Nini tofauti kati ya CHADEMA na utawala wa Idd Amin?

Nini tofauti kati ya CHADEMA na utawala wa Idd Amin?

Yani hii shida sana!!M pesa za n. Chemba za 50000 ndo unajituma hivi kuitetea familia yako nini!! Lol poor st.u.p.I.d ignorant.....huko uliko hadi unaona aibu jinsi watu walivyokudis hemb peleka ripoti hivi....kule kuna watu timamu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mkuu Chris Lukosi
Idd Amin ni afadhali sana angalau yeye kwenye demokrasia aliambulia 25% hawa walaji wa Chadema ni balaa hawana wanalojua wao ni weupe wapo kwenye 0; ukitaka kujua demokrasia ya Chadema hoji matumizi ya ruzuku au pingana na lile kundi la walaji.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:

Wanaofikiri kwa kutumia ------ ni wewe Amin alikuwa Rais na chadema hawajawahi hata kukamata dola,hapa ndipo inahoji uwezo wa watu kama wewe kuongea upumbavu sababu tu umeanzishwa na mpumbavu Chris Lukosi hamjui mnachokiongea ila mnaandika tu ili ionekane mpo lakini hamna akili ni kamasi tu
 
Matusi ndiyo kitu pekee mlichobaki nacho; hivi mnasubiri kuchukua uraisi ndiyo mjifunze demokrasia? Demokrasia ni wigo mpana inaanzia majumbani hivi hata hili nalo tukufundishe?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
The Fixer naomba nikuulize swali moja umri wako ni miaka mingapi ?Mwisho ningependa kukushauri jitahidi kutodanganya umma watanzania na hata waganda wenyewe.Usipende kupotosha umma na jitahidi kuepuka UDINI uliokithiri sababu hata unachopost kinakuonyesha ni kiasi gani uko-conservative.Kama huna cha kuchangia bora kunyamaza usiudhi watu.

Hawa watu kama The FIXER ndio maana Amin alikuwa akiwaua kwanza wanafikiri kwa kutumia masaburi,halafu ni wajinga tu waliozaliwa miaka ya 82 hajui lolote yeye amepandikiziwa upumbavu huko misikitini kwaoi ni kawaida yao kulishwa maneno kama computer hivyo anaropoka tu Amini mwenyewe anamsoma kwenye vitabu hajjui sababu za vita zilikuwa nini,hivyo ni wa kumhurumia tu huyu *****
Kuna watu ambao wanakuwa na akili za kushikiwa wasitusumbue sana
 
Matusi ndiyo kitu pekee mlichobaki nacho; hivi mnasubiri kuchukua uraisi ndiyo mjifunze demokrasia? Demokrasia ni wigo mpana inaanzia majumbani hivi hata hili nalo tukufundishe?

Chama
Gongo la mboto DSM

Uliona wapi demokrasia inapatikana kwa kusema uongo? Watu wanatukana sababu sio kwamba nyie ni vipofu,mnalijua na mnayajua pia mnayaona lakini mnajidai hamuoni kana kwamba wengine wanaishi vichakani,Tanzania ni yetu wote si kwa ajili ya mafisadi fulani

Msitudanganye na matatizo ya watanzania kila mtu anayaona ukijitia kutetea upumbavu wakati kila kitu kinaonekana mtaoga matusi pia demokrasia sio kudanganya watu
 
Tatizo lako Lukosi unajiona wewe ni bora kuliko wengine na kwamba umemzidi akili kila aliyehumu JF au alie CDM!! Think twice bro, upeo wako bado mdogo sana katika siasa za nchi hii!!
mkuu hili ni tatizo la watu waliofeli na kusoma kwa kuungaunga. kama huamini tafuta historia ya elimu yake chris then utajua nachosema wapo wengi tu kama akina Nape na Mulugo.
 
Uliona wapi demokrasia inapatikana kwa kusema uongo? Watu wanatukana sababu sio kwamba nyie ni vipofu,mnalijua na mnayajua pia mnayaona lakini mnajidai hamuoni kana kwamba wengine wanaishi vichakani,Tanzania ni yetu wote si kwa ajili ya mafisadi fulani

Msitudanganye na matatizo ya watanzania kila mtu anayaona ukijitia kutetea upumbavu wakati kila kitu kinaonekana mtaoga matusi pia demokrasia sio kudanganya watu

Nadhani upeo wako wa kuelewa ni mdogo sana; badala ya kuingia JF kutukana tumia muda ujifundishe nini maana ya demokrasia

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Aya mawazo ya kishenzi sijui vijana tunayatoa wapi?ivi kichaa chenu kinawapeleka wapi?ivi wapinzani wa uko ulikoamia kaka ni chadema yan dr pamoja na mbowe tu au na wapinzani wengne kama cuf na nccr?apo nyuma nlisema labda rais ajaye afute vyama tubaki na ccm ili vijana wasomi washenzi wapate akili ya maendeleo kuliko kuendelea kuugua chademaism. Ushenzi mwingne uishe tujenge nchi,kwetu tusio wanasiasa mnatuboa. Sijawai kuona awa washenzi wakihoji iptl,downs,kagoda,UAE-loliondo, radar na mengneyo,washenzi wanahoji suti,gwanda na ushenzi mwingi eti ela ya kujikimu!. Washenzi wengi wakiama chama kila siku wanawazia walikotoka utadhani labda walikoenda hakuna cha kuwaza isipokuwa kuiwaza chadema. Huu ni ushenzi uliotukuka. Nb. Ushenzi si tusi rejea kauli za baba wa taifa,ivo washenzi wote msinikurupukie.
 
Mkuu Chris Lukosi
Idd Amin ni afadhali sana angalau yeye kwenye demokrasia aliambulia 25% hawa walaji wa Chadema ni balaa hawana wanalojua wao ni weupe wapo kwenye 0; ukitaka kujua demokrasia ya Chadema hoji matumizi ya ruzuku au pingana na lile kundi la walaji.

Chama
Gongo la mboto DSM
Ukihoji hilo utaitwa masalia na DJ atakuja hapa na Tamko kuwa umefukuzwa
 
The Fixer naomba nikuulize swali moja umri wako ni miaka mingapi ?Mwisho ningependa kukushauri jitahidi kutodanganya umma watanzania na hata waganda wenyewe.Usipende kupotosha umma na jitahidi kuepuka UDINI uliokithiri sababu hata unachopost kinakuonyesha ni kiasi gani uko-conservative.Kama huna cha kuchangia bora kunyamaza usiudhi watu.

Unatutaka umri wangu ukusaidie nini sasa ? Tafuta kitabu hicho kwenye google maana shule zenu za kata hizo mnapenda sana spoon feeding ! Aliyekuwa Waziri kaandika wewe unakuja na mambo zako za kwamba Mwl Nyerere alikwenda vitani kwa sababu Idd Amin alikuwa anawatesa Waganda amaaliivamia kweli Tanzania kwa upande wa Kagera huo ni UONGO !
 
Nimekaa nimejiuliza maswali mengi kuhusu namna utawala wa CHADEMA ulivyo na nimeshindwa kuelewa.

Ndani ya CHADEMA ni dhambi kuhoji lolote baya likifanywa na wakuu wa chama
Ndani ya CHADEMA mgombea urais anachaguliwa na mtu mmoja tu
Ndani ya CHADEMA kuna kashfa nyingi sana ambazo ni marufuku kuzijadili wala kuhoji na ukuionekana unataka kudadisi basi utaitwa msaliti.

Tukumbuke kuwa kauli mbiu ya CHADEMA ni demokrasia huru na haki, Hivi wanelewa kweli maana ya demokrasia au wanaimba tu kama nyimbo za kizaire?

CHADEMA wananikumbusha Idd Amin wakati wa utawala wake Uganda, ilikuwa ukisema lolote baya dhidi yake basi hautachukua raundi kesho yake watatkukuta kama sio kwenye friji basi kando kando ya barabara umekufa.
Chadema wao wanapenda kuwanyooshea vidole CCM na kuwahimiza wafuasi wao ambao wame wa brainwash kuandamana kila kukicha na kufanya vurugu pale wanapopata cha kuongea wakati wao yakitokea kwao husema wamesingiziwa

Pia kuna jambo moja linalonitia mashaka hapa.
Hawa CHADEMA kila kukicha wanajenga chuki kati ya wananchi na polisi. Hii ina maana kuwa kama CHADEMA wakipewa dola basi polisi wote itabidi wafukuzwe na wataunda polisi mpya. unaandaa kuwafukuza walinzi wa usalama wenye mafunzo ya kijeshi matokeo yake unayajua???

Hii ni hatari sana kwani hawa watu wanweza kuja kuwa hatari kuliko hata Amin kwani sasa hawana dola ni huwezi kuwahoji, jee wakichukua nchi tutapona kweli?

Hii ndharia ya kutetea na kuficha madhambi ni hatari sana kwa taifa letu
Idi-Amin-Dada-9183487-1-402.jpg

yaani wewe unaijua ccm vizuri sana. maana yote uliyozungumza hapo ni mambo ya ccm 100% tumeyaona kwa ccm tangu mwaka 1977 na tunayaona live hadi leo, ccm ndie mama wa ufisadi na usaliti na ole wako ukigusa kona za wakubwa...hawa wengine wanajaribu tu...yaani ulichofanya hapo ni kudelete neno ccm na kubandika Chadema.
mimi sio mwanachama wa siasa lakini CCM is BIG NO! njoo ulete habari ya cuf, tlp, ccj hata ukitaka anzisha chama chako mwenyewe ntakusikiliza lakini sio CCM..NO!

na wewe ni mfano mzuri tu wa hayo maneno hapo juu, sasa hapa unaporomosha nyuzi tu wala hutuambii zile ahadi za ccm mtazitimiza vipi na lini mkiwa kama watawala wa hii nchi. walau chadema sio watawala ni wapinzani na wanafanya vizuri sana kazi yao ya kupinga maovu ya ccm...the best opposition party ever!
 
Wanaowaona chadema ni heroes ni wale ambao wanaamini au wameahidiwa nafasi wakishika dola,
Wengine ni brainwashed hopeless people tu

Umefanya research wapi hadi ukafikia conclusion yako hii?? What was your sample size? Au unawafahamu wanachama wote wa CHADEMA personally hadi uamini hiki ulichoandika hapa?

Kauli za namna hii zinakutambulisha wewe ni mtu wa aina gani. Kuna watu waliosoma kuliko wewe na ni CHADEMA - in fact you can't even hope to match them if you were given 10 lifetimes -, kuna watu wanajitolea mali zao (again judging from your reasoning hata ukiamua kuiba you will never ever achieve what they have achieved) kuwapa CHADEMA. Na hao wamekuwa brainwashed vipi au wanaweza kuahidiwa kipi? Am sorry sir, but if there is someone brainwashed here (or who thinks by the promises he has been given -or he hopes/believes to get something) then look in your mirror and you'll see that person.
 
Mkuu mimi naifahamu Chadema kuliko unavyoifahamu wewe
Nimewahi kuwa kiongozi wao na pia nilikuwa frontline lakini nilivyoona maono yao na sera taka zao nikawakimbia.
Most of these guys are just like zombies supporting things they dont even know.
Ukitaka kujua nenda kwenye mkutano halafu uone wanavyokubali na kusifia hotuba za Dj pale anapowaambia wakaandamane na kuleta vurugu bila klujua kuwa wakianza kudundwa hao wanaowachochea hawatakuwapo
Mfano ni zil;e vurugu za Iringa, hebu niambie wale viongozi wa juu kabisa wa chadema walikuwepo pale?
Fikiria kwanza
 
lukosi democrasia ni pana sana ikiwa na matawi kama mgawanyo wa madaraka, utawala bora, utawala wa sheria, uzalendo na mengine mengi na sio kufungua akaunti ya M-PESA ili utumiwe kitu kidogo. Wanafalsafa wakubwa kama Plato aliwahi kuwagawa watu kwenye makundi akianza na Golden, Silver na Iron boy na akataja sifa zao, tatizo la watu wengi kama Chris mnalazimisha kuwa ma Golden wakati ww ni Iron matokeo yake unayoa hoja mbovu kama hii hebu hitazame na uitazame Tanzania wala sio maslahi unayopewa ili umtukie huyo aliyekupa kitu kidogo na huenda ww ndio umeahidiwa post pole sana
 
Nimekaa nimejiuliza maswali mengi kuhusu namna utawala wa CHADEMA ulivyo na nimeshindwa kuelewa.

Ndani ya CHADEMA ni dhambi kuhoji lolote baya likifanywa na wakuu wa chama
Ndani ya CHADEMA mgombea urais anachaguliwa na mtu mmoja tu
Ndani ya CHADEMA kuna kashfa nyingi sana ambazo ni marufuku kuzijadili wala kuhoji na ukuionekana unataka kudadisi basi utaitwa msaliti.

Tukumbuke kuwa kauli mbiu ya CHADEMA ni demokrasia huru na haki, Hivi wanelewa kweli maana ya demokrasia au wanaimba tu kama nyimbo za kizaire?

CHADEMA wananikumbusha Idd Amin wakati wa utawala wake Uganda, ilikuwa ukisema lolote baya dhidi yake basi hautachukua raundi kesho yake watatkukuta kama sio kwenye friji basi kando kando ya barabara umekufa.
Chadema wao wanapenda kuwanyooshea vidole CCM na kuwahimiza wafuasi wao ambao wame wa brainwash kuandamana kila kukicha na kufanya vurugu pale wanapopata cha kuongea wakati wao yakitokea kwao husema wamesingiziwa

Pia kuna jambo moja linalonitia mashaka hapa.
Hawa CHADEMA kila kukicha wanajenga chuki kati ya wananchi na polisi. Hii ina maana kuwa kama CHADEMA wakipewa dola basi polisi wote itabidi wafukuzwe na wataunda polisi mpya. unaandaa kuwafukuza walinzi wa usalama wenye mafunzo ya kijeshi matokeo yake unayajua???

Hii ni hatari sana kwani hawa watu wanweza kuja kuwa hatari kuliko hata Amin kwani sasa hawana dola ni huwezi kuwahoji, jee wakichukua nchi tutapona kweli?

Hii ndharia ya kutetea na kuficha madhambi ni hatari sana kwa taifa letu
Idi-Amin-Dada-9183487-1-402.jpg

Huu ni uchambuzi wa kimasaburi. Hivi Iddi Amin alikuwa anafuata katiba si alikuwa na Jeshi, unaweza kweli kulinganisha Chadema na mambo ya Iddi Amin ama kweli Tanzania tumelaaniwa pesa inatuchanganya tunapingana na ukweli, uendelee kulaanika mwenyewe na tamaa zako.
 
Hapa umejaribu kutengeneza dhana ya kufananisha au kulinganisha mambo pasipo kuzama katika fikra pevu.Nikukumbushe jambo moja ndani ya CCM baada ya uchaguzi wa 2010 Mh. Samwel Sitta alitoswa uspika kwa kile kilichoonekana kuhoji mambo ya serikali ya chama chake.Na bila shaka utakumbuka Mh. Samweli Sitta alitishiwa kuvuliwa uanachama kwa madai ya kuuanika ukweli wa chama na serikali yake. Je unakumbuka alichofanyiwa Philip Mangula kule Iringa alipotaka kuwania uenyekiti wa chama mkoani humo mwaka 2007, baada ya watosaji kushindwa kutimiza matakwa ya watanzania na chama kuchechemea wakaenda kumuangukia.
 
Back
Top Bottom