Nini sababu ya mikoa ya Kusini kuwa salama sana kibinadamu?

Hatujakataa hoja yako.

Tunakufahamisha usilo lijua (Ambalo halitangazwi).
sawa,
lakini kama mtu unaishi na wengine wanaishi na miaka inakatika huoni wala kusikia kuna mtu akiwa kajifungua mbilimbi, kanyofolewa korodani/titi/penis, anauza biashara bila mwenyewe kuwepo na watu wanachukua wanachohitaji huku wakirudisha chenji wenyewe n.k tunaweza kusemaje?
 
Duh! Ila niliokutana nao mimi labda ni tofauti nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja Nikuulize..

Umewahi kufika na kuizunguka mtwara yote? (Sio tu pale town).
 
Nisichokijua hapo labda huo msamiati wa "promiscous" lakini hayo mengine nashindwaje/naachaje kuyajua wakati nipo huku naishi nao?

Hatahivyo, mimi naongelea Lindi tu huko Mtwara sijafika hata halafu sijakuelewa kidogo... kwamba unakataa nini kuhusu dini, maana mimi nimesema napinga wale waliosema dini ndo sababu za yale yaliyotajwa kwenye uzi
 
Ngoja Nikuulize..

Umewahi kufika na kuizunguka mtwara yote? (Sio tu pale town).
kwa asilimia kubwa.....tandahimba (pale wilayani na kwenye vijiji vyake kama kitama, nyundo, nambahu, mkonjowano, uloda, dihimba, namindondi), mtwara vijijini km nanyamba, kitere, kitaya, nimtekela n.k, newala karibu yote na maeneo mengine pia. mtwara mjini naiondoa kwa kesi hii.
 
NI kwamba wewe ni Mmarekani, m-Ulaya, Mjapan, au Mkorea ya Kusini?! Acha kujikweza wewe!!! Ni mkoa gani ukiondoa Dar es salaam ambao hautegemei kilimo?! Kwamba eti ukashangaa eti hakuna umeme!!! Unataka kusema ni watu wa huko pekee ndo hawana umeme Tanzania hii?!! Ni unafiki ulioje na kujikweza kwa kijinga. Yaani Afrika hii ushangae kutokuta umeme vijijini? Yaani kuna watu humu kwa kujifanya kwenu ni maisha bora; wakati hata huko kwenu shida tupu!!
 
Hahahahah

Kama wewe ni Ke kweli, na humjui Yesu Kristo, niamini Mimi walikupandia dau usiku.

Pwani ya mtwara
mh, we ndugu sasa mambo hayo unaonyeshwa wewe tu? naanza kupata mashaka labda mwenyewe wewe ni mtu wa mitishamba ndo maana unasumbuka na vitu hivyo na inaonekana huwezi kuamini vinginevyo!
 
mkuu watu kwenye kufake maisha wako vizuri aisee, wako vizuri saana!
 
Ewaah.. Sasa ile newala ile sio poa, mahuta hapafai, tandahimba nayo ina magwiji wengi tu, njoo huku naliendele na kile kijiji pacha yake ipo upande wa kushoto baada tu ya naliendele.. huko kote Kuna magwiji.. sema sasa uchawi as uchawi hautangazwi sana tofauti na matendo/matukio ya moja kwa moja kwenye mwili..
 
mkuu watu kwenye kufake maisha wako vizuri aisee, wako vizuri saana!
Pumbavu sana hilo jamaa!! Linajifanya kushangaa kukuta kijiji hakina umeme wakati limetoka kwao huko hadi kwenye mikoa ya watu wasio na umeme!! Sasa kama sio njaa ndo zinamsumbua hadi akafiika kote huko, sijui tuite nini!!
 
Kiongozi, miezi michache iliyopita nilienda Mtwara kwenye research moja! Kule Waislamu ni wengi sana! Labda wewe ulifika Masasi; huko ndiko Christian wengi lakini ukienda Mtwara Mjini, Vijijini, Newala, Mahuta, Tandahimba; zote hizo ni Muslim majority, tena by far.
 
Reactions: apk
sawa, ngoja tuendelee kusikia ushuhuda mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…