shule basi, tena yaani kidogo nilie manake amesema pasi kujali kabisa.
 
mmh! hapa unanifanya nijichukie..........but havivumiliki bana. niliwah kujua ni kwann anaonewa na sababu ilikuwa nje ya uwezo wetu, mwanangu darasani ni mzuri sana, na ukweli baba yake hujitahd sana na vijizawadi vya shule ambavyo ni unique hasa begi la shule ruler nk unajua kuna viitu ambavyo unaweza ukampa mtoto kwa nia njema ila sasa vikamsabishia mtoto madhara kwamfano wenzie kumchukia, so wenzake waliona kama anaringa na vitu vyake hivyo so baadhi ya wavulana mle darasan wakawa na -ve attitude. nilipogundua haya nilimwambia aanze kujitetea manake hata kucheza nae walikataa.
sorry, sikuwa na nia ya kukukwaza. naona hao wavulana wenzie wanamuonea wivu kwa vijizawadi anavyopewa (lol), next time mpeni zawadi zilizo more 'boy' friendly e.g. soccer ball, console game, baskelball etc and see what happens. attitude yake ikoje, huwa anaringa kwa wenzie au hapana. most 9~10 y/o wana similar interests, did he gain 'friends' baada ya kumpiga mwenzie au bado boys wenzake wanaleta usiku
 
Nachukia mtoto akionewa, napenda mtoto awe jasiri hata kama ni mpole, huyo mwanao wenzie washamsoma na kumgundua kuwa ni mpole sana ndio mana hawaishi kumuonea, nilivyo na hasira mie ningeshapiga mtoto wa mtu tena mbele ya hao waalimu, hao walimu nao kazi yao ni nini kama wameshindwa hata kuwafundisha watoto upendo? Mtoto anatakiwa awe na amani mda wote.... Itafika mahali mwanao atachukia kwenda shule mpendwa hebu fanya jitihada manake shule zipo nyingi na zina maadili mazuri kabisa... Mwambie mamdogo akawaambie waalimu kuwa upo mbali hivyo ukirudi utaenda shuleni kuyamaliza! Hiyo shule ya hovyo sana! Ulichomfundisha mwanao wala sio kitu kibaya!

gfsonwin pole sana ila plz kama unaweza mwamishe mwanao hiyo shule manake inaonekana haina maadili kabisa ndio mana watoto wanapgana hovyo!

asante mamii...........inaumiza sana, mtoto anapoonewa. natamani mwanangu awe jasiri na si kibonde ila sasa hata shule hii naiona kama hawako makini na wanafunzi hasa kwenye suala la nidhamu.
 
Wala huna haja ya kumgombeza ila mweleze kwamba kuna kosa amefanya na kwamba ni kawaida ya watu kupitia huko (unatoa mfano wa kosa moja la baba yake enzi hizo) na kwamba baada ya kufanya kosa hakukata tamaa ya masomo kwa sababu binadamu hufanya makosa.

Shuleni m'mdogo anatakiwa acheze na akili za walimu tu. Ahakikishe anaweka rekodi sawa isije ikawa walimu wanaanzia pale mpwa wangu alipoanza kufanya kosa. Wanatakiwa kuangalia records zake za nyuma zilivyokuwa nzuri na kwamba wewe na yeye mmeshazungumza naye na amejutia kosa.

Usisahau kuwakumbusha pia kuna tabia ya kupigana shuleni na walimu wanapaswa kuiangalia kwa karibu.

Mwisho: Inabidi m'mdogo akutane na mzazi wa mwanafunzi aliyepigwa ikiwezekana kabla ya kwenda shuleni ili kusuluhishana kiutu uzima.........tena wanaweza kutinga shuleni wote siku hiyo.
 
sorry, sikuwa na nia ya kukukwaza. naona hao wavulana wenzie wanamuonea wivu kwa vijizawadi anavyopewa (lol), next time mpeni zawadi zilizo more 'boy' friendly e.g. soccer ball, console game, baskelball etc and see what happens. attitude yake ikoje, huwa anaringa kwa wenzie au hapana. most 9~10 y/o wana similar interests, did he gain 'friends' baada ya kumpiga mwenzie au bado boys wenzake wanaleta usiku

hajaenda shule leo. ila wale wenzie tunaoish nao mtaani walimpitia waende shule so nafikiri bado ana marafiki. mwanangu haringi ila tu anajua kutunza sana vitu vyake kiasi kwamba anaboa kwa mtu asiyejua kutunza. huwa kama ni ufutio akikuazima anataka umrudishie kisha aufunguie hapendi sana kumpa kitu mtu, halafu mtu arudishe anapojiskia hata kidogo. kuhusu zawadi anazo nyingi na kama hizi za shule ni ili tu kumraisishia kazi za shule.
 
Wala huna haja ya kumgombeza ila mweleze kwamba kuna kosa amefanya na kwamba ni kawaida ya watu kupitia huko (unatoa mfano wa kosa moja la baba yake enzi hizo) na kwamba baada ya kufanya kosa hakukata tamaa ya masomo kwa sababu binadamu hufanya makosa.

Shuleni m'mdogo anatakiwa acheze na akili za walimu tu. Ahakikishe anaweka rekodi sawa isije ikawa walimu wanaanzia pale mpwa wangu alipoanza kufanya kosa. Wanatakiwa kuangalia records zake za nyuma zilivyokuwa nzuri na kwamba wewe na yeye mmeshazungumza naye na amejutia kosa.

Usisahau kuwakumbusha pia kuna tabia ya kupigana shuleni na walimu wanapaswa kuiangalia kwa karibu.

Mwisho: Inabidi m'mdogo akutane na mzazi wa mwanafunzi aliyepigwa ikiwezekana kabla ya kwenda shuleni ili kusuluhishana kiutu uzima.........tena wanaweza kutinga shuleni wote siku hiyo.
asante sana dogo. ila nyie vidume mnamambo sana makuzi yenu.
 
Pole dear
naona wahitaji kumwamisha huyo mtoto vile mwanao alipokuwa anafanyiwa hivyo hawakuchukua hatua yoyote ndio iliyopelekea mtoto kujilinda mwenyewe
inabidi uende shuleni mwenyewe sababu unataarifa za mwanzo
kuna swali la kujiuliza wametoa suspension bila onyo lolote kama vile mwanao amezoea kufanya hivyo
watakiwa kutafakari zaidi ikiwezekana next year fanya mchakato wa shule nyingine
 
asante sana ma dear @blaki woman. ni kweli nahitaj tu kumwamisha shule ili kupunguza msongo wa mawazo.
 
Mimi hata nashindwa kushauri maana huyo kijana wangu wa kikurya ni balaa kila siku kesi kapiga watoto wa watu shule angalau saa kapunguza huko sekondari..................

Lakini ulichofanya si kibaya as long as ni mtoto wa kiume hakuna kuonewa bana lazima achangamke..........
 
hajaenda shule leo. ila wale wenzie tunaoish nao mtaani walimpitia waende shule so nafikiri bado ana marafiki. mwanangu haringi ila tu anajua kutunza sana vitu vyake kiasi kwamba anaboa kwa mtu asiyejua kutunza. huwa kama ni ufutio akikuazima anataka umrudishie kisha aufunguie hapendi sana kumpa kitu mtu, halafu mtu arudishe anapojiskia hata kidogo. kuhusu zawadi anazo nyingi na kama hizi za shule ni ili tu kumraisishia kazi za shule.
nimependa hapo, i did the same in primary school mimi na watoto wa jirani used to go together. this can be mis-interpreted as kuringa especially kama yuko 'too strict' about it. inaleta picha ya "rudisha kitu changu, utaharibu" and its a big turn-off especially kwa watoto wadogo.
 
Pole rafiki. Kuhusu wito shuleni: Je, wakati mtoto wako anaonewa na kuumizwa na wenzake ulikuwa unatoa taarifa shuleni? Kama ulikuwa unawajulisha waalimu na kulalamika kuhusu hilo suala, hiyo ndio iwe basis ya mamdogo akienda kuonana na waalimu. Mamdogo awaeleze/awakumbushe kuhusu uonevu aliokuwa anafanyiwa mwanao na aseme kuwa hayo ndio matokeo ya huo uonevu!

Awaambie kuwa itakuwa mtoto amevumilia muda mrefu na sasa akaamua kujilinda (self defence) ili wenzie wasiendelee kumuonea. Mamdogo awaombe radhi waalimu na aahidi kuwa mtaongea na mtoto nyumbani ili asije kuumiza wenzake tena siku nyingine. Yaan mamdogo awe mpole ili waalimu wasimuadhibu mtoto. Adhabu ya suspension imetosha maana imeshamuumiza sana.

Kuhusu mtoto: Piga simu nyumbani umbembeleze mtoto asiendelee kulia. Mwambie hakuwa na jinsi zaidi ya kujitetea na kuwaonesha wenzie kuwa hata yeye anaweza kumuumiza mtu lakini huwa hafanyi hivyo kwa vile hapendi ugomvi. Na kwamba sasa watakuwa hawamuonei tena. Watamuogopa. Mwanaume lazima awe na uwezo wa kujitetea. Msaidie asijisikie vibaya kumuumiza mwenzie maana hakufanya makusudi bali alifanya baada ya kuchokozwa na kuonewa mara nyingi.

Nashauri kama shule ni nzuri usimhamishe mtoto maana ugeni nao huwa mbaya sana, unaathiri sana watoto kisaikolojia hasa akiwa mpole kama wako. Akikutana na wakorofi kwenye shule mpya ukichanganya na ugeni ataichukia shule.

Pole.
 
Yaani hata mm wangu alikuwa anaonewa sana, siku hiyo nilikaa naye nikamfundisha kuwa ukimwona anayekupiga ni mkubwa mvizie mng'ate sikio, ukiona unamweza mpige roba ya nguvu ,akamngata sikio mtoto wa watu nikaitwa shule nikaomba msamaha, niliporudi home nikamnunulia ICe cream ya Azam na Kumwambia Kuwa HUO NDIYO UANAUME , USIKUBALI KUONEWA

Mafundisho potofu haya. Mwanaume hafundishwi kung'ata bali makonde! Kung'ata kazi ya mabinti.

Akija kumng'ata mkewe utajibu kwa Mungu.
 
Katika hili haitakuwa vizuri kumlaumu mtoto kwa namna yoyote ile, usimfanye akajiona ni mkosaji. Maana hapo heshima imerudi kwa dogo so lazima iendelee kuwa hivo.
Pili hapo hakuna kesi ya kuumiza kichwa. watoto kugomba au kupigana kila wakati zaidi inatokana na mazingira wanayokulia hapo shuleni, so kwa namna moja ama nyingine kutokana na takwimu zako za kupigwa mara kwa mara kwa mtoto wako nadhani walimu na hiyo shule kwa ujumla ndio wanapaswa kulitolea maelezo zaidi.
Baada ya hilo swala jaribu kuangalia uwezekano wa kumuhamisha dogo shule, iwapo waalimu hawataonyesha jitihada zozote za kukomesha hilo swala la watoto kupigana.
 
Back
Top Bottom