Nini tafsiri ya ndoto hii ?

nan kakwambia usha amka? Upo ndoton bado na kwa taarifa yako jichabo utakuta umejikojolea.
 
Maranyingi naota kama napaa hewani, wakati mwingine kama natumbukia shimo refu au nakimbizwa na kitu cha hatari nikipiga kelele sauti haitoki. Nini tafsiri yake?
 
Hizo zinaitwa ndoto za JINAMIZI, huwa zinatokea kama umeshiba sana kabla ya kulala.Au wakati mwingine hutokea unapokala kicharichari.(kulala huku unaangalia juu). Nakushauri usishibe sana kabla ya kulala na pia usipende kulala kicharichari.
 
sheikh yayhya is no more....usjifunike gubigubi wala kushiba sana na kulala chali
 
Hujabaree wewe....hizo ndoto zinawakuta vijana wanao kalibia kuingia ktk ujana yani from utoto to ujana.....nadhani kila mmoja wetu tulipitia uko yani majinamizi nk....unaweza kua mkubwa kiumri lakini ata ukiangalia filamu za kutisha usiku ubungo wako una retrive...So ukikua utaacha sawa kijana
 
Merely dream, it happens almost to everyone...no meaning at all..relax, Sali kabla ya kulala kila siku, Can i get a hallelujah..?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom