Nini plan B baada ya vifurushi vya internet kupanda bei?

Nini plan B baada ya vifurushi vya internet kupanda bei?

Ndio shida yetu Watanzania tunaridhika mapema lakini waziri alipaswa kuliongelea hili sababu aliahidi vitashuka matokeo vimepanda, kama kazi imemshinda aseme wapo wataalam wanaweza kufit.
Nadhani haya ni matokeo ya ile hotuba ya ndugu lile aliyoitoa kwenye vyombo vya habari kuwa pesa zinazotokana na simu za kimataifa zimeshuka Sana kwa sababu ya uwepo wa option ya kuongea na mtu katika mitandao mingi ya kijamii na kuahidi kulifanyia kazi. Ni hatua mbaya kabisa kuwahi kutokea katika mawasiliano hapa nchini.
 
Ajiuzulu tu wizara imemshinda apewe Makonda
 
Kwanini tutafute plan B? Kwanini tusiulize mamlaka husika kwanini wamepandisha gharama namna hiyo? Sababu ni nini? Kwa umoja wetu itaelewaka tu kuliko kujinyongesha
Hawawezi kosa jibu. Utaambiwa na huduma pia zimeboreshwa sasa unaweza kupiga customer care ukawekewa kamziki kazuri wakati simu inasubiriwa kupokelewa.
 
Lazima tupiganie haki yetu, serikali haijawahi kukutana na nguvu ya umma. Hasa tukiungana.
 
Kwani hatuwezi tafuta another means ya kupata data,,au kama itawezekana wadau kadhaa humu JF tutengeneze kampuni ya ku supply wifi,,tu deal na ku supply wireless internet only,,throughout the City kwanza,,kabla ya kuingia mikoani....I think tutasolve huu utumwa wa internet for good na ku create ajira kwa vijana wenzetu wengi sana
 
Haya ndiyo matokeo ya kuruhusu sirikali fake iliyoiba kura kuingia madarakani.Katika karne ya 21 uchumi endelevu huwa unaendeshwa kwa kutegemea sana internet,imagine hawa wezi wa kura wanaojiita ni viongozi hawajui hata concept ndogo kama hii.Sasa hivi watu wengi watapunguza sana kutumia internet na matokeo yake ni haya:

1.Makampuni ya simu yatakosa sana mapato na huenda kuna makampuni ya simu yatakufa.

2.Sirekali itakosa mapato kupitia kodi.

3.Wanyonge waliokuwa wanatumia internet kuendesha biashara zao na kujipatia kipata kwisha habari yao.

4.Namba moja hadi tatu hapo juu italeta umasikini kwa sababu kuna makampuni yatakufa,watu watakosa ajira na kadhalika.

Inawezekana vipi serekali ambayo ina wasomi na wataalam wanashindwa kuona vitu vidogo kama hivi?!!!!!
 
Mpaka kieleweke mwaka huu
Bundle.jpg
 
Tutengenezeni hashtag tupost kila sehemu na pia tukavamie ukurasa wa Waziri tupost hashtag kama hawezi kushusha vifurushi ajiuzulu.
 
Kwani hatuwezi tafuta another means ya kupata data,,au kama itawezekana wadau kadhaa humu JF tutengeneze kampuni ya ku supply wifi,,tu deal na ku supply wireless internet only,,throughout the City kwanza,,kabla ya kuingia mikoani....I think tutasolve huu utumwa wa internet for good na ku create ajira kwa vijana wenzetu wengi sana
umewaza jambo la mbolea sana mkuu tatizo hiyo inahitaji capital kubwa na nguvu ya kuhimili siasa itakayojitokeza
 
Back
Top Bottom