Nini unajivunia kutoka kwa mwenzi wako?

Nini unajivunia kutoka kwa mwenzi wako?

Ndugu zangu kila mtu ana wake anayempenda kwa dhati mke/ mume au mchumba.

Hembu jivunie hapa mazuri yake toka umekuwa nae.

Nianze mimi, mama watoto wangu Anna nakupenda mno aiseeh, miaka mitano sasa toka tumeoana, muda mwingine huwa yunaparurana hasa.

Ila tunakaa na kuyamaliza kisha tunasonga mbele.

Ana mazuri mengi sana huyu mke wangu, huwa nayachanganya yote mabaya na mazuri kisha nayapa jina moja (MAZURI )kwa kuwa najua binadamu hatujakamilika.

Ndugu zangu kwa kuwa sijapata ridhaa yake siwezi kutupiamo kapicha kake humu.
She is everything am blessed to have,very understanding, anajali,he pushes me to keep grinding when am in tough situations,mvumilivu..ana mengu mazuri Mungu amtunze

Heshima kwa kina Antonia wote huko duniani
 
Ndugu zangu kila mtu ana wake anayempenda kwa dhati mke/ mume au mchumba.

Hembu jivunie hapa mazuri yake toka umekuwa nae.

Nianze mimi, mama watoto wangu Anna nakupenda mno aiseeh, miaka mitano sasa toka tumeoana, muda mwingine huwa yunaparurana hasa.

Ila tunakaa na kuyamaliza kisha tunasonga mbele.

Ana mazuri mengi sana huyu mke wangu, huwa nayachanganya yote mabaya na mazuri kisha nayapa jina moja (MAZURI )kwa kuwa najua binadamu hatujakamilika.

Ndugu zangu kwa kuwa sijapata ridhaa yake siwezi kutupiamo kapicha kake humu.
@Rumaiya happy new Year Chimama wangu in Advance
 
Ila wanawake mnapenda kufisia mabwana zenu kwenye show eti ni moto yupo vizuri
Sijawah ona mwanamke akisema bwana wake hajui mapenzi kimoja chali haya bana wanawake mnajua kutulinda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
😂😂😂😂
 
Zaidi ya makalio makubwa mno sina cha kujivunia huyu mkwere
 
Show show- maana ananipa ya Hela yote kila siku na uzuri wake ni wa kipekee + nimemzoea sana.
 
Back
Top Bottom