Nini tunahitaji kwanza? - (tazama picha na amua)

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,474
39,987
Hizi ni picha za jana baada ya mvua kunyesha katikati ya Dar (picha kwa hisani ya MICHUZI JR

mafuriko.jpg
mafuriko2.jpg


mafuriko3.jpg
mafuriko4.jpg


wakati huo huo,

Hapan ni Kihesa huko Iringa...

kihesa.jpg


Pamoja na hayo, watu tuliopiga kambi kwenye bonde la kashfa tumejikuta tunafikiria zaidi kuhusu hili:

hk_id_smart_sample.gif
 
Last edited:
attachment.php


Hii ni ambulance inayopekeleka mama mjamzito kujifungua. Picha niliipiga mwaka jana maeneo ya Kagongwa, Kahama. Sikuweza piga kwa karibu maana mama mtoto alikuwa tayari kwenye njia ya uzazi.
 
Maaan....I refuse to believe what you just said! Yaani huo mkokoteni unaovutwa na Punda ni gari la kubebea wagonjwa? I guess if you don't have any other means you just have to improvise....but dang.....it's a hard knock life out there
 
.....unategemea nini Jiji bado wanatumia sewage system aliyojenga mkoloni 1950s kwa population ya watu laki mbili?
 
Labda itafutwe mitumbwi!Suala la vipaumbele limekuwa ni tatizo katika Taifa letu kwa muda mrefu.Tunataka tukimbizane na kasi ya ulimwengu bila kupima 'uwezo' wetu.Just think of rada,ndege ya prezidaa na mengine mengi tu.Jiulize waliopitisha maamuzi ya kununua 'anasa' hizo walikuwa hawajawahi kuziona adha hzi ambazo pia ni aibu.We need some new people with new vision.
 
Mimi sina la kusema zaidi ya kutikisa kichwa na kuchukua kikombe cha kahawa nipoozeshe spid ya ubongo.
 
attachment.php


Hii ni ambulance inayopekeleka mama mjamzito kujifungua. Picha niliipiga mwaka jana maeneo ya Kagongwa, Kahama. Sikuweza piga kwa karibu maana mama mtoto alikuwa tayari kwenye njia ya uzazi.


Tatizo hapa ni uongozi ikiwa hii ndio njia pekee ya kumfikisha mgonjwa hospital maana kiongozi anashindwa hata kuwahamasisha wananchi wakaona umuhimu wa kuchangishana na kununua ambulance hata kama itachukua miaka miwili ama mitatu hili ni tatizo.viongozi haohao wanaongoza kuuza mashamba na viwanja vya wazi na kwa manufaa yao.,,,think twice.


SAHIBA.
 
Maaan....I refuse to believe what you just said! Yaani huo mkokoteni unaovutwa na Punda ni gari la kubebea wagonjwa? I guess if you don't have any other means you just have to improvise....but dang.....it's a hard knock life out there
Nyani,
When were you last in Bongo? it is a hard knock life out there alright.
 
Baada ya miaka karibu 50 wataomba tuwaongezee mingine mitano na sisi tutawapa na baada ya hapo tukijikuta pale pale tutauliza kulikoni. Wataomba tena mingine mitano na baada ya miaka 60 tutajikuta tena pale pale na kujiuliza tena kulikoni. And the cycle repeats itself every five years and we expect different results.. I feel like I wanna throw up !!
 
Tatizo hapa ni uongozi ikiwa hii ndio njia pekee ya kumfikisha mgonjwa hospital maana kiongozi anashindwa hata kuwahamasisha wananchi wakaona umuhimu wa kuchangishana na kununua ambulance hata kama itachukua miaka miwili ama mitatu hili ni tatizo.viongozi haohao wanaongoza kuuza mashamba na viwanja vya wazi na kwa manufaa yao.,,,think twice.SAHIBA.

Swahiba

Wananchi wapo kwenye lindi la umasikini, utachangisha nini hao!! Mwananchi hawezi hata kununua panadol Sh 200, leo achangia pesa ya kununua Ambulance? labda kama atachangia maisha yake yote na vitukuu ndo utapata hiyo pesa.....kumbuka tuna miaka almost 50 ya uhuru mazeeee

:rolleyes:
 
Swahiba

Wananchi wapo kwenye lindi la umasikini, utachangisha nini hao!! Mwananchi hawezi hata kununua panadol Sh 200, leo achangia pesa ya kununua Ambulance? labda kama atachangia maisha yake yote na vitukuu ndo utapata hiyo pesa.....kumbuka tuna miaka almost 50 ya uhuru mazeeee

:rolleyes:

Sasa hawa viongozi wanapataje pesa za kufanyia kampeni kina Lowasa na kundi lake wanapoingia madarakani wanahakikisha wanalipa fedha zao za kampeni kwanza hamna uzalendo....think twice.

SAHIBA.
 
Sasa hawa viongozi wanapataje pesa za kufanyia kampeni kina Lowasa na kundi lake wanapoingia madarakani wanahakikisha wanalipa fedha zao za kampeni kwanza hamna uzalendo....think twice.

SAHIBA.

Wizi, ufisadi, rushwa na ujinga wetu sisi watanzania....
 
...dawa ni kuwang'oa CCM tuu hakuna kitu kitabadilisha maisha ya wananchi kama CCM wataendelea kutawala!
 
...dawa ni kuwang'oa CCM tuu hakuna kitu kitabadilisha maisha ya wananchi kama CCM wataendelea kutawala!


Dawa ni kumpata mtu mwenye fikra za kimaendeleo ya kweli na si wababaishaji hawa tuliowachiwa na Mwalimu we need a new generation for the new direction. think twice.

SAHIBA
 
Hizi ni picha za jana baada ya mvua kunyesha katikati ya Dar (picha kwa hisani ya MICHUZI JR

mafuriko.jpg
mafuriko2.jpg


mafuriko3.jpg
mafuriko4.jpg


wakati huo huo,

Hapan ni Kihesa huko Iringa...

kihesa.jpg


Pamoja na hayo, watu tuliopiga kambi kwenye bonde la kashfa tumejikuta tunafikiria zaidi kuhusu hili:

hk_id_smart_sample.gif

Heshima mbele mkuu...kwa kweli inasikitisha sana ukiangalia picha kaka hizo hapo juu...We fikiria hapo ni katika jiji la Dar es salaam..vp kuhusu Mtwara,Singida,Lindi na mikoa mingine hali ikoje??...Na kuna watu wameajiriwa kwa ajili ya mipango miji,wanafanya nini hasa hawa???,Hivi serikali haiangalii haya????...Na tunakoelekea hali itazidi kuwa mbaya zaidi maana kipaumbele cha viongozi wetu wa kisiasa sasa hivi(mkumbo ambao mpaka watendaji wa serikali wameanza kuufuata) ni kuibuliana kashfa na wengine kuibuka na kuzijibu(badala ya kutatua matatizo ya kimsingi ya wananchi kama matatizo ya barabara,miundombinu ya maji safi na taka,elimu,afya nk)...Kazi ni kubwa sana MMK maana kilichopo sasa serikali kwa sasa badala ya kutauta matatizo ya msingi ya wananchi sasa ni kila kukicha inaibuka kashfa mara hii mara ile na viongoiz badala ya kufanya kazi wanakaa na kujiandaa/kuanza kujibu kashfa hizo..Tutafika kweli????,inasikitisha mno,fikiria Dunia ya sasa binadamu(ambaye ana hali mbaya mno kiafya) anapelekwa hospitali kwa mkokoteni unaovutwa kwa Punda ilhali kuna mzito yeye kazi yake ni kila siku kubadilisha mashangingi(magari ya kifahari)...nchi hii bwana aaaaaaaaaaaaaaaaargh....Ifikie kipindi wale tunaowapa dhamana ya kutuongoza watutendee haki jamani(kutuletea maendeleo) na si watunyonye(waingie madarakani klwa lengo la kuchuma/kutajirika na kutuacha wapiga kura tukitaabika kwa maisha magumu)....Watanzania tunahitaji kubadilika jamani(hata kama Miafrika ndivyo tulivyo).....Inasikitisha kwa kweli
 
Kama kadi zitaleta toto nzuri za Kichina kama hicho, basi "Potelea mbali, litakalokuwa naliwe, TUNATAKA VITAMBULISHO..." Pia mwenzenu nimeahidiwa kazi kwenye ugawaji hizo kadi huku Sikonge. Hivyo, MMM angalia sana kuniharibia mwenzio hela ya kuongeza Mke wapili. Kumbuka mwenzenu natoka familia ya Mtemi/Mwanangwa Mapalala. Mke mmoja hatoshi eti kwa heshima yangu. Nikiwa na walau wawili hapo poa poa kidogo. Nikipewa na Tabora mjini, looo ntatafuta na Mwaarabu. Hapo sintakuwa mwenzenu kabisa. Mniite Fisadi au msiniite sawa. Kama kunifunga hamnifungi sanasana ni Keko wiki kadhaa na ninapunguziwa dhamana na mie huyoooo kwa wake zangu na mamilioni yangu kimbindoni. Msio nazo na mlio na mapenzi na nchi yenu kama Dr. Slaa donge la kooni jema. Labda mumlete yule DC mpiga bakora hapo itaanza taabu, vingenvyo,,,, Tanzania Tambarare nyieeee!!!!
 
MMM, ungeleta picha za mawodini watu wakiwa wamelala 3 katika kitanda, ungeweka picha za madarasa yasio na paa wala meza, ungeweka picha za familia zinazopika ishi katika vibanda kama vya kuku.... halafu unge contrast na picha za mafisadi wanavyo ishi.... then mtu anapata kuona by example.

Ila hizo kero ndogo ndogo za mafuriko, mbona hata nchi za dunia ya kwanza zipo. A good start to differentiate kati ya mahitaji , na matakwa.... serekali nyingi za Africa zinaipa kipaumbele madudu yasio na manufaa kwa wengi.

Kujibu swali lako, I would surely not choose hiyo ID system, kwani Tanzania haina infrastructure inayoweza ku support hizo technologies zitakazo tumika.
 
Back
Top Bottom