Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,100
- 1,955
Mkuu mimi naifahamu Chadema kuliko unavyoifahamu wewe
Nimewahi kuwa kiongozi wao na pia nilikuwa frontline lakini nilivyoona maono yao na sera taka zao nikawakimbia.
Most of these guys are just like zombies supporting things they dont even know.
Ukitaka kujua nenda kwenye mkutano halafu uone wanavyokubali na kusifia hotuba za Dj pale anapowaambia wakaandamane na kuleta vurugu bila klujua kuwa wakianza kudundwa hao wanaowachochea hawatakuwapo
Mfano ni zil;e vurugu za Iringa, hebu niambie wale viongozi wa juu kabisa wa chadema walikuwepo pale?
Fikiria kwanza
I agree with you only on one thing here. Ni kweli si viongozi wote wa CHADEMA wanastahili kuwa viongozi; na mfano hai ni WEWE. It is a good thing kwamba ulijipima (or maybe uliambiwa na whoever and for whatever reason) na ukaona kuwa wewe na CHADEMA are not a good fit. Lakini siamini kuwa wewe unajua hata sera moja ya CHADEMA, na pia naamini kuwa wewe hujui ni kwa nini watu huwa inawabidi waandamane. You are so naive to suggest that an adult will do something as obvious as a mass action without knowing the possible outcome - especially when the brutality of the police in this country is known and has been known for a number of years!
Kinyume cha wewe muoga na mchumia tumbo (apparently) wenzio wameamka kudai haki zao na wanajua katika kudai HAKI kuna gharama zake. This is a fact, na haijaanza leo au na CHADEMA. Watu walijitoa muhanga hadi kuwa na International Labour Day, watu walipoteza maisha all-over the world kudai HAKI. Now who is brainwashed here, anaedai haki zake akijua kuna gharama au wewe unaedhani kuna oppressor atakaempa the oppressed haki zake on a silver platter??
You can't fool a five-year old with your childish and layabout argument!