MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,966
Mmechomekea wenzenu sasa mmewaingiza mtegoni, angalieni mambo yalivyo magumu.Mlianza kwa kutangaza ilani yenu mkiananza na ELIMU,ELIMU,ELIMU mkamalizia kwa kuwaambia elimu bure mpaka chuo kikuu.
Kwakua wenzenu walikua hawakujiandaa na hili kwenye ilani yao baada ya kuona mnapiga kelele sana nao wakaingia mtegoni,wakachomekea, wakaesema basi isiwe nongwa ELIMU BURE wao mpaka Kidato cha nne, hawakua na namna imewabidi watekeleze, Oneni bajeti kubwa inaelekea huko kila mwezi! Sasa mambo mengine yataenda vipi? hata barabara,maji na Madawa nayo yanahitaji pesa etiii!!.
Elimu bure mpaka kidato cha NNE sio mchezo, huu ni zaidi ya mzigo mzito, hakuna anayependa kuona wanafunzi wa vyuo vikuu wanakosa mikopo maana kule chini ndiko pesa vyingi inakotumika.Hata kama ningekua mimi sidhani kama ningeweza kumudu kuwapa mikopo wanafunzi wote kwa hali hii.
Ninyi mlisema mpaka chuo kikuu, mlijiandaaje?msikae kimya jamani toeni mikakati yenu! Kama mpaka kidato cha NNE hali iko vile, vipi wangesema nasi mpaka chuo kikuu?
Hebu toeni mikakati yenu maana inawezekana mlijiandaa muda mrefu kukabiliana na suala hili ambalo bajeti yake sio ya mchezo.