Ninyi CHADEMA Mungu anawaona!

MAHANJU

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Messages
4,978
Points
2,000
MAHANJU

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2014
4,978 2,000
Mmechomekea wenzenu sasa mmewaingiza mtegoni, angalieni mambo yalivyo magumu.Mlianza kwa kutangaza ilani yenu mkiananza na ELIMU,ELIMU,ELIMU mkamalizia kwa kuwaambia elimu bure mpaka chuo kikuu.

Kwakua wenzenu walikua hawakujiandaa na hili kwenye ilani yao baada ya kuona mnapiga kelele sana nao wakaingia mtegoni,wakachomekea, wakaesema basi isiwe nongwa ELIMU BURE wao mpaka Kidato cha nne, hawakua na namna imewabidi watekeleze, Oneni bajeti kubwa inaelekea huko kila mwezi! Sasa mambo mengine yataenda vipi? hata barabara,maji na Madawa nayo yanahitaji pesa etiii!!.

Elimu bure mpaka kidato cha NNE sio mchezo, huu ni zaidi ya mzigo mzito, hakuna anayependa kuona wanafunzi wa vyuo vikuu wanakosa mikopo maana kule chini ndiko pesa vyingi inakotumika.Hata kama ningekua mimi sidhani kama ningeweza kumudu kuwapa mikopo wanafunzi wote kwa hali hii.

Ninyi mlisema mpaka chuo kikuu, mlijiandaaje?msikae kimya jamani toeni mikakati yenu! Kama mpaka kidato cha NNE hali iko vile, vipi wangesema nasi mpaka chuo kikuu?
Hebu toeni mikakati yenu maana inawezekana mlijiandaa muda mrefu kukabiliana na suala hili ambalo bajeti yake sio ya mchezo.
 
Quinine

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Messages
16,337
Points
2,000
Quinine

Quinine

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2010
16,337 2,000
Tunakoelekea karibu sekondari nao watawekewa vigezo vya kusomeshwa bure.

Serikali itamlipia mwanafunzi wa sekondari atakayechukua masomo ya sayansi tu, wait n see.
 
Y

ydn

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2015
Messages
2,107
Points
2,000
Y

ydn

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2015
2,107 2,000
Mmechomekea wenzenu sasa mmewaingiza mtegoni, angalieni mambo yalivyo magumu.Mlianza kwa kutangaza ilani yenu mkiananza na ELIMU,ELIMU,ELIMU mkamalizia kwa kuwaambia elimu bure mpaka chuo kikuu.

Kwakua wenzenu walikua hawakujiandaa na hili kwenye ilani yao baada ya kuona mnapiga kelele sana nao wakaingia mtegoni,wakachomekea, wakaesema basi isiwe nongwa ELIMU BURE wao mpaka Kidato cha nne, hawakua na namna imewabidi watekeleze, Oneni bajeti kubwa inaelekea huko kila mwezi! Sasa mambo mengine yataenda vipi? hata barabara,maji na Madawa nayo yanahitaji pesa etiii!!.

Elimu bure mpaka kidato cha NNE sio mchezo, huu ni zaidi ya mzigo mzito, hakuna anayependa kuona wanafunzi wa vyuo vikuu wanakosa mikopo maana kule chini ndiko pesa vyingi inakotumika.Hata kama ningekua mimi sidhani kama ningeweza kumudu kuwapa mikopo wanafunzi wote kwa hali hii.

Ninyi mlisema mpaka chuo kikuu, mlijiandaaje?msikae kimya jamani toeni mikakati yenu! Kama mpaka kidato cha NNE hali iko vile, vipi wangesema nasi mpaka chuo kikuu?
Hebu toeni mikakati yenu maana inawezekana mlijiandaa muda mrefu kukabiliana na suala hili ambalo bajeti yake sio ya mchezo.
Mkuu umenifurahisha sana na uzi wako! Maisha bila mipango utakwama tu. Naamini Ukawa walikuwa wanajua nini hasa wanamaanisha waliposema Elimu bure hadi chuo kikuu.
Kinachoishinda au kitakachoishinda hii serikali ya awamu hii ni kitu vitu vidogo sana;

Kwanza hawajiamini hata kidogo hii inaonyesha kwa jinsi wanavyohangaika na upinzani na kusahau kabisa nini hasa wanatakiwa kufanya. Mi nafikiri wasiwasi huu labda wanajua vizuri kilichotokea October 2015 au wanahofu kubwa ya 2020.

Pili na hili linanishangaza sana Mkuu wa Nchi alisema mara nyingi sana na hata katika hotuba yake Bungeni alilisema hili, nchi hii ni tajiri sana na anataka iwe na uwezo wakusaidia nchi nyingine. Ok linalonishangaza ni kuwa hajahangaika na utajiri wetu zaid ya kutegemea kodi za wananchi ambao yeye mwenyewe anaamini ni maskin na kujinadi ni rais wawanyonge. Mfano tuna madini ila sijasikia akizungumzia au kupitia mikataba mbalimbali, tuna mbuga nzuri tu alichokifanya ni kuongeza kodi. Mimi nafikiri Ukawa wanaliona hilo na wanajua hela ipo wapi

Tatu ni Mkuu hashauriki au washauri wanamuogopa. Mawaziri wake wapo wapo tu na siwalaumu wao, nadhani kuna wenye uwezo mzuri tu na mawazo chanya ila style ya mkuu inawafanya wakae kimya. Na Mkuu hata hajishughulishi nao! Angelikuwa na mipango mizuri inzyoeleweka kwa wasaidizi wake tungeona jinsi anavyowawajibisha mawaziri ila hilo halipo.

Hivyo kwa mtazamo wangu naona ugumu wanajipa wenyewe tu. Kila kitu kiko wazi huwezi tegemea kodi za wananchi wako ambao 70% ni masikin ili kuiendesha nchi yenye kila aina ya rasilimali.
 
M

MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2013
Messages
8,163
Points
2,000
M

MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2013
8,163 2,000

Fact..!
 
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
38,950
Points
2,000
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
38,950 2,000
Mkakati wa kwanza ni kufumua upya mikataba yote kandamizi ya gas na madini.
 
M

Mgango

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2016
Messages
2,345
Points
2,000
Age
61
M

Mgango

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2016
2,345 2,000
Kamuulizeni mwezi wa kwanza ile formula ya xcel waliyotumia pale mlimani city ili balance? Shida iko kwenye formula wakiirekebisha majibu ya maswali yenu yatapatikana
 
Bururu

Bururu

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2016
Messages
843
Points
1,000
Bururu

Bururu

JF-Expert Member
Joined May 21, 2016
843 1,000
Elimu elimu elimu kweli hapa inahitaji kichwa
 
Magonjwa Mtambuka

Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Messages
18,381
Points
2,000
Magonjwa Mtambuka

Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2016
18,381 2,000
Yaani ndio mnategemea kufanikiwa 2020 kwa propaganda mfu kama hizi?
 
M

mwasu

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2011
Messages
8,741
Points
2,000
M

mwasu

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2011
8,741 2,000
wao walifaulu mtihani kwa kuiba majibu ya wenzao, wamejikuta wamenakili mpaka jina sasa kazi ni kwao.
 
P

Phillipo Bukililo

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2015
Messages
9,577
Points
2,000
Age
44
P

Phillipo Bukililo

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2015
9,577 2,000
Mmechomekea wenzenu sasa mmewaingiza mtegoni, angalieni mambo yalivyo magumu.Mlianza kwa kutangaza ilani yenu mkiananza na ELIMU,ELIMU,ELIMU mkamalizia kwa kuwaambia elimu bure mpaka chuo kikuu.

Kwakua wenzenu walikua hawakujiandaa na hili kwenye ilani yao baada ya kuona mnapiga kelele sana nao wakaingia mtegoni,wakachomekea, wakaesema basi isiwe nongwa ELIMU BURE wao mpaka Kidato cha nne, hawakua na namna imewabidi watekeleze, Oneni bajeti kubwa inaelekea huko kila mwezi! Sasa mambo mengine yataenda vipi? hata barabara,maji na Madawa nayo yanahitaji pesa etiii!!.

Elimu bure mpaka kidato cha NNE sio mchezo, huu ni zaidi ya mzigo mzito, hakuna anayependa kuona wanafunzi wa vyuo vikuu wanakosa mikopo maana kule chini ndiko pesa vyingi inakotumika.Hata kama ningekua mimi sidhani kama ningeweza kumudu kuwapa mikopo wanafunzi wote kwa hali hii.

Ninyi mlisema mpaka chuo kikuu, mlijiandaaje?msikae kimya jamani toeni mikakati yenu! Kama mpaka kidato cha NNE hali iko vile, vipi wangesema nasi mpaka chuo kikuu?
Hebu toeni mikakati yenu maana inawezekana mlijiandaa muda mrefu kukabiliana na suala hili ambalo bajeti yake sio ya mchezo.
Mkuu, Mbunge wa zamani Machali karudi CCM. Mwaka mmoja uliopita alikuwa na mitazamo kama ya kwako, tena alikuwa sehemu ya watunga sheria ndani ya bunge.
 
Forum statistics

Threads 1,285,880
Members 494,778
Posts 30,877,285
Top