Killocharlie
Member
- Nov 28, 2017
- 22
- 55
Nadhani haya ni matokeo ya ile hotuba ya ndugu lile aliyoitoa kwenye vyombo vya habari kuwa pesa zinazotokana na simu za kimataifa zimeshuka Sana kwa sababu ya uwepo wa option ya kuongea na mtu katika mitandao mingi ya kijamii na kuahidi kulifanyia kazi. Ni hatua mbaya kabisa kuwahi kutokea katika mawasiliano hapa nchini.Ndio shida yetu Watanzania tunaridhika mapema lakini waziri alipaswa kuliongelea hili sababu aliahidi vitashuka matokeo vimepanda, kama kazi imemshinda aseme wapo wataalam wanaweza kufit.
Ajiuzulu tu wizara imemshinda apewe MakondaNadhani haya ni matokeo ya ile hotuba ya ndugu lile aliyoitoa kwenye vyombo vya habari kuwa pesa zinazotokana na simu za kimataifa zimeshuka Sana kwa sababu ya uwepo wa option ya kuongea na mtu katika mitandao mingi ya kijamii na kuahidi kulifanyia kazi. Ni hatua mbaya kabisa kuwahi kutokea katika mawasiliano hapa nchini.
Hawawezi kosa jibu. Utaambiwa na huduma pia zimeboreshwa sasa unaweza kupiga customer care ukawekewa kamziki kazuri wakati simu inasubiriwa kupokelewa.Kwanini tutafute plan B? Kwanini tusiulize mamlaka husika kwanini wamepandisha gharama namna hiyo? Sababu ni nini? Kwa umoja wetu itaelewaka tu kuliko kujinyongesha
Nenda ofisi zai watakwambiahiyo fibre ni kariakoo tu au ni maeneo yote
Hahahaha dawa ni kushinikiza waziri aachie ngazi la sivyo yeye ndo aje na plan b sio sisiHawawezi kosa jibu. Utaambiwa na huduma pia zimeboreshwa sasa unaweza kupiga customer care ukawekewa kamziki kazuri wakati simu inasubiriwa kupokelewa.
Matapeli wale, nishapigwa 15,000 two times.ngoja waje wajuzi ,
hivi wale naowaona insta wanasema wanaunga vifurushi ni matapeli kama wale wengine au ?
Mmefika Hadi huko hata masaa 24 hayajafika..🤣🤣Kwani Ule mtandao wa Elon musk wa STAR LINK utakao operate dunia nzima kwa kutumia SATELLITE umefikia wapi ?
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
umewaza jambo la mbolea sana mkuu tatizo hiyo inahitaji capital kubwa na nguvu ya kuhimili siasa itakayojitokezaKwani hatuwezi tafuta another means ya kupata data,,au kama itawezekana wadau kadhaa humu JF tutengeneze kampuni ya ku supply wifi,,tu deal na ku supply wireless internet only,,throughout the City kwanza,,kabla ya kuingia mikoani....I think tutasolve huu utumwa wa internet for good na ku create ajira kwa vijana wenzetu wengi sana