Nioe yupi

Ni kweli mtoto chini ya miaka 18 hawezi kukubali kufanya mapenzi? au ni lugha tu mkuu hapo?

Nadhani neno 'kukubali' linapewa maana pana zaidi kisheria. Ni kama vile ambavyo huwezi kuingia mkataba na mtu wa chini ya miaka 18 kwa kuwa anachukuliwa kwamba hajapevuka vya kutosha kufanya maamuzi sahihi.
 
When a man of 60 marries a girl of 25, it is just like buying a book for someone else to read
 
Hapana ndugu, ulichohitajiwa ni kutoa ushauri na nasaha zako ,inaonekana unapinga kwa wa miaka kumi na tano ,toa sababu au unaogopa kuaibika ,natumai umeona jinsi watu katika habari yenyewe walivyotetea na kupinga.

wa kuaibika ni wewe na source yako kutaka kuomba msaada kwa kitu CHA AJABU, ni wapi mimi nimepinga wa miaka 15? kumbe wewe ni mzushi tu, hata sheria za nchi huzijui.
 
According to contract law, binti 15 yrs is still a minor, incompetent, and she is unable to decide on her own. Hata kukubali kuolewa kwako si kwa hiari yake ya kibusara kwani anatakiwa aende skuli kwanza then ndo atakuja realize kuwa marriage nayo ina nafasi yake hasa atakapokuwa amepata vidato.

Hata wewe muoaji binti 15 yrs bila kujali amevunja ungo, can enjoy sex coz tubinti twa siku hizi acha kabisa kwaqni tunaweza kubeba saizi ya babu zao (nina ushahidi ukiutaka), but govt itakuchukulia wewe kama filaji filauni mkubwa!!! This can not sound good how come mzee kama wewe u wanna marry binti saizi ya mwanao????

Think twice b4 you all taking HIV/AIDS and STD tests ndo stg nyingine yaja thereto.
 
kazi kweli kweli, kwa style hiyo utashindwa kuyaelewa mengi
 
Nafikiri uamuzi unategemea unachokitaka kwenye ndoa yako. Je unataka partner wa kukuridhisha "the bed time sessions" au pamoja na hilo, kushirikiana pamoja kupambana na maisha katika maendeleo ya familia. My dear 15 years oldie is still a kid and the thinking is in that line! 23 years lady is definitely a grown up you can depend on her to steer the boat when you are low! Another thing, remember R. Kelly the singer? Remember the trouble he was in? You understand what i mean!
All the best.
 
According to contract law, binti 15 yrs is still a minor, incompetent, and she is unable to decide on her own. Hata kukubali kuolewa kwako si kwa hiari yake ya kibusara kwani anatakiwa aende skuli kwanza then ndo atakuja realize kuwa marriage nayo ina nafasi yake hasa atakapokuwa amepata vidato.

Hata wewe muoaji binti 15 yrs bila kujali amevunja ungo, can enjoy sex coz tubinti twa siku hizi acha kabisa kwaqni tunaweza kubeba saizi ya babu zao (nina ushahidi ukiutaka), but govt itakuchukulia wewe kama filaji filauni mkubwa!!! This can not sound good how come mzee kama wewe u wanna marry binti saizi ya mwanao????

Think twice b4 you all taking HIV/AIDS and STD tests ndo stg nyingine yaja thereto.

spill spill.....
 
15 years girl is not a child anymore haswa siku hizi na hapa makwetu kama utatembelea sehemu zenye muziki nyakati ya jua linapozama utanifahamu vizuri kuwa hao wa kumi na tano huwa tayari wameshapevuka na ukielekea ukabilani ndio kabisa ,huachishwa hata shule.kuna mbegu zingine miaka kuminatano unaweza kufikiri ana miaka 25 hasa huko uzunguni na sehemu za bara ndani,kuna tofauti kubwa kati ya wasichana wa pwanipwani Tanga ,Dar ,Mtwara na wa mikoani.

ila kutokana na hoja wapo wawili.

1.Watu wenye fikra potofu kama hizi hawakawii kujikuta ana kwa ana na mkono mrefu wa sheria. Kumbuka SOSPA 1998 HAIJALISHI KAMA MMEKUBALIANA NA MSICHANA HUSIKA AU ULIFIKIRIA ANA ZAIDI YA MIAKA 15

2.Mvua(miaka) 30 kwenda juu ziko karibu sana kuwanyeshea watu kama hawa.
Ukitaka kuoa wa miaka 15 - ( Sheria ya ndoa 1971 inaweka 15 kama umri mdogo unaokubaliwa kuolewa) basi hakikisha humgusi huyo binti, pata kibali cha wazazi halafu funga ndoa ndio uendelee na mambo mengine)
 
Ina maana wasiishi nyumba moja?
 
wa kuaibika ni wewe na source yako kutaka kuomba msaada kwa kitu CHA AJABU, ni wapi mimi nimepinga wa miaka 15? kumbe wewe ni mzushi tu, hata sheria za nchi huzijui.

Sijui unaelewa kiswahili sahihi,maana kuna tofauti kubwa kimaandishi kati ya hizo sheria ,hivi nikuulize unajua maana ya ndoa na kufanya mapenzi ,ndugu Kandambili inaonyesha Jaji anaweza kukusweka kwa sekunde tu !!

Ni wazi kabisa anaetaka kuoa akitumia sheria hio atavuka tu bila ya wasiwasi wowote na ilivyokuwa wazee na msichana wamekubali sheria ya pili haiwezi kumfunga.

Kuna uwezekano kuwa hakukufanyika mapenzi ila ni direct proposed.
 
Ni kweli mtoto chini ya miaka 18 hawezi kukubali kufanya mapenzi? au ni lugha tu mkuu hapo?
Mtoto wa miaka chini ya kumi na nane hawezi kufanya mapenzi ? aisee hivi hamu ya kufanya mapenzi kwa mtoto wa kike inaanza akiwa na umri gani ?

Wako watu wazima zaidi ya miaka 40 na wameoa makinda ,mbona tumeimbiwa kuwa mapenzi ni kama majani yanaota popote.
Halafu kwa siku hizi kumkuta bint mwenye miaka zaidi ya ishirini hajaguswa ni mtihani mkubwa.
 
Huyu mtoto wa miaka 15 msimuharibie future yake kwa kumuoa. She has a very bright future ahead of her. Just leave her alone! :(
 
Huyu mtoto wa miaka 15 msimuharibie future yake kwa kumuoa. She has a very bright future ahead of her. Just leave her alone! :(

Ni sawa kabisa unavyosema,ila ametajiwa kuolewa ameona bora awahi kwani siku hizi ,inakuwa kama ni bahati nasibu kuolewa.Wadada wanalielewa hilo,halafu mtu akipiga hodi kwa ajili ya kuoa basi wazazi nao hufarijika kwa kuona mwanawao atasitirika na mapema,kwa dunia ilipofikia kuna mambo wanaogopea mwana wao kumkuta akiwa hajaolewa.
 
Huyu mtoto wa miaka 15 msimuharibie future yake kwa kumuoa. She has a very bright future ahead of her. Just leave her alone! :(
Inaonekana wengi mumewekeza kuwa mtoto anasoma au amepasi ,tuweke upande wa pili wa shilingi kuwa mtoto hakupasi amekaa tu nyumbani na wazee wanasubiri atokee mtu wa kuoa ili mtoto wao aolewe.Kwa bahati ametokea , Je hapa mtashauri aoe yupi kati ya huyu mtoto wa kike alie na umri wa miaka 15 na yule wa 23 ?
 
Ni sawa kabisa unavyosema,ila ametajiwa kuolewa ameona bora awahi kwani siku hizi ,inakuwa kama ni bahati nasibu kuolewa.Wadada wanalielewa hilo,halafu mtu akipiga hodi kwa ajili ya kuoa basi wazazi nao hufarijika kwa kuona mwanawao atasitirika na mapema,kwa dunia ilipofikia kuna mambo wanaogopea mwana wao kumkuta akiwa hajaolewa.

Duh kudadeki wallah.Yani mzee bado una mambo ya kizamani kweli.TAMWA na TAWLA mpo??Jamaa anasema siku hizi kuolewa ni bahati hivyo binti akipata jamaa hata kama yuko shule basi aache mara moja aende kuolewa!Duu mzee yani ina maana nawe ukiwa na binti wa miaka 15 hivi na jamaa akimtokea kwa gear ya kuoa basi utamkabidhi haraka sana,wala hutafikiria tena mpango wa kumuendeleza kielimu huyo binti.
Kaazi kwelikweli mshkaji wangu!
 
asalamu alaykum.

ushauri wangu ni kuwa mfano wa utu uzima (23) na utoto (15) hakiwezi kuchukuliwa kama ndio kigezo cha uadilifu au umakini katika ndoa.

kwanza anaweza akawa mtoto mdogo lakini mambo ambayo anayajua na kuijua dunia akamshinda mwenye umri wa miaka 23 pengine kutokana na mazingira aliyokulia yakiwemo nyumbani na katika mtaa wa mji na hivyo akawa anafahamu zaidi mambo ya kijitu kizima lakini pia anaweza akawa mpole na mtiifu kwa mume kuliko mwenye umri mkubwa na akadumu katika ndoa kwa kuwa ndio kwanza anaolewa na itategemea malezi aliyokulia kutoka kwa wazazi wake na mazingira aliyokulia pia.

kwa upande wa mwenye umri mkubwa pia anaweza akawa anaijua dunia zaidi kuliko huyo mdogo mwenye umri wa miaka 15 lakini pia ujanja na kumdanganya mume na mbinu akawa anazijua zaidi na akafanya vituko vya nuni wa firaun lakini pia anaweza akwa mpole na mtiifu kwa mume hasa kwa kuzingatia kwamba anafahamu nini maana na ndoa na umuhimu wake katika maisha ya kinyumba kiujumla.

kwa ufupi ukubwa na udogo cha muhimu itategemea malezi na mazingira halisi aliyokulia mtu maana mtoto anaweza kuwa mdogo lakini mambo yake ni makubwa na anaweza kuwa mkubwa lakini mambo yake ni madogo kwa kivyo ukubwa na udogo sio kigezi halisi cha kuchagua mchumba anayefaa.

ila ushauri wangu ni kuwa kwa kuwa umri wa miaka 15 nadhani hautoshi sana kuwa mama wa nyuma unless kuwe na sababu maalumu lakini kama ni mtoto wa kawaida anayesoma ni vyema akaachiwa amalizie masomo yake vyema na baadae ataolewa asikimbilie maisha hayataki haraka wala hayakimbiliwi ikifika wakati basi utayakuta tu.

ila kwa upande wa dada mwenye umri wa miaka 23 nadhani anafaa asitiriwe kwa kuolewa ili asijiingie katika makundi mengine mabaya hasa kwa kuona labda amekaa sana bila ya kupata mwana.

kila la kheri na wachumba hao.
 
Inaonekana wengi mumewekeza kuwa mtoto anasoma au amepasi ,tuweke upande wa pili wa shilingi kuwa mtoto hakupasi amekaa tu nyumbani na wazee wanasubiri atokee mtu wa kuoa ili mtoto wao aolewe.Kwa bahati ametokea , Je hapa mtashauri aoe yupi kati ya huyu mtoto wa kike alie na umri wa miaka 15 na yule wa 23 ?

...msimamo ni ule ule, aolewe wa huyo mwanamke wa miaka 23, hako kabinti- teenager kaache kaendelee kumsaidia mama yake hapo nyumbani mpaka katapo pevuka kidogo maumbile na akili.

...:eek: khaaa! kabinti kameng'ang'aniwa utadhani hakuna kesho! Kama ni big deal kukaoa, then kalipiwe mahari halafu kasomeshwe japo elimu ya ziada ije imfae huko ukubwani.
 
Back
Top Bottom