Nini siri ya miguu....?

Nini siri ya miguu....?

Miguu ni moja ya kivutio kikubwa, kwangu mimi isiwe minene wala myembamba, iwe inajikunja kidogo kwa kuingia ndani at the same time iwe inarudi kwa nyuma, kwisha kazi yangu....kuna member mmoja humu ana avatar ya miguu, huwa naiangalia kwa muda kidogo then namove on.
 
Ebana miguu ina nafasi yake kwenye uzuri wa mwanamke coz anaonekana bomba,Binafsi napenda miguu ya bia but iwe mirefu kidogo sio mifupi pia isiwe na makovukovu iwe lain kama maini vile.

U see as i see..
 
mmmh, kwani lips, macho, makalio si ni viungo kama ilivyo miguu???

Kwa nini mtu anapenda benzi zaidi kuliko nissani duet? Si zote zinakufikisha uendako?
Kongosho je wafikiri safari za nissan duet na benz ni sawa? benzi ni gari ya safari ina resistance kubwa barabarani pia ina spidi kubwa istoshe the modern benz zina electronic compilications ukilinganisha na nissan duet ambayo ni gari kwa safari lakini haiwez kuimili safari ndefu mara nyingi. kwa mtazamo wangu tu nA NIKO TAYARI KUKOSOLEWA.

viungo vya binadam popote pale kilipo kina mvuto na kazi yake.na kama ilivyo ada mvuto wa kitu siku zote ni shape yake yaani hata yai kama shape yake haijakaa sijui ki elliptical haliwez kuvutia bana ama kama nyanya ama embe lisipokaa kwenye umbo lake haliwez kuvutia.

naamini wewe ni mwendaji sana wa sokoni na waweza kuwa na tabia kama yangu kwamba miye huwa nanunua vile vitu ambavyo vina shape ya kuchora kama ni ndizi mpaka ikae kama zile zinazochorwa kwenye picha ndio nanunua. hii ni kwasababu vinavutia sana so hata mwanamke kiungo chochote alicho nacho kina mvuto wake sasa kinakua na added advantage kikiwa na shape kama ya kuchora. sijui umenielewa hapa.
 
Last edited by a moderator:
Hayaaa vijana naona wengine eti hoi wakiona mguu wa bia vp sasa ana huo mguu wa bia lakini HESHIMA, UAMINIFU, CARE ni zero kwake je hapo bado utapapenda?????? Msichana aweza kuwa hana huo mguu wa bia sijui, shape kali hana ila reception yupo pouwa plus heshima anayo, mchaji wa Mungu hapo mi ndio pazuri.....Mind You.....Every WOMAN is BEAUTIFUL just take a REAL MAN to see it....
 
Seriously mwanaume mwenye miguu mizuri its a bonus kwenye 6x6. I love nice and clean legs. Afu awe kavaa kaptula na sandals! Awe intelligent, mnaweza ku-argue, mweeh!
 
madameX,
miguu kwangu ndicho kigezo stahiki kwasababu
makutano ya miguu miwili mizuri ndiyo my target focus.
 
Jamani hii kitu inanitatiza, mwanaume kupenda makalio, matiti na lips, macho au kusema umbo la kike ni kitu ambacho kina eleweka. Maana kuna vitu vingi unaweza kupata entertainment.

Jamani siifahamu siri ya kupenda miguu, wenyewe wanaita chupa ya bia. Hebu tujuzeni ni faraja gani au ina mvuto gani?
Haya vidume vya JF nasubiri busara zenu

Hivi umeshaona mguu wa lilyflower? don't you just love them, so perfect with that skirt?
 
Last edited by a moderator:
Simpooo...! Kila mtu anasehem yake ya kumsisimua.
ndo maana kuna wengine wala hawapendi makalio makuubwa, ila wengine ndo udhaifu wao.
Wengine hawapendi wanene ila wengine duuu hata nyumba watahonga. ni sourcetu ya stim za mtu.
usichangnyikiwe sana hivo ulivyo kuna watu wanapenda sana wa style yako.

hapo kwenye red naomba nitofautiane na wewe,hw come iwe ni dhaifu wamtu ?its just natural kwamba mtu husika kupenda eneo husika,and in fact sio udhaifu bali n kinyume chake,to love something/someone sio udhaifu but ni strenght!
 
PetCash, kwakweli hajanionyesha
 
Last edited by a moderator:
Kongosho je wafikiri safari za nissan duet na benz ni sawa? benzi ni gari ya safari ina resistance kubwa barabarani pia ina spidi kubwa istoshe the modern benz zina electronic compilications ukilinganisha na nissan duet ambayo ni gari kwa safari lakini haiwez kuimili safari ndefu mara nyingi. kwa mtazamo wangu tu nA NIKO TAYARI KUKOSOLEWA.

viungo vya binadam popote pale kilipo kina mvuto na kazi yake.na kama ilivyo ada mvuto wa kitu siku zote ni shape yake yaani hata yai kama shape yake haijakaa sijui ki elliptical haliwez kuvutia bana ama kama nyanya ama embe lisipokaa kwenye umbo lake haliwez kuvutia.

naamini wewe ni mwendaji sana wa sokoni na waweza kuwa na tabia kama yangu kwamba miye huwa nanunua vile vitu ambavyo vina shape ya kuchora kama ni ndizi mpaka ikae kama zile zinazochorwa kwenye picha ndio nanunua. hii ni kwasababu vinavutia sana so hata mwanamke kiungo chochote alicho nacho kina mvuto wake sasa kinakua na added advantage kikiwa na shape kama ya kuchora. sijui umenielewa hapa.

nimekusoma gfsonwin
 
Seriously mwanaume mwenye miguu mizuri its a bonus kwenye 6x6. I love nice and clean legs. Afu awe kavaa kaptula na sandals! Awe intelligent, mnaweza ku-argue, mweeh!

im fit for the purpose,here you can take me.
 
Kuna wakti nlishasema humu,kuwa kwangu mimi mwanamke akiwa na miguu mizuri yenye VIDOLE VIZURI NA KUCHA NZURI,VIDOLE VYA MKONONI NA KUCHA NZURI,huyo mwanamke nitamwonga kila kitu nilicho nacho,huo ndo udhaifu wangu aisee.
 
Using engineering principles, miguu should be able to support the body propotionally.
 
Jamani hii kitu inanitatiza, mwanaume kupenda makalio, matiti na lips, macho au kusema umbo la kike ni kitu ambacho kina eleweka. Maana kuna vitu vingi unaweza kupata entertainment.

Jamani siifahamu siri ya kupenda miguu, wenyewe wanaita chupa ya bia. Hebu tujuzeni ni faraja gani au ina mvuto gani?
Haya vidume vya JF nasubiri busara zenu

Tuombe radhi kwa kutuita vidume maana sie ni waume wa ukweli eti. Ukiomba radhi nitakueleza sababu na umhimu wa miguu.
 
Seriously mwanaume mwenye miguu mizuri its a bonus kwenye 6x6. I love nice and clean legs. Afu awe kavaa kaptula na sandals! Awe intelligent, mnaweza ku-argue, mweeh!

You have characterised me, are you with one? if no nipo
 
Mmmh! naona sasa mnanyanyapaa wasio kuwa nayo
 
Back
Top Bottom