Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 3,937
- 12,421
Ndugu zangu kila mtu ana wake anayempenda kwa dhati mke/ mume au mchumba.
Hembu jivunie hapa mazuri yake toka umekuwa nae.
Nianze mimi, mama watoto wangu Anna nakupenda mno aiseeh, miaka mitano sasa toka tumeoana, muda mwingine huwa yunaparurana hasa.
Ila tunakaa na kuyamaliza kisha tunasonga mbele.
Ana mazuri mengi sana huyu mke wangu, huwa nayachanganya yote mabaya na mazuri kisha nayapa jina moja (MAZURI )kwa kuwa najua binadamu hatujakamilika.
Ndugu zangu kwa kuwa sijapata ridhaa yake siwezi kutupiamo kapicha kake humu.