mamii me love you aisee.......... sijui kwann nimewaza sawa na wewe lolest!hiyo ya kumpigia Asprin akakusaidie pia ni wazo zuri, kama mamdogo ni mpole vile anaweza kuchanganya madesa na mwisho mtoto akaadhibiwa.
nakumbuka siku moja nilikutana na kisanga fulani, nilichokumbuka ni kuwaambia wale jamaa ngoja nimwite husband.... nikachukua simu nikampigia friend, moja kwa moja nikaanza husband njoo sehemu fulani kuna watu wananiletea dhahama hapa. jamaa alikuja moto umemuwaka anawagombeza mmemfanya nini wife wangu, kumbe mkwala tu
mi love you too mamii.....mamii me love you aisee.......... sijui kwann nimewaza sawa na wewe lolest!
it isn't may dearest, and amesoma hapo since KG na mpaka leo he is in grade 4 amekuwa na senario za kuonewa tu, at first nilipresume ni upepo tu utapita vilipozidi nilifuatilia na ndipo nilipogundua kwamba kuna ushindani wa kitoto tu kwani amekuwa akifanya vzr sana darasani. sasa vijizawadi vile anavyonunuliwa kama motivation vinawafanya wenzie wamuonee. king'asti angekuwa mdogo wake ningesema ni mtundu ila kwa huyu yaani sijui kwann anaonewa manake anapenda wenzie na si msumbufu basi tu hana bahati ya kuthaminiwa na wenzie inaniumiza sana.

Angekuwa mdogo wangu wala asingefikia huko manake kung fu tunafundishana kwa dada saa ya kugoma kunywa uji tukipigania kiporo cha ubwabwa wa samaki!
aisee, mie sioneleki hata ukitaka. Na mdogo wangu nimemfundisha kuwa tough! Alipomaliza chuo tu alipata ajira, after 6months akapata kazi ya na by position anakuwa na usekretari wa board. Baada ya mwezi tu akawa anaandaa board meeting. Akaja muiran mmoja mshenzy ndo chairperson. Dogo kajazia na hipsi za kufunga mtaa, muiran udenda huu. Anawaambia wafanyakazi wengine huyu lazma niondoke nae. Anamkaribisha mdogo wangu hotelini kwake ati wakale waongee abt meeting. Namuambia dogo kuna MD, ww ni manager tu na by position unakuwa secretary wa board. Kama kuna discussion MD awepo. Mwisho wa siku jamaa anamuambia nakufukuza kazi, hauko competent. Si unajua wairan na wahindi wote mjini wamenunua polisi yoote na uhamiaji? Nikamuambia dogo muambie tutamshughulikia hatakaaa akanyage bongo yeye na familia yake yoote manake we are above the police. Tutamchafuaaaaa, tena kwa sexual harrasment! Acha MD aanze kumbembeleza dogo, mchunie hata sie tunajua mshenzy huyu. Tulitoka washindi na hatuna kitu hapo hehehe.
Huyo mzalie mdogo waje amjanjarushe, au likizo umlete kwa aunt, kwanza Paw anamfundisha karate na aunt king' anamfundisha mbinu za ki-CIA. Chimba mkwala hadi kuta zinatoa ufa, ebooo!
Mafundisho potofu haya. Mwanaume hafundishwi kung'ata bali makonde! Kung'ata kazi ya mabinti.
Akija kumng'ata mkewe utajibu kwa Mungu.