Nini tofauti kati ya CHADEMA na utawala wa Idd Amin?

Kwanza unalinganisha mambo tofauti, Idi Amin na cdm wapi na wapi, halafu hakuna uchambuzi wa maana. Ujue kama sio cdm acha magamba nchi hii saa hizi wote tungekua manamba kwa bwana richmond/dowans and the likes.
 
1. OCD (Obsessive Compulsive Disorder)
2. DG (Delusions of Grandeur)
3. CLD (Compulsive Lying Disorder)
4. ASPD (Attention Seeking Personality Disorder)
5. ODD (Oppositional Defiant Disorder)
6. MPD (Multiple Personality Disorder)
7. LD (Literacy Disorders)
yote hayo maana yake ni kichaa
...
8. Fisadiliasis Syndrome
9. Slaaphobia

Huyu jamaa ni zaidi ya kichaa!
 
WanaJF, tusiwe wakali sana. Hii ni evidence ambayo inamsaidia JK anapopitisha bakuli kwa kina Bill Gates na nchi wahisani kwa ajili ya "MALARIA."

JF ina wanachama zaidi ya 100K kwa hiyo ni jukwaa zuri la kuchukua data. Hivi hamshangai tulianza na mwanachama mmoja mwenye malaria, "Malaria Sugu" lakini kila siku wanaongeza? Halafu ushahidi mzuri zaidi (kwa JK), waliotoka London, New York, na kwingineko mara wanapofika hapa Bongo, "Malaria" inawaingia kichwani.

Lets read between the lines!
 
Ila binadamu ukifika mahali unaacha kutumia akili unaanza kutumia maelekezo ya mtu mwingine huna tofauti na maiti maana maiti haijui kitu, huyu Lukosi nadhani ni njaa inamsumbua anaona bora awe kama maiti lakini apate kamkate. Na hili nimeliona kwa watanzania wengi wasomi na wenye nyazifa kubwa wakiishi kwa mtindo wa Lukosi huu ni udahifu mkubwa sana kwa mwanadamu anayejitambua lakini bado ni uhuru wa mtu kuchagua njia ya kujipatia kipato ila njia hii ni ya aibu na fedhea kubwa sijawahi kuona short cut iliyo sahihi Lukosi na wengine wenye fikra kama hizi ni vyema mkatafakari mara mbili maana inafikia mtu unaonekana kituko mbele ya jamii lakini maadamu unapata kamkate unaona ni sawa bila kujali jamii inakuonaje. CCM wamebuni njia ya kutoka kimaisha ukitaka kutoka ni kuwa MNAFIKI NA MSANII basi
 
Uwezo wako wa kufikiri ndo ulipoishia au bado unaendelea kuongeza ujinga,,,watu nyie wakina mikosi mnatoka iringa mna mkosi..nenda kasome uongeze upeo,chadema ilishawahi kushika dola,,think twice..si wasakatonge twafwa
kwanza unalinganisha mambo tofauti, idi amin na cdm wapi na wapi, halafu hakuna uchambuzi wa maana. Ujue kama sio cdm acha magamba nchi hii saa hizi wote tungekua manamba kwa bwana richmond/dowans and the likes.
 
Uwezo wako wa kufikiri ndo ulipoishia au bado unaendelea kuongeza ujinga,,,watu nyie wakina mikosi mnatoka iringa mna mkosi..nenda kasome uongeze upeo,chadema ilishawahi kushika dola,,think twice..si wasakatonge twafwa
Una akili lakini sikuelewi
 
Nimekaa nimejiuliza maswali mengi kuhusu namna utawala wa CHADEMA ulivyo na nimeshindwa kuelewa.

Ndani ya CHADEMA ni dhambi kuhoji lolote baya likifanywa na wakuu wa chama
Ndani ya CHADEMA mgombea urais anachaguliwa na mtu mmoja tu
Ndani ya CHADEMA kuna kashfa nyingi sana ambazo ni marufuku kuzijadili wala kuhoji na ukuionekana unataka kudadisi basi utaitwa msaliti.

Tukumbuke kuwa kauli mbiu ya CHADEMA ni demokrasia huru na haki, Hivi wanelewa kweli maana ya demokrasia au wanaimba tu kama nyimbo za kizaire?

CHADEMA wananikumbusha Idd Amin wakati wa utawala wake Uganda, ilikuwa ukisema lolote baya dhidi yake basi hautachukua raundi kesho yake watatkukuta kama sio kwenye friji basi kando kando ya barabara umekufa.
Chadema wao wanapenda kuwanyooshea vidole CCM na kuwahimiza wafuasi wao ambao wame wa brainwash kuandamana kila kukicha na kufanya vurugu pale wanapopata cha kuongea wakati wao yakitokea kwao husema wamesingiziwa

Pia kuna jambo moja linalonitia mashaka hapa.
Hawa CHADEMA kila kukicha wanajenga chuki kati ya wananchi na polisi. Hii ina maana kuwa kama CHADEMA wakipewa dola basi polisi wote itabidi wafukuzwe na wataunda polisi mpya. unaandaa kuwafukuza walinzi wa usalama wenye mafunzo ya kijeshi matokeo yake unayajua???

Hii ni hatari sana kwani hawa watu wanweza kuja kuwa hatari kuliko hata Amin kwani sasa hawana dola ni huwezi kuwahoji, jee wakichukua nchi tutapona kweli?

Hii ndharia ya kutetea na kuficha madhambi ni hatari sana kwa taifa letu
Idi-Amin-Dada-9183487-1-402.jpg

Njaa kali! Njaa ya namna hii, unaweza kumkana hata mama yako mzazi for the sake of money!
 
Jaribu kufikiria kabla hujatukana,
Msizani kama mimi sijui kutukana lakini nadhani ni vyema tukajibu hoja kuliko kutumia lugha chafu.
Tabia hii mmewaambukiza hadi viongozi wenu nao naona wakiingia hapa ni matusi tu, hivi mkichukua nchi huko ikulu si kutakuwa kama jela tu?
 
Nimekaa nimejiuliza maswali mengi kuhusu namna utawala wa CHADEMA ulivyo na nimeshindwa kuelewa.

Ndani ya CHADEMA ni dhambi kuhoji lolote baya likifanywa na wakuu wa chama
Ndani ya CHADEMA mgombea urais anachaguliwa na mtu mmoja tu
Ndani ya CHADEMA kuna kashfa nyingi sana ambazo ni marufuku kuzijadili wala kuhoji na ukuionekana unataka kudadisi basi utaitwa msaliti.

Tukumbuke kuwa kauli mbiu ya CHADEMA ni demokrasia huru na haki, Hivi wanelewa kweli maana ya demokrasia au wanaimba tu kama nyimbo za kizaire?

CHADEMA wananikumbusha Idd Amin wakati wa utawala wake Uganda, ilikuwa ukisema lolote baya dhidi yake basi hautachukua raundi kesho yake watatkukuta kama sio kwenye friji basi kando kando ya barabara umekufa.
Chadema wao wanapenda kuwanyooshea vidole CCM na kuwahimiza wafuasi wao ambao wame wa brainwash kuandamana kila kukicha na kufanya vurugu pale wanapopata cha kuongea wakati wao yakitokea kwao husema wamesingiziwa

Pia kuna jambo moja linalonitia mashaka hapa.
Hawa CHADEMA kila kukicha wanajenga chuki kati ya wananchi na polisi. Hii ina maana kuwa kama CHADEMA wakipewa dola basi polisi wote itabidi wafukuzwe na wataunda polisi mpya. unaandaa kuwafukuza walinzi wa usalama wenye mafunzo ya kijeshi matokeo yake unayajua???

Hii ni hatari sana kwani hawa watu wanweza kuja kuwa hatari kuliko hata Amin kwani sasa hawana dola ni huwezi kuwahoji, jee wakichukua nchi tutapona kweli?

Hii ndharia ya kutetea na kuficha madhambi ni hatari sana kwa taifa letu
Idi-Amin-Dada-9183487-1-402.jpg

Chadema ni zaidi ya Idd Amin
 
Mkuu naona umekwenda mbali sana, huwezi kuwaita watanzania wenzako kajina ya namna hii na kuwafananisha na nduli amin, punguza ghadhabu, demokrasia ndio iliokufanya ujiunge cdm na ndio iliokufanya ung'atuke. tanzania kwa jumla hakuna political party ilio transparent na kukubali kupokea critism, lakini hata hivyo hatuwezi kufananisha na hata mfumo wa sasa wa uganda seuze amin..

nahisi anzisha chama chako kiwe transparent nasi tutakuja kuobserve na pengine kujoin ikiwa na calibre kubwa ya uongozi mpana, uadilifu na haki..otherwise mada kama hizi zinakushushia heshima, think critical na lete mada za ushahidi juu ya makosefu ya cdm lakini hizi nyengine ni ngonjera za kitoto..usiwe sawa na yule daktari aliekuja na zile majina ya kitaalamu yenye lengo la kukushusha hadhi..u r better than that, siasa za maji machafu Luck waachie wenyewe, tujenge nchi kaka. Isaidie ccm kujiweka sawa, kuondokana na madudu, kurejesha itikati za maendeleo, haki na usawa.
 
85% ya waganda leo hii wanamkumbuka Amin kwa
Jinsi alivyo fukuza mafisadi wa kihindi. Kwao ni shujaa..
Lukosi fanya research vizuri kuhusu Amin utagundua alikuwa halinyama ya watu kama propaganda machine za magamba zinavyotaka tuamini.
 
85% ya waganda leo hii wanamkumbuka Amin kwa
Jinsi alivyo fukuza mafisadi wa kihindi. Kwao ni shujaa..
Lukosi fanya research vizuri kuhusu Amin utagundua alikuwa halinyama ya watu kama propaganda machine za magamba zinavyotaka tuamini.
 
Nimekaa nimejiuliza maswali mengi kuhusu namna utawala wa CHADEMA ulivyo na nimeshindwa kuelewa.

Ndani ya CHADEMA ni dhambi kuhoji lolote baya likifanywa na wakuu wa chama
Ndani ya CHADEMA mgombea urais anachaguliwa na mtu mmoja tu
Ndani ya CHADEMA kuna kashfa nyingi sana ambazo ni marufuku kuzijadili wala kuhoji na ukuionekana unataka kudadisi basi utaitwa msaliti.

Tukumbuke kuwa kauli mbiu ya CHADEMA ni demokrasia huru na haki, Hivi wanelewa kweli maana ya demokrasia au wanaimba tu kama nyimbo za kizaire?

CHADEMA wananikumbusha Idd Amin wakati wa utawala wake Uganda, ilikuwa ukisema lolote baya dhidi yake basi hautachukua raundi kesho yake watatkukuta kama sio kwenye friji basi kando kando ya barabara umekufa.
Chadema wao wanapenda kuwanyooshea vidole CCM na kuwahimiza wafuasi wao ambao wame wa brainwash kuandamana kila kukicha na kufanya vurugu pale wanapopata cha kuongea wakati wao yakitokea kwao husema wamesingiziwa

Pia kuna jambo moja linalonitia mashaka hapa.
Hawa CHADEMA kila kukicha wanajenga chuki kati ya wananchi na polisi. Hii ina maana kuwa kama CHADEMA wakipewa dola basi polisi wote itabidi wafukuzwe na wataunda polisi mpya. unaandaa kuwafukuza walinzi wa usalama wenye mafunzo ya kijeshi matokeo yake unayajua???

Hii ni hatari sana kwani hawa watu wanweza kuja kuwa hatari kuliko hata Amin kwani sasa hawana dola ni huwezi kuwahoji, jee wakichukua nchi tutapona kweli?

Hii ndharia ya kutetea na kuficha madhambi ni hatari sana kwa taifa letu
Idi-Amin-Dada-9183487-1-402.jpg
Chadema hakijawahi kutawala NCHI kama IDD AMIN... kwahiyo hakuna COORELATION... PILI Chadema HAKIJAUA unajua ACTIONS SPEAKS LAUDER THAN WORDS... kwahiyo Mmeshika VIDEO lakini hajashika MAITI kama ya MWANGOSI...
 
Wanaowaona chadema ni heroes ni wale ambao wanaamini au wameahidiwa nafasi wakishika dola,
Wengine ni brainwashed hopeless people tu

Katika watu wapuuzi ure among of them wewe upo nje ya CDM and then mambo ya ndani ya chadema unayatakia nini ya kwenu ccm umeyahoji uliwahi hoji kagoda ni nini?deep green ni nini?kwanini magamba hayajavuliwa mpaka leo bali msio na akili na vihiyo kama wewe mnaendelea kuyavaa mkuu ure too myopic na umepotea kwa kufikiria kwa saburi!
 
Back
Top Bottom