Nini matumizi ya udi

Nini matumizi ya udi

Mimi ni mwanaume lkn huwa naona kwa mke wangu toka kitambo kwa kweli udi unafanya mambo ya ajabu kabisa( postive exceptional effects)

Udi unaweza kufukiza ndani ya nyumba au chumbani pekee kwani si watu wengi watakao upenda kwa hiyo kama mnapenda na.mmeo fukiza chumbani tu.

Huondoa harufu za ajabu ajabu ndani ya nyumba.

Udi hufukizwa kunako papuchi yaani kunanukia balaa, kutia ulimi huko hujiulizi maswali.

Pia huweza kufukizwa hata nguo na mwili mzima pia kunukia vzr na kuondoa harufu( unpleasant smell ya ngozi au kwapa)

Jaribu hutaacha, toka niujue wife aspofanya makeke ndani ya wiki lazima nimuulize.
Tunapataje wa huku mikoani mkuu?
 
Matumizi ya Udi ni kwaajili ya kufanya mweili wako unukie au nyumba/Chumbani kwako kuwa na harufu nzuri, kwa wanaume wanaopenda Udi ile harufu ya udi akiisikia basi humfanya kuwa na hamasa hata ya kufanya lile jambo.

Mwanamke ni Usafi na Udi ni moja ya kuboresha mazingira ya mapenzi, Hayo ndo matumizi yake, jinsi ya kutumia Raha ya udi ukiuchoma kwanza usiuchome na moto mkali kama wakuchomea mahindi, moto uwe mdogo mdogo ndo unaungua vizuri kwa taratibu na unaipata harufu ya kwanza mpaka ya mwisho,

Jinsi ya kujifukiza ukishaoga mwele mzima na papuchi yake uisafishe vyema achana na story za baadhi ya watu wanaodai kujisafisha kwa kutia kidole ndani ati ina madhara, madai yao wanake uchafu wetu hutoka wenyewe bila kusafisha ni uongo, nikisema kujisafisha huko kwa K unatia kidole kutoa takataka zote, then ukishaoga fresh, jipake mafuta kabla ya kujifukiza ili harufu ya udi ikae mwilini, na sasa hivi wameturahisishia kuna lotion au vijialud ni aina ya mafuta sabab ni strong sana weka kidogo kwenye mkono jipake kwenye mwili wako yani mwili mzima maeneo yote na hakikisha wakati unajifukiza mwili wako una maji maji , weka chetezo chako na moto weke udi jifunikie na khanga kwa juu moshi usisambae, ule moshi mana ndo hauruf yenyewe inapaswa ienee mwiili mzima na hata nywele pia fukiza na mumeo atafurahi sana.

Udi si kwa mume tu hata wewe mwenyewe unajisikia raha ukiwa unanukia na harufu inadumu kwa muda mrefu mwilini, unaweza fukiza chumbani, nguo na wewe mwenyewe.
 
Udi ukijifukiza usiku hlf walala n mume ile haruf yake mashallah mume atafurah
 
Waambieni watu ukweli udi unakaribisha jini mahaba hakuna cha papuchi kunukia vizuri. Always harufu inayotoka kwa mwanamke ni kutokana na umbile lake... Udi kufukiza ni kukaribisha jini mahaba na sio vinginevyo.
 
hahahaha unajua sisi wanaume tusiotaka kuchepuka inatubidi tuwape wake zetu vile vitu tupendavyo tusije tamani nyumba ndogo bana......
Usisahau pia kama una nyumba ndogo na inapenda kufukiza udi au inakupaka pafyumu aina fulani inakubidi uhakikishe nyumba kubwa nayo ina fukiza udi ili ikisikia harufu idhani ni ya kwake ingawa kalagabaho
 
Jamani natumai nyoote mu wazima wa afya...
Naomba Kwa wanaofahamu matumizi na faida za uddi Kwa mwanamke,kwani Mr.kaenda Zanzibar akaniambia anataka aniletee udii.nikashindwa kumuhoji maswali mengi kwani hakua sehemu nzuri...naomba munisaidie wanaojua haya mambo
Zanzibar hali sio shwali kiviile; mwambie awe makini huko, badala ya kupokea udi unaweza pokea msiba!
Ni hayo tu kwa leo mpendwa.
 
Zanzibar hali sio shwali kiviile; mwambie awe makini huko, badala ya kupokea udi unaweza pokea msiba!
Ni hayo tu kwa leo mpendwa.
Ushindwe na uleegeee... Sio maneno ya kuniambia bulshit haikua na ulazima was kukoment..stupid
 
Mimi nauliza, papuchi ndo nini?? Mbona hapa mnaiongelea sana??
 
Back
Top Bottom