Nini tofauti kati ya CHADEMA na utawala wa Idd Amin?

Nimekaa nimejiuliza maswali mengi kuhusu namna utawala wa CHADEMA ulivyo na nimeshindwa kuelewa.

Ndani ya CHADEMA ni dhambi kuhoji lolote baya likifanywa na wakuu wa chama
Ndani ya CHADEMA mgombea urais anachaguliwa na mtu mmoja tu
Ndani ya CHADEMA kuna kashfa nyingi sana ambazo ni marufuku kuzijadili wala kuhoji na ukuionekana unataka kudadisi basi utaitwa msaliti.

Tukumbuke kuwa kauli mbiu ya CHADEMA ni demokrasia huru na haki, Hivi wanelewa kweli maana ya demokrasia au wanaimba tu kama nyimbo za kizaire?

CHADEMA wananikumbusha Idd Amin wakati wa utawala wake Uganda, ilikuwa ukisema lolote baya dhidi yake basi hautachukua raundi kesho yake watatkukuta kama sio kwenye friji basi kando kando ya barabara umekufa.
Chadema wao wanapenda kuwanyooshea vidole CCM na kuwahimiza wafuasi wao ambao wame wa brainwash kuandamana kila kukicha na kufanya vurugu pale wanapopata cha kuongea wakati wao yakitokea kwao husema wamesingiziwa

Pia kuna jambo moja linalonitia mashaka hapa.
Hawa CHADEMA kila kukicha wanajenga chuki kati ya wananchi na polisi. Hii ina maana kuwa kama CHADEMA wakipewa dola basi polisi wote itabidi wafukuzwe na wataunda polisi mpya. unaandaa kuwafukuza walinzi wa usalama wenye mafunzo ya kijeshi matokeo yake unayajua???

Hii ni hatari sana kwani hawa watu wanweza kuja kuwa hatari kuliko hata Amin kwani sasa hawana dola ni huwezi kuwahoji, jee wakichukua nchi tutapona kweli?

Hii ndharia ya kutetea na kuficha madhambi ni hatari sana kwa taifa letu
Idi-Amin-Dada-9183487-1-402.jpg

una saratani ya ubongo
 
Tofaut ipo maana chadema wanaonyesha watu haki zao ingawa iddi amini alifunga haki za watu kwa kutumia mabavu..chadema wanatoa watu kwenye uzembe wa kufikiri wakat iddi amin alidumisha kujenga uzembe wa kufikiri kwa watu wake
 
Wanaowaona chadema ni heroes ni wale ambao wanaamini au wameahidiwa nafasi wakishika dola,
Wengine ni brainwashed hopeless people tu

Mkuu mapenzi yako na CCM yamekufanya kutukana mamilioni ya watu? Tuambie tangu urudi CCM ni mageuzi yapi umeyafanya? Ulijisikia vipi ulipomwona JK akiangalia jengo lililoanguka, wakati serikali yake ya CCM ndio chanzo cha mauaji yale? Hongera sana kwa ahadi za kibiashara ulizoaidiwa na Mwigulu/Nape
 
Kuhusu Utawala wa Idd Amin na Uganda kwa mapana yake soma " GUARDIAN ANGEL " kilichoandikwa na Aliyekuwa Waziri katika Serikali ya Uganda.

Vita ya Kagera ilikuwa vita baina ya UKRISTO WA NYERERE NA KANISA LAKE na IDD AMIN NA UISLAM wake na ushahidi upo, Utafute vitabuni !

The Fixer naomba nikuulize swali moja umri wako ni miaka mingapi ?Mwisho ningependa kukushauri jitahidi kutodanganya umma watanzania na hata waganda wenyewe.Usipende kupotosha umma na jitahidi kuepuka UDINI uliokithiri sababu hata unachopost kinakuonyesha ni kiasi gani uko-conservative.Kama huna cha kuchangia bora kunyamaza usiudhi watu.
 
Mkuu lukosi
1) umeshapona???
2)hii ndio mboga ulisema utamwaga?????
 
Mods, wekeni na icon ya kutopenda (dislike) uzi za mbulula kama huyu ...
 
Kwani ukiamua kukaa kimya utapungukiwa na nini? Au na wewe umeingizwa kwenye payroll ya Wasira na Mwigulu ndo maana huachi kupayuka kila mara?
Nimekaa nimejiuliza maswali mengi kuhusu namna utawala wa CHADEMA ulivyo na nimeshindwa kuelewa.

Ndani ya CHADEMA ni dhambi kuhoji lolote baya likifanywa na wakuu wa chama
Ndani ya CHADEMA mgombea urais anachaguliwa na mtu mmoja tu
Ndani ya CHADEMA kuna kashfa nyingi sana ambazo ni marufuku kuzijadili wala kuhoji na ukuionekana unataka kudadisi basi utaitwa msaliti.

Tukumbuke kuwa kauli mbiu ya CHADEMA ni demokrasia huru na haki, Hivi wanelewa kweli maana ya demokrasia au wanaimba tu kama nyimbo za kizaire?

CHADEMA wananikumbusha Idd Amin wakati wa utawala wake Uganda, ilikuwa ukisema lolote baya dhidi yake basi hautachukua raundi kesho yake watatkukuta kama sio kwenye friji basi kando kando ya barabara umekufa.
Chadema wao wanapenda kuwanyooshea vidole CCM na kuwahimiza wafuasi wao ambao wame wa brainwash kuandamana kila kukicha na kufanya vurugu pale wanapopata cha kuongea wakati wao yakitokea kwao husema wamesingiziwa

Pia kuna jambo moja linalonitia mashaka hapa.
Hawa CHADEMA kila kukicha wanajenga chuki kati ya wananchi na polisi. Hii ina maana kuwa kama CHADEMA wakipewa dola basi polisi wote itabidi wafukuzwe na wataunda polisi mpya. unaandaa kuwafukuza walinzi wa usalama wenye mafunzo ya kijeshi matokeo yake unayajua???

Hii ni hatari sana kwani hawa watu wanweza kuja kuwa hatari kuliko hata Amin kwani sasa hawana dola ni huwezi kuwahoji, jee wakichukua nchi tutapona kweli?

Hii ndharia ya kutetea na kuficha madhambi ni hatari sana kwa taifa letu
Idi-Amin-Dada-9183487-1-402.jpg
 
Nimekaa nimejiuliza maswali mengi kuhusu namna utawala wa CHADEMA ulivyo na nimeshindwa kuelewa.

Ndani ya CHADEMA ni dhambi kuhoji lolote baya likifanywa na wakuu wa chama
Ndani ya CHADEMA mgombea urais anachaguliwa na mtu mmoja tu
Ndani ya CHADEMA kuna kashfa nyingi sana ambazo ni marufuku kuzijadili wala kuhoji na ukuionekana unataka kudadisi basi utaitwa msaliti.

Tukumbuke kuwa kauli mbiu ya CHADEMA ni demokrasia huru na haki, Hivi wanelewa kweli maana ya demokrasia au wanaimba tu kama nyimbo za kizaire?

CHADEMA wananikumbusha Idd Amin wakati wa utawala wake Uganda, ilikuwa ukisema lolote baya dhidi yake basi hautachukua raundi kesho yake watatkukuta kama sio kwenye friji basi kando kando ya barabara umekufa.
Chadema wao wanapenda kuwanyooshea vidole CCM na kuwahimiza wafuasi wao ambao wame wa brainwash kuandamana kila kukicha na kufanya vurugu pale wanapopata cha kuongea wakati wao yakitokea kwao husema wamesingiziwa

Pia kuna jambo moja linalonitia mashaka hapa.
Hawa CHADEMA kila kukicha wanajenga chuki kati ya wananchi na polisi. Hii ina maana kuwa kama CHADEMA wakipewa dola basi polisi wote itabidi wafukuzwe na wataunda polisi mpya. unaandaa kuwafukuza walinzi wa usalama wenye mafunzo ya kijeshi matokeo yake unayajua???

Hii ni hatari sana kwani hawa watu wanweza kuja kuwa hatari kuliko hata Amin kwani sasa hawana dola ni huwezi kuwahoji, jee wakichukua nchi tutapona kweli?

Hii ndharia ya kutetea na kuficha madhambi ni hatari sana kwa taifa letu
Idi-Amin-Dada-9183487-1-402.jpg

Dr. Alex P njoo tueleze huu ni ugonjwa wa aina gani?Marioo kashamaliza kujipodoa sasa kaanza vitimbi
 
Nalazimika kuamini mawazo ya Dr kuwa una Maradhi mengi sana na kilasiku yanajitokeza mapya sasa huu tuuite polonium odema mana watu wenye ugonjwa huo ni hatari zaidi ya ukichaa na watu wenye matatizo yako hawafungwi ata akitenda kosa nakushauri ujiunge na wale jamaa wanao ngo'a meno na kucha maana ataukienda mahakamani hufungwi bwana Chris Lukosi iyo idara itakufaa Huku mwachie Ritz Nape na Chama wewe ungana na mwigulu nchemba mna match. Mambo mengine Mkuu?
 
Pole kwa uelewa wako mdogo ktk mambo ya mijadara niaibu kujibizana na wewe.
 
Lukosi mbona wi-mwafu de!!! Yaani unalinganisha utawala wa Idd Amin na Chadema kwa hayo mepesi hayo, wewe ni CCM njaa sana jaribu kuhoji mambo fulani ndani ya CCM yako uone. Kolimba alitoa mwanga tu kwamba kwa hili CCM inapoteza dira alikufa mbele ya wajumbe wa NEC mbele ya Ally Hassan Mwinyi wewe umezaliwa mwaka gani maana inaelekea "unaanza kujifunza kuwika" Usidhani uko katika mpango wa ukuu wa wilaya haumo ng'ooooooo!!!!!!

Vilevile ajiulize yaliyompata Dr mwakyembe baada ya ripoti ya richimond na kufungiwa gazeti la mwanahalisi baada yakuonekana linaifunua serikali achilia mbali wandishi wake waliwahi kumwagiwa tindikali
 
idd amini anafanana zaidi na ccm kuliko chadema
angalia vigezo
1. body size - compare na wasira
2. ukatili- compare na kile ccm walichofanya arusha
3. akili- compare na akili za nape
4. kumpa cheo mtoto wake- compare na uteuzi wa mulugo
5. kupindua- compare na uchaguzi wa 2010
6. udini- compare na sera ya ccm

n.k
 
Boss,
Mimi sio mtu wa kutumwa kama unavyofikiri, mimi najituma mwenyewe.
Ninachoeleza hapa ni kwa faida yako wewe na vijana wengine ambao mko brainwashed hamjui hatima yenu.
Ngoja nikuulize swali.
Umewahi kukopa hela za ruzuku ujikimu mahitaji yako?
Nilipokuwa nakuona katika harakati za Chadema Uk, nilikuona mtu mmoja jasiri na unayejitambua kumbe ni yale ya msafara wa mamba na kenge.... wewe ulikuwa KENGE na ndio maana ukakengeuka

Nakupa pole wewe na kizazi chako, umekata tamaa na kama ni maisha basi wewe tayari u mfu, ulikwenda kukopa RUZUKU wakakunyima?? pole sana hakuna mkopo usio na vigezo na masharti, sasa huko CCM unapigania mikopo ya RUZUKU?? je? unafikiri CCM wakikupa mkopo wa 'RUZUKU' utatatua matatizo yako na kizazi chako??

Bora yetu sie tuliosoma na kukulia na kufanya kazi hapa hapa Tanzania, kuliko nyinyi WATANZANIA wabeba maboksi UINGEREZA
 
Elimu yako ni hasara kwa familia yako na Taifa kwa ujumla. Mara elfu hata elimu ya msingi. Any way tofauti ni kuwa CDM inapigania maslahi ya Uma lakini CCM maslahi ya mafisadi.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom