Nini plan B baada ya vifurushi vya internet kupanda bei?

umewaza jambo la mbolea sana mkuu tatizo hiyo inahitaji capital kubwa na nguvu ya kuhimili siasa itakayojitokeza

Tunaweza tukakaa na ku brain storm capital tunaipata vipi,,lakini tukishakuwa as a company,,ata kupata mfadhiri inakuwa rahisi,,cause internet itakuwa under popular demand in the coming weeks...ngoja mabando ya nyuma ya wengi yaanze kuisha
 
Nadhani haya ni matokeo ya ile hotuba ya ndugu lile aliyoitoa kwenye vyombo vya habari kuwa pesa zinazotokana na simu za kimataifa zimeshuka Sana kwa sababu ya uwepo wa option ya kuongea na mtu katika mitandao mingi ya kijamii na kuahidi kulifanyia kazi. Ni hatua mbaya kabisa kuwahi kutokea katika mawasiliano hapa nchini.
Huyu jamaa kumbe bora angepigwa na Bashite
 
Sio lazima muda wote kutumia nguvu kubwa kutatua tatizo,,,huu ndo wakati wakutumia elimu zetu kama wasomi,,ku invent mambo ili kukomboa taifa...hatuwezi endelea kuishi kwakutegemea serikali ifanye kila kitu....
Hebu kuwa serious kidogo
 
Plan B ni kununua kifurush cha buku; mb zake tumia kufungua email, labda site za habar na kujifunza kidogo. Fb tumia free, unaeza ingia gharama kidogo kwa kudownload game nzur ili zikupotezee andas ya kuingia kwe mitandao km twita nk.

Epuka kuangalia status wasap

Usisahau kupitia na humu coz wala hutumii mb nying.
Ha ha ha Hizo status za video hata kama hujaamua kuangalia zenyewe zitapungua kwa hizo ghalama za bando dadekii naona zitapungua zenyewe automaticaly

Mm nawashauri watu insta watumie browser badala ya app na facebook kama ulivyosema watumie free waachana na mavideo yasio na tija
Usawa ushakuwa mgumu

JF yetu sie raha tele hata ukiwa na mb 100 siku nzima unapuyanga tuu
 
kutokana na vifurushi kuwa affordable hata sjawahi kufikiria kuwachek hao watu lakini hivi sasa itabidi tu,lamda kama kuna mtu alishawahi kuwachek atuambie hapa
karibuni sana ZUKU FIBER, huduma zetu zipo chini mno na ni unlimited internet,pia iko shared .. 0753605063 piga hapo nikuhudumie kwa hayo maeneo yalotajwa hapo ..ni kwa mwezi

IMG-20201203-WA0010.jpg
 
njoo zuku fiber nikuhudumie mkuu kam upo maeneo tajwa hapo juu
tunaotegemea data katika kazi zetu tumebaki mdomo wazi mkuu hatujui tuanzie wapi, halafu mkuu hili swala lipo kisiasa zaidi ukihoji utajibiwa kisiasa tu bila mabadiliko yoyote na mwisho wa siku wananchi wataona ni kawaida na maisha lazima yaendelee.
 
Ndio shida yetu Watanzania tunaridhika mapema lakini waziri alipaswa kuliongelea hili sababu aliahidi vitashuka matokeo vimepanda, kama kazi imemshinda aseme wapo wataalam wanaweza kufit.
Kwani huoni kuwa kweli vifurushi vimeshuka au wewe ndiyo hukuelewa? Itakuwa yeye alimaanisha Package ya vifurushi itashuka, mfano; kutoka kupata GB hadi sasa hivi unapata MB. Mwanasiasa akikwambia kitu jitahidi uchambue vizuri upate maana ya ndani na usiridhike na ile ya nje.

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Kwani huoni kuwa kweli vifurushi vimeshuka au wewe ndiyo hukuelewa? Itakuwa yeye alimaanisha Package ya vifurushi itashuka, mfano; kutoka kupata GB hadi sasa hivi unapata MB. Mwanasiasa akikwambia kitu jitahidi uchambue vizuri upate maana ya ndani na usiridhike na ile ya nje.

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Upo sahihi kabisa yakhee, nilipitiwa hapo,
Ametukomesha walai
 
BADALA YA KUSONGA MBELE TUNARUDI NYUMA. KARNE HII INTERNET NI KIUNGO MUHIMU KATIKA MAENDELEO. INASIKITISHA SANA. GHARAMA YA INTERNET ILIPASWA IWE KARIBU NA BURE AU BURE KABISA ILI KUPATA FAIDA NZURI KUPITIA SHUGHULI NYINGI. SERIKALI ITAKOSA MAPATO KWA KIASI FULANI KWA KUPANDA KWA GHARAMA YA INTERNET KWA SABABU MZUNGUKO WA FEDHA KUPITIA SHUGHULI ZA MITANDAO UTAPUNGUA.
WAHUSIKA WAFIKIRIE UPYA KATIKA MTAZAMO CHANYA HUKU WAKIWAHUSISHA WATAALAMU WA MITANDAO NA UCHUMI KATIKA DUNIA YA LEO PIA.
 
BADALA YA KUSONGA MBELE TUNARUDI NYUMA. KARNE HII INTERNET NI KIUNGO MUHIMU KATIKA MAENDELEO. INASIKITISHA SANA. GHARAMA YA INTERNET ILIPASWA IWE KARIBU NA BURE AU BURE KABISA ILI KUPATA FAIDA NZURI KUPITIA SHUGHULI NYINGI. SERIKALI ITAKOSA MAPATO KWA KIASI FILANI KWA KUPANDA KWA GHARAMA YA INTERNET KWA SABABU MZUNGUKO WA FEDHA KUPITIA SHUGHULI ZA MITANDAO UTAPUNGUA.
WAHUSIKA WAFIKIRIE UPYA KATIKA MTAZAMO CHANYA HUKU WAKIWAHUSISHA WATAALAMU WA MITANDAO NA UCHUMI KATIKA DUNIA YA LEO PIA.
 
Ivi ukijuunga tigo home internet kwenye line isiyokua kwenye router inakubali kweli? Maana huko ndio naona hawajabadilisha ma bundle na ndio bei nafuu kidogo
Screenshot_20210402-175206.jpg
 
Back
Top Bottom