Nini plan B baada ya vifurushi vya internet kupanda bei?

ok mkuu,binafsi nilikua mgeni kidogo kuhusu hii huduma .kwa faida ya wengi ni hivi kuipata hii huduma unanunua rauter au mifi ambayo bei zake ni hizo hapo chini
Tigo SIM + Router + 100GB FREE MBs valid for 30 days cost Tsh250,000
AU
Tigo SIM + MiFi + 40GB FREE MBs valid for 30 days cost Tsh125,000
 
Tigo MiFi connects to 10 devices while the Router connects to 32 devices.
 
Vifurushi vya week

15,000TZS GB 12
25,000TZS GB 20
35,000TZS GB 30

Vifurushi vya mwezi

TZS 50,000 GB 30
TZS 85,000 GB 50
TZS 120,000 GB 100
 
Kama upo dar maeneo ya kkoo, mjini posta, msasani, peninsular, upanga, kinondoni ya morocco, mikocheni, masaki obey, n.k Kuna fiber za kutosha kama zuku, Raha, Gofiber, n.k

fibre ni internet ya waya, unavutiwa waya hadi sehemu ulipo nyumbani kwako, ni internet ya waya lakini kuna kifaa utapewa kinaitwa wireless router, hiki kifaa kitakuwezesha utumie internet kwa wifi ya simu au laptop ama vifaa vingine vyenye wifi.

Kwa mfano internet ya fibre ya zuku inapatikana kino, kariakoo, msasani, peninsular, upanga,n.k utalipia elf 70 au zaidi (kuna vifurushi vina speed kali sana hivi vinafaa kama watumiaji mpo wengi)

utaweza kutumia internet bila kikomo, speed ni nzuri hata kwa kifurushi cha chini cha elf 70 ambacho unaweza kudownload mb 1 (nasikia sikuhizi ni 2) kwa sekunde, ni speed nzuri hata videos utaangalia bila kukwama na hata kwenye kudownliad utaweza kudownload muvi hata ya gb 1 kwa takribani dakika 18 tu, kitu kizuri zaidi ni hakuna kikomo, hakuna mambo ya ukifikisha gb kadhaa speed inashuka,.makampuni mengi gharama za vifaa na kuletewa waya wa internet hadi kwako ni bure ikiwa utalipia bando la mwezi au miezi kadhaa.

changamoto ni kwmaba haipo kila sehemu dar na pia inabidi uwe mazingira ya nyumbani au ofisini ili kutumia wifi ya kifaa chao.

Kwa waliopo nje ya maeneo hayo au mikoani ttcl nao wana fibre sema nasikia ni gharama.

Kiukweli ni pigo kubwa, saizi wasanii wasahau kupata views nyingi kama zamani huko youtube, Internet ilikuwa silaha yetu kwa kuinua wasanii ila kwa hali hii jumna bovu limewaangukia
Gb1 Dakika 18? Ujinga huo. Gb nne kwangu dakika 7 zishaisha
 
Sidhani kama ni sahihi kuropoka humu kwenye jukwaa la waelewa.

Pili kama ungekuwa huna shida ya bei mpya za internet sidhani hata kama kulukuwa na haja ya kuingia humu, jaribu kutumiaga lugha ya kistarabu.

Uwe unauliza, sio kutukana au kukebehi au kudharau.

Kama umesoma maada vizuri nimeandika kwamba kuna vifurushi vya bei zaidi, hivi ndo vina speed kali zaidi na ni vizuri hata mkiwa wengi bado mnaweza kutumia internet kama kawaida.

Ni mfuko wako tu, kama utahitaji kifurishi aina hio kipo, utaweza kupata speed ya Megabytes takribani 12 kwa sekunde, kwa mega bytes 12 kwa sekunde hizo gb 4 ni chini ya dakika 6 zoezi limekwisha.

bei ya kifurushi ni shililing laki 2 na nusu kila mwezi,
 
Haya maelezo yote umemhandikia nani sasa?
 
Wadau wadau. Wahini Airtel kabla hawajashtukia.

Nakuomba wewe ambae unatumia airtel ingia hii menu *148*60# kisha ingia namba 3 halafu ndio utakuta UNI ofa
IMG-20210402-WA0035.jpg
 
ok mkuu,binafsi nilikua mgeni kidogo kuhusu hii huduma .kwa faida ya wengi ni hivi kuipata hii huduma unanunua rauter au mifi ambayo bei zake ni hizo hapo chini
Tigo SIM + Router + 100GB FREE MBs valid for 30 days cost Tsh250,000
AU
Tigo SIM + MiFi + 40GB FREE MBs valid for 30 days cost Tsh125,000
Duuh mbona bado parefu sana aseeh tutakoma wapendwa
 
ok mkuu,binafsi nilikua mgeni kidogo kuhusu hii huduma .kwa faida ya wengi ni hivi kuipata hii huduma unanunua rauter au mifi ambayo bei zake ni hizo hapo chini
Tigo SIM + Router + 100GB FREE MBs valid for 30 days cost Tsh250,000
AU
Tigo SIM + MiFi + 40GB FREE MBs valid for 30 days cost Tsh125,000
Kwa bei hizi wataua band hawa wajinga!
 
Back
Top Bottom