Mr Dhaifu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 778
- 184
Jaribu kufikiria kabla hujatukana,
Msizani kama mimi sijui kutukana lakini nadhani ni vyema tukajibu hoja kuliko kutumia lugha chafu.
Tabia hii mmewaambukiza hadi viongozi wenu nao naona wakiingia hapa ni matusi tu, hivi mkichukua nchi huko ikulu si kutakuwa kama jela tu?
Hiyo ni njaa tu inakusumbua onyesha tusi hapo acha kuweweseka hoja zako dhaifu mno mkuu kwani ni lini Cdm iliwahi kuongoza nchi CDM ni chungu kwa watu wasio waadilifu kama wewe wenye mawazo au wanaojilimbikizia rasilimali za wananchi nakufanya zao na familia zao ndio maana umejiengua mapema maana huku si pako mawazo yako na tamaa zako za madaraka na uchumia tumbo visinge timia huko cdm kaa huko kwa mafisadi wenzio bora rangi yako imeonekana mapema!