financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,192
- 43,533
Nasoma comments tu
We acha tu😅.Baba Carleen, Mac Alpho naomba nione unajivunia nini kwa yule nyau wako tafadhali, Nione wivu nizimie nikufe baba yangu..!!😅😅
Khakhakhaaaa!!Turushe roho pia,tuko tayari kuona wivu😅
Siku hizi wakiona hivyo wanajiita "IMAGE OF GOD"Ukute ndio yule Anna aliekuwa sabufa wa mjengoni [emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!! JAPO SURA SIO ROHO ILA ILE SURA HAPANA
Mambo yakijabadilika basi bwana, wewe enjoy wakati huu.Ya binadamu mengi sana , maana moyo wa mtu kichaka
Watu weuweeeeeeeee!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwanza ni mtu mwenye focus na maisha, Anajua kupenda ukafeel kupendwa , Muelewa sana, anajali si muda wako tu, hisia zako tu hata majukumu yake as a man, Mchangamfu, Hakompliketi ishuz kabisa, 6*6 ako mtundu hadi najionea wivu and above all he's matured enough!!!!