Nini plan B baada ya vifurushi vya internet kupanda bei?

ok mkuu,binafsi nilikua mgeni kidogo kuhusu hii huduma .kwa faida ya wengi ni hivi kuipata hii huduma unanunua rauter au mifi ambayo bei zake ni hizo hapo chini
[emoji92]Tigo SIM + Router + 100GB FREE MBs valid for 30 days cost Tsh250,000
AU
[emoji92]Tigo SIM + MiFi + 40GB FREE MBs valid for 30 days cost Tsh125,000
 
Tigo MiFi connects to 10 devices while the Router connects to 32 devices.
 
Tigo MiFi connects to 10 devices while the Router connects to 32 devices.
Vifurushi vya week

15,000TZS GB 12
25,000TZS GB 20
35,000TZS GB 30

Vifurushi vya mwezi

TZS 50,000 GB 30
TZS 85,000 GB 50
TZS 120,000 GB 100
 
Gb1 Dakika 18? Ujinga huo. Gb nne kwangu dakika 7 zishaisha
 
huyu waziri ashaambukizwa akili ya ki sadist na jiwe
 
Gb1 Dakika 18? Ujinga huo. Gb nne kwangu dakika 7 zishaisha
Sidhani kama ni sahihi kuropoka humu kwenye jukwaa la waelewa.

Pili kama ungekuwa huna shida ya bei mpya za internet sidhani hata kama kulukuwa na haja ya kuingia humu, jaribu kutumiaga lugha ya kistarabu.

Uwe unauliza, sio kutukana au kukebehi au kudharau.

Kama umesoma maada vizuri nimeandika kwamba kuna vifurushi vya bei zaidi, hivi ndo vina speed kali zaidi na ni vizuri hata mkiwa wengi bado mnaweza kutumia internet kama kawaida.

Ni mfuko wako tu, kama utahitaji kifurishi aina hio kipo, utaweza kupata speed ya Megabytes takribani 12 kwa sekunde, kwa mega bytes 12 kwa sekunde hizo gb 4 ni chini ya dakika 6 zoezi limekwisha.

bei ya kifurushi ni shililing laki 2 na nusu kila mwezi,
 
Haya maelezo yote umemhandikia nani sasa?
 
Wadau wadau. Wahini Airtel kabla hawajashtukia.

Nakuomba wewe ambae unatumia airtel ingia hii menu *148*60# kisha ingia namba 3 halafu ndio utakuta UNI ofa
 
Duuh mbona bado parefu sana aseeh tutakoma wapendwa
 
Kwa bei hizi wataua band hawa wajinga!
 
habari njema hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…