Nioe yupi

Camfu

Member
Dec 2, 2008
21
45
Rafiki, unapoongelea kuoa inamaana kuwa unataka kufanya hatua muhimu katiak maisha, kwa hilo unahitaji kutanya tafakali na kuamua kwa dhati. Mambo ya kupenda au kupendwa ni kawaida, na ni ubinadamu, lakini kujiingiza katika mapenzi au siyo ni busara, kwa maoni yangu, fanya tafakali na uone nani angekufaa maishani kama mke wako and then tuletee mezani washikaji zako hoja zilizokufanya umchague huyo ili tupeane mawazo. Angalia katika maswala ya mapenzi isianguke wala usimwangushe mpenzi wako bali kwa nia safi na moyo dhabiti fanya uamuzi utakaokufaa wewe na yeye, nikmaanisha familia yenu. Hoja sio tu kuwa tayari kuolewa au kuoa isipokuwa kuwa tayari kupokeana na kupeana kama wana ndoa, pole ole ndugu yangu dunia tambala bovu, vibaya ukilivaa litavurika hadhalani...
 

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,611
1,250
asalamu alaykum.

ushauri wangu ni kuwa mfano wa utu uzima (23) na utoto (15) hakiwezi kuchukuliwa kama ndio kigezo cha uadilifu au umakini katika ndoa.

kwanza anaweza akawa mtoto mdogo lakini mambo ambayo anayajua na kuijua dunia akamshinda mwenye umri wa miaka 23 pengine kutokana na mazingira aliyokulia yakiwemo nyumbani na katika mtaa wa mji na hivyo akawa anafahamu zaidi mambo ya kijitu kizima lakini pia anaweza akawa mpole na mtiifu kwa mume kuliko mwenye umri mkubwa na akadumu katika ndoa kwa kuwa ndio kwanza anaolewa na itategemea malezi aliyokulia kutoka kwa wazazi wake na mazingira aliyokulia pia.

kwa upande wa mwenye umri mkubwa pia anaweza akawa anaijua dunia zaidi kuliko huyo mdogo mwenye umri wa miaka 15 lakini pia ujanja na kumdanganya mume na mbinu akawa anazijua zaidi na akafanya vituko vya nuni wa firaun lakini pia anaweza akwa mpole na mtiifu kwa mume hasa kwa kuzingatia kwamba anafahamu nini maana na ndoa na umuhimu wake katika maisha ya kinyumba kiujumla.

kwa ufupi ukubwa na udogo cha muhimu itategemea malezi na mazingira halisi aliyokulia mtu maana mtoto anaweza kuwa mdogo lakini mambo yake ni makubwa na anaweza kuwa mkubwa lakini mambo yake ni madogo kwa kivyo ukubwa na udogo sio kigezi halisi cha kuchagua mchumba anayefaa.

ila ushauri wangu ni kuwa kwa kuwa umri wa miaka 15 nadhani hautoshi sana kuwa mama wa nyuma unless kuwe na sababu maalumu lakini kama ni mtoto wa kawaida anayesoma ni vyema akaachiwa amalizie masomo yake vyema na baadae ataolewa asikimbilie maisha hayataki haraka wala hayakimbiliwi ikifika wakati basi utayakuta tu.

ila kwa upande wa dada mwenye umri wa miaka 23 nadhani anafaa asitiriwe kwa kuolewa ili asijiingie katika makundi mengine mabaya hasa kwa kuona labda amekaa sana bila ya kupata mwana.

kila la kheri na wachumba hao.

Asante Mji Mkongwe hapa umemaliza kazi ambayo wengi walikuwa wanabangaiza tu,nilichokikusudia ni tabia ambayo umeieleza kwa uwazi kabisa hivyo ichunguzwe tabia za wawili hao na kama ulivyogusia kuwa mdogo anaweza akamshinda mkubwa mpaka mwisho wa maisha ya mmoja ,nimeona hakuna cha sheria wala nini ,ukiangalia sheria zinawabana wanyonge tu ila wenye ugogo wanaweza kufanya watakavyo na hakuna mkondo wala masimbi.
 

Kibunango

JF-Expert Member
Aug 29, 2006
7,777
2,000
Mwiba soma hapa

A schoolgirl who went missing with a 49-year-old man she met on the internet has been found safe and well in France.

Laura Stainforth, 15, from School Walk, Cleethorpes, north east Lincolnshire, was found with Robert Williams in Lille.


Williams was arrested at the scene by French police officers and has been taken in custody. Humberside Police said the arrest was made after Williams and Laura attended the consulate in Lille.

French police officers attended and arrested Williams at the scene before taking him into custody, a spokeswoman for Humberside Police said.

Officers from Humberside Police are currently en route to France to bring Laura back into the country.

Detective Chief Inspector Sharon Fielding said: "It goes without saying, I am delighted that Laura has been found in Lille and we are now working alongside French authorities and Laura's family to ensure that she arrives back in the country as soon as possible and returns to her family. There is still a lot of work to be done, however, and we are working to ensure the extradition of Williams.

"I would like to thanks all of the members of public who assisted by reporting numerous sightings of Laura - one of which led us to locating Laura in Lille - and would also like to thank the local, national and European media for their help in facilitating our appeals."

Laura went missing on Wednesday last week after leaving her home at around 3.30pm to go to the shops. She was reported missing by her family at 9.23pm.

The teenager and Williams were captured on CCTV footage at Grimsby railway station on Wednesday evening. Detectives believe they took a train to Doncaster, South Yorkshire, before travelling to London, and on to Dover.

Laura was then spotted by a member of the public in Dover on Thursday and was later seen on the Pride of Kent ferry, which was travelling from Dover to Calais, that afternoon.

Source: Press Association, Wednesday January 21 2009
 

Kaizer

JF-Expert Member
Sep 16, 2008
25,269
2,000
Mwiba huu utaratibu naona upo visiwani tu huku bara utafungwa kama ukioa mtoto wa miaka 15....LOL
 

Yunic

Senior Member
Sep 26, 2007
109
0
Ni vyema kama huyu binti akiendelea na/au kupewa nafasi ya kusoma zaidi. Marrying her right now will cut off her chances for education, advancement and a full life. Furthermore, at 42, this guy is actually her father!
 

Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,737
2,000
Asante Mji Mkongwe hapa umemaliza kazi ambayo wengi walikuwa wanabangaiza tu,nilichokikusudia ni tabia ambayo umeieleza kwa uwazi kabisa hivyo ichunguzwe tabia za wawili hao na kama ulivyogusia kuwa mdogo anaweza akamshinda mkubwa mpaka mwisho wa maisha ya mmoja...

...dah, ama mwenye njaa hana miiko, panatafutwa kila hila almuradi mlo uhalalishwe!

Tabia hubadilika yakhe,...!
 

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,611
1,250
Ni vyema kama huyu binti akiendelea na/au kupewa nafasi ya kusoma zaidi. Marrying her right now will cut off her chances for education, advancement and a full life. Furthermore, at 42, this guy is actually her father!

Sawa sasa unamwacha halafu baada ya wiki unakuja kusikia mwenzako ameshaoa na hakuna sheria wala katiba ,utasemaje ? Halafu sheria ya Tz inaruhusu mwenye mimba kusoma.
 

smaki

JF-Expert Member
Jan 23, 2019
1,514
2,000
Miaka 15 mbona safi tuu, house girl 12 wanabaka vizee vya miaka 55yrs na inaingia vizuri bila kikwazo
 

big soap

Member
Feb 22, 2020
83
125

Tatizo ni sheria ya Ndoa ya Tanzania ya 1973 ambayo inaleta utata. Sheria hiyo inasema kwamba binti wa miaka 15 anaweza kufunga ndoa kwa kupata ridhaa ya wazazi au mlezi wake.

Hiki kifungu kinaenda kupingana na kile cha makosa ya kujaamiana(1998) ambayo inasema kwamba mtoto chini ya miaka 18 hawezi kukubali kufanya mapenzi na ukifanya naye mapenzi basi inachukuliwa kwama umembaka(statutory rape).

Tukija kwenye suala la tafsiri za sheri hizi mbili, basi napenda kusema kwamba kulingana na sheria ya tafsiri ya sheria(tanzania) inabainisha kwamba sheria iliyopitishwa karibuni itaweza kuchukuliwa kama tafsiri sahihi ( subject to arguments).

Huyo jamaa, anatakiwa ajiweke katika viatu vya mzazi huyo na kujiuliza kama angekuwa binti yake angeweza kuwmoza kwa jamaa wa miaka 42?

Hitimisho langu ni kwamba jamaa ni mbakaji mtarajiwa na aangalie mkondo wa sheria unamfuata. Pili binti huyo kafaulu kwenda sekondari(kulingana na maelezo ya mtoa hoja) kwa hiyo ni kutaka kumwalibia maisha yake.
Tatu, sote hapa barazani tunatakiwa kukemea vitendo kama hivi vya ubazazi kwa nguvu zote.
Umeongea sahihi sana.

Kumuozesha mtoto wa miaka 15 ni kumdhulumu.

Kwanza hana maamuzi yake binafsi bali anaamuliwa

Pili ni hatari kwa afya yake ikitokea amebeba mimba kwa umri huo, kujifungua salama ni kwa neema ya mungu tu na si vinginevyo. Kuna uwezekano mkubwa wa kupoteza maisha wakati wa kujifungua kwa sababu nyonga zake hazijatanuka.

Tatu hawezi kuhimili mikiki mikiki ya ndoa, lakini amefaulu kwa nini asiendelee na elimu?

My point mtoto aachwe asome atimize ndoto zake, kama ni lazima sana kuoa kati ya hao wawili waliotajwa kwenye uzi basi aolewe huyo mwalimu mwenye miaka 23.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom