Nini sababu ya Hamza kufanya yote haya?

kama ni kweli hili tukio limelipaka sana jeshi la Polisi matope. Kwa kweli jeshi la Polisi linahitaji kufumuliwa.
 
Polisi wanamblind mama kwa kukamata wapinzani ili afurahi na wao waendelee kupiga mishe zao bila kukolomewa wala kuchukuliwa hatua.
 
Hili dude n la kibabe,,
Mbwa kala mbwa..
Jogoo kashindwa kuwikaaaa.
Ila hili shuzii lakimkakati
 
Back
Top Bottom