Mdada, naona unajitahidi saana kubuni mambo ya chumbani. Mara shanga leo uudi. Sawa, ila kwetu wanasema; Usiige tembo kunya. Yapo mengi sana yanayohitajika kuidhibiti nyumba ila zaidi ya yote, mdada, uwe imara na umbile lako.
Zaidi ya yoote, usafi tu. Uwe mtulivu na ujua kuwa mwanamume ukimbembeleza ni ka mtoto mdogo. Hata kazini haendi na akenda ni kutoroka tu, hata Magu hamtishii nyau. Kisa, my waifu wangu. Sio udi wala shanga. Uwe imara na mtulivu. Wenzio wanaishia kutoa 0713 na bado wanatupwa nje ka taka