Nini sababu ya shule za Kiislamu kuungua kipindi hiki? Mivumoni Islamiki nayo inaungua muda huu!

Kwani zina jengwa kwa ma box au tofali?!
Watajua wenyewe hayo mambo yao, wanataka askofu pengo atoe tamko au?!
 
Una swali la mahudhi
Matatizo ya waislamu utatuliwa na waislam, wakitaka jamii ishiriki wanachukia wenyewe.

Juzi kati Magufuli alifanya arambee kuchangia ujenzi wa msikiti Dodoma walichukizwa na harambee za kanisani.

Sasa shule za waislamu zinaungua moto mara kwa mara, unadhani tatizo liko nje au ndani miongoni mwao?!

Au ndio which hunt zenyewe hizi?
 
Watanzania tunaishia kupiga kelele mtandaoni tu. .

Watu hawawajibiki!!!??
 
Hapo nnachoona Kuna wapuuzi wanafanya Ivo ili kuamsha hisia na mihemko ya kidini ili yatokee machafuko ya kidini.....na wakristo hawana mentality za Vita kabisaa... Hii kitu watu wa system waiangalie vizuri......na mtu au kikundi Cha watu wakijulikana ni waliwe vichwa kimya kimya.... Tanzania hatufugi UPUMBAVU.....na nnachoona Kuna wasenge humuhumu wanapima upepo wa wananchi wanavochukulia hiyo Hali................we angalia tu jinsi mtu anavoanzisha mada kiuchokozi....
 
Back
Top Bottom