wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 24,697
- 26,815
Salaam wakuu poleni na harakati,
Ni mda kiasi sikuwa hapa jukwaani kutokana na kazi za hapa na pale ila namshukuru Mungu nimerudi salama huko nilikokuwa, kwanza niwape poleni kwa misukosuko ya hapa na pale pamoja na Paschal Mayalla member mwenzetu sijui anaendeleaje mpaka sasa maana mara ya mwisho nilisoma uzi mmoja kuwa amepata ajali.
Twende kwenye mada hivi ni nini tofauti ya majini na mapepo maana huwa mara nyingine waweza kumwona kichaa akasikia watu wanasema yule ana mapepo au yule ana majini hivi hawa viumbe ni sawa kitengo tofauti au ni tofauti kitengo ni wasa.