Nini sababu ya shule za Kiislamu kuungua kipindi hiki? Mivumoni Islamiki nayo inaungua muda huu!

Lazima ipo sababu tena inahitaji hatua za haraka.

Leo kuna darasa linaungua huko Mivumoni Islamic
Waislamu ni watu mtima nyongo sana, mara nyingi majini yao yanawaelekeza isivyo.Hii inawezekana ni hujuma kwa ajili ya wivu nk.nk.Si unajua majini a.k.a Shetani tena,kazi yake ni kuua,kuharibu na kuiba.
 
Ulishawahi kuwa na nyumba halafu ukapigiwa simu kwamba inaunguwa, ulijisikiaje/utajisikiaje ukiwakuta majirani wanachekelea na kufurahia kitendo hicho?

Ukifurahia maumivu ya mwenzako, ujue wewe nawe yako njiani kuja?

Ona huruma panapostahili huruma Kwa kuwa hata wewe shida hizo ni lazima zikupate
Aonee huruma watu wanaojihujumu wenyewe?
Hayo ni matumizi mabaya ya huruma.
 
Aonee huruma watu wanaojihujumu wenyewe?
Hayo ni matumizi mabaya ya huruma.
Usipowaonea huruma maana yake unaungana na wanaowahujumu!!

Wahujumu popote pale walipo ni majambazi tu, na uhujumu wa namna yoyote haukubaliki na Wala haukufanyi wewe uuone kuwa mahali mahali Fulani haufai na mahali Fulani unafaa Kwa kuwa Tu Eti mahali Fulani wanahujumuiana,
 
Lazima ipo sababu tena inahitaji hatua za haraka.

Leo kuna darasa linaungua huko Mivumoni Islamic

Baada ya Rafiki yake Mkuu na aliyekuwa akimlinda hadi kumbeba BAKWATA sasa Kuhamia Kigamboni nae anatafutiwa Sababu aondolewe alipo.
 
Back
Top Bottom