Nini tofauti kati ya CHADEMA na utawala wa Idd Amin?

Nini tofauti kati ya CHADEMA na utawala wa Idd Amin?

Ha ha ha ha magonjwa yako yamehamia nyuma aisee
 
Boss,
Mimi sio mtu wa kutumwa kama unavyofikiri, mimi najituma mwenyewe.
Ninachoeleza hapa ni kwa faida yako wewe na vijana wengine ambao mko brainwashed hamjui hatima yenu.
Ngoja nikuulize swali.
Umewahi kukopa hela za ruzuku ujikimu mahitaji yako?

Chris,

Usikurupuke ukafikiri na mimi ni wa aina hiyo? Naomba na mimi nikuulize... Kwa hujawahi kusikia mwajiriwa akikopeshwa na mwajiri wake?
 
Tofauti iliyopo ni CHADEMA ipo Tanzania na Idd Amin alikuwa Uganda. Nje ya hapo hakuna tofauti nyingine.

Kwa hio wewe unaona chadema wenye dola? Hivi utawala wa kikwete na wa idd amini una tofauti?
akili yako kumbe ndogo nimekudhalau, unashindwa hata kujua wakati aliotawala idd amini na wakati tuliopo sasa.
by the way unasema mgombea wa chadema anachaguliwa na mtu mmoja, je ni nani huyo mgmbea?? Alichaguliwa lini? Na nani?
Ndugu yangu unasumbuka bure, inawezekena watz wa sasa huwajui!
Mbona kila siku uhakika na thread za chadema? Si ulifukuzwa? Chukua huu mda kukijenga chama chako kipyaaaa.
 
Nimekaa nimejiuliza maswali mengi kuhusu namna utawala wa CHADEMA ulivyo na nimeshindwa kuelewa.

Ndani ya CHADEMA ni dhambi kuhoji lolote baya likifanywa na wakuu wa chama
Ndani ya CHADEMA mgombea urais anachaguliwa na mtu mmoja tu
Ndani ya CHADEMA kuna kashfa nyingi sana ambazo ni marufuku kuzijadili wala kuhoji na ukuionekana unataka kudadisi basi utaitwa msaliti.

Tukumbuke kuwa kauli mbiu ya CHADEMA ni demokrasia huru na haki, Hivi wanelewa kweli maana ya demokrasia au wanaimba tu kama nyimbo za kizaire?

CHADEMA wananikumbusha Idd Amin wakati wa utawala wake Uganda, ilikuwa ukisema lolote baya dhidi yake basi hautachukua raundi kesho yake watatkukuta kama sio kwenye friji basi kando kando ya barabara umekufa.
Chadema wao wanapenda kuwanyooshea vidole CCM na kuwahimiza wafuasi wao ambao wame wa brainwash kuandamana kila kukicha na kufanya vurugu pale wanapopata cha kuongea wakati wao yakitokea kwao husema wamesingiziwa

Pia kuna jambo moja linalonitia mashaka hapa.
Hawa CHADEMA kila kukicha wanajenga chuki kati ya wananchi na polisi. Hii ina maana kuwa kama CHADEMA wakipewa dola basi polisi wote itabidi wafukuzwe na wataunda polisi mpya. unaandaa kuwafukuza walinzi wa usalama wenye mafunzo ya kijeshi matokeo yake unayajua???

Hii ni hatari sana kwani hawa watu wanweza kuja kuwa hatari kuliko hata Amin kwani sasa hawana dola ni huwezi kuwahoji, jee wakichukua nchi tutapona kweli?

Hii ndharia ya kutetea na kuficha madhambi ni hatari sana kwa taifa letu
Idi-Amin-Dada-9183487-1-402.jpg

Wewe Lukosi umepigwa ganzi na Dr. Perlin hapa majuzi huchoki bado tuu,by the way,watu hawajakuzuia kurudi magambani kama ulivyo hitaji, lakini,Mbona CCM na Mwakyembe hutukumbushi,CCM nA KORIMBA HUTUKUMBUSHI,KIGOMA Marima hutukumbushi,Pembe za Kinana hutaki kugusia,Manunuzi ya Mashangingi v8 huzungumzii,ila unalo lijua wewe ni kuzungumzia ya Chadema pekee?
mIKATABA TATA YA KICHINA 17 hutaki zungumzia.
Nadhani Dr.Alikua sahihi dhidi ya magonjwa yote aliyokwambia.
Hata Sikumbuki ni wakati gani tulipata Rais mpenda anga kama huyo unaye mshabikia.
Wewe ni nyang'au kama Nyerere alivyowahi kusema.
A%20S%2039.gif
 
Boss,
Mimi sio mtu wa kutumwa kama unavyofikiri, mimi najituma mwenyewe.
Ninachoeleza hapa ni kwa faida yako wewe na vijana wengine ambao mko brainwashed hamjui hatima yenu.
Ngoja nikuulize swali.
Umewahi kukopa hela za ruzuku ujikimu mahitaji yako?

Nimekuwa nikisoma maoni yako humu ndani muda mrefu,nimegundua kuwa "Hata kichaa huwa anajiona ni mzima"
 
Chris,

Usikurupuke ukafikiri na mimi ni wa aina hiyo? Naomba na mimi nikuulize... Kwa hujawahi kusikia mwajiriwa akikopeshwa na mwajiri wake?
Hebu nitajie wengine waliowahi kunufaika na hiyo mikopo zaidi ya mtu mmoja tu aliejikopesha
 
Hivi kwa ccm unaruhusiwa kupinga?
SHIBUDA alijaribu kumpinga Kikwete maneno yaliibuka mpaka MNAJIMU WENU AKAMTABIRIA SHIBUDA ATAKUFA.
Juzi hapa liliibuka sekeseke la kumpigia kura kikwete aachie nafac ya uenyeketi wa ccm maana imemshinda matokeo ni kuonekana Wasaliti wenye kura za MARUHANI.
Samwel Sitta kama Spika alipinga maagizo ya wakubwa chamani nusura wamnyanganye KADI ya chama ila walimvua Uspika.
Hayo ni machache.
 
Kwa namna anavyoandika mambo humu JF. Inaelekea huyu mtu (Lukosi) ana magonjwa zaidi ya yale aliyoyaeleza Dr. A. Pauline. Otherwize, muda si mrefu atapelekwa Mirembe huyu mtu...
 
Haina haji ya kumjadili mpumbavu wa lukosi hii ni department ya lumumba office, popote ulipo hatuta kusahau kwa kuwasliti vijana wa tz,endelea kuhongwa maana historia wa ukobozi wa pili utakuhukumu daim.
Shame on on you with ccm
 
Mkuu Chilisosi ni lini chadema wametawala au wana utawala? Me naona ulitakiwa useme kuwa utwala wa sisiemu ni sawa na utwala wa idd Amini

Maana idd Amini hakupenda wapinzani kama wanavyo fanya ccm!

*Ccm wanachinja watu kila leo kama Idd Amini alivyo fanya mfano ccm walivyo mchinja kada wa chadema kule Arumeru!

*Ccm wamekuwa wakitumia majeshi ya ulinzi na usalama kukandamiza raia na wapinzani kama alivyo fanya Idd Amini mfani kule Arusha na Iringa jeshi lilitumika kuuwa raia wasio na hatia na wale mapolisi wanadai posho walizo ahidiwa baada ya kufanya kazi hiyo.

*CCm amekuwa ikiumiza na kuuwa waandishi wa habari kama alivyo fanya Idd Amini dada mfano mwangosi, kibanda wote wameumia mikononi mwa sisiemu.

*Ccm wamevigeuza vyombo vya usalama kama kikosi cha siasa zao kama alivyo fanya Idd Amini maana kipindi hicho wapinzani wa Idd Amini walishughulikiwa vilivyo na jeshi ikiwemo usalama wa taifa na haya yanatoke huku mtu akiwa mpinzani wa sisiemu ataitwa mara si raia, mara gaidi ili mradi kumgandamiza.

*CCm imefanya maisha ya wananchi walio wengi kuwa magumu kama alivyofanya Idd Amin dada kipindi kile yeye alikuwa ana starehe anavyotaka lakini wananchi wanateseka ,ccm kupitia jk wamekuwa wakitanua na kudhurura kila leo na kujitengenezea safari zisizo na tija huku wananchi wakiteseka na hali mbaya ya uchumi.

*ccm kama idd Amini wamegeuza ikulu ni ukumbi wa sherehe badala ya mahali pa kupanga kutatua matatizo ya wananchi! Kipindi cha idd Amini alikuwa anafanya sherehe pale ikulu kila wiki na huko ndio sisiemu inako elekea maana ikulu imekuwa sehemu ya tafrija kila leo.
 
Last edited by a moderator:
avatar100127_4.gif
JF Senior Expert Member
verified.png
Array

Join Date : 23rd August 2012
Posts : 546
Rep Power : 477
Likes Received214
Likes Given301

[h=2]
icon1.png
Re: Nini tofauti kati ya CHADEMA na utawala wa Idd Amin?[/h]

quote_icon.png
By Mark Francis
Mfano mdogo tu amuulize huyo Nape anaemtuma, kilimpata nini alipohoji mkataba wa uuzaji na ujenzi wa jengo nyuma ya jengo la UVCCM?



Boss,
Mimi sio mtu wa kutumwa kama unavyofikiri, mimi najituma mwenyewe.
Ninachoeleza hapa ni kwa faida yako wewe na vijana wengine ambao mko brainwashed hamjui hatima yenu.
Ngoja nikuulize swali.
Umewahi kukopa hela za ruzuku ujikimu mahitaji yako?​


  • [TABLE="width: 500"]
    [TR]
    [TD]1.Lukosi hajui analo lionge huyu jamaa ni msahaulifu kuliko mambo yote,hata huyo Jk aliyechapisha mihela mibovu at cheap value bado unamuona poa tu.usingizi mwema,na huenda wewe ni wale wa alalaye usimuamshe ukimuamsha utalala wewe.Bakia Gambani tukuone,kwa taarifa yako sisi hatuipendi chadema kwa sababu ya ahadi bari ni kwa ridhaa yetu na si kujipendekeza,TUNAJUA UBORA,HUWEZI KUTUPA TUISHENI YA NINI MAANA YA KITU BORA,Huwezi linganisha WSTORE NA kariakoo product,you are almost vepour in your head bro.[/TD]
    [TD]


    [/TD]
    [/TR]
    [TR]
    [TD][/TD]
    [TD][/TD]
    [/TR]
    [TR]
    [TD][/TD]
    [TD][/TD]
    [/TR]
    [/TABLE]
 
aisee..inapnekana magamba yanaku-blackmail wewe kiumbe,you made a deal with a devil and now you are paying for it!!wamekupa idadi ya post zakuisema vibaya kwa wiki na bahati mbaya huna kibaya cha kuisema cdm zaidi ya kuonyesha yale magonjwa aliyoyataja dokta yanaanza kuathiri bongo yako.
you got yourself in and you won't get yourself out,you won't live your life.
the karma is unfolding before our eyes.
 
Unasema mtu alikopeshwa na anarudisha mkopo huenda amemaliza.

Sasa ishu ipo kwenye EPA.
Najua unajua ccm walichota kodi ya mtanzania kupitia KAGODA kwa ajili ya kumuingiza mkuu magogoni Je huo ni mkopo au ni WIZI?
Njoo kwenye viwanja vya soka mmejimilikisha wenyewe bila mafikiano na wananchi waliojitolea nguvu zao.
Nyie ndo madikiteta wakubwa.
 
Mjinga mjibu atakavyo ili afurahi....Jibu langu "Kwa kweli hakuna tofauti kabisa"
 
Unapoanzisha Mada ndugu unatakiwa uje na mifano inayoshabihiana na unachokiwasilisha, naomba unifafanulie haya yafuatayo kama yana uhusiano na CHADEMA

1. Kifo cha Horace Kolimba (Baada ya kusema chama furani akina Dira wala muelekeo)
2. Kifo cha Imran Kombe
3. Majanga yaliyomkuta Mwakembe- kutengenezewa ajali ambayo wahusika hawajatiwa nguvu hadi sasa, Kuwekewa sumu(polonium 210) iliyomsababishia uzeruzeru wa ghafra na je wahusika wametiwa nguvuni hadi sasa.

Haya yote yalitokea ndani ya Serikali ya CCM ambayo wewe kwa upofu wako unaiona ni ya kitukufu, jitahidi kuelewa mambo sio kila kukicha unakurupuka na vihoja humu jamvini
 
Hii ni sawa na kufananisha yaliyokuwepo na yasiyokuwepo,kwa akili hii hakika ulipaswa kuwa Milembe maisha yako yote,nina mashaka hata huko ulikokimbilia watakuona b.w.e.g.e!!Kritoris Mikosi!!Be kadimi uvee,Ulusungu lu nyavanu,kuvutalo kulimbulago!
 
Back
Top Bottom