Nini unakimiss usiku wa leo?

Nini unakimiss usiku wa leo?

Nyumba gani ya baba yako mzee mwandimbo ama!? mie nimerudi, nimekaa wili 2 haupo nyumbani, halafu unaniambia “nilikuwa nyumbani” 👌🏽
Hapo mwisho umenizodoa kwa kubana pua si ndio!!
Nimelia sana😭
 
Ukikosa kwa Atoto nitakulipa mwenyewe kwani sh ngapi..

Halafu sikuwa kwa mchepuko, ni mihangaiko ya fwedha, akiona msg ya nmb muamala umefanyikq MENO THELATHINI NA NJE YOTE MBILI,
Ila kwenye kuzisaka analeta wivu, ngoja mwezi huu sitoi KODI YA MEZA tuone jeuri yake, ataambulia huo huo mshahara wa kuonewa huruwa na jamhuri ya muungano 🤣😂
Igweeeeeeeee 🫡
Maboss wote mnilipe km vipi 😹
 
Michezo ya matopeni ni hovyo sana, nikisikia mwanaume anafanya hivyo namdharau sana.

Pole sana, upwiru unatesa 🤭
Katika vitu sivutiki navyo basi ni huo mchezo wa kumsaka kambale, sio vitu vyangu kabisaaaaaaaa….

Upwiru we acha tu, sasa hivi MKUYENGE ukigusa paja, nahisi paja linaungua
 
Back
Top Bottom