Nini matumizi ya udi

Nini matumizi ya udi

Mimi ni mwanaume lkn huwa naona kwa mke wangu toka kitambo kwa kweli udi unafanya.mambo ya ajabu kabisa( postive exceptional effects)

Udi unaweza kufukiza ndani ya nyumba au chumbani pekee kwa ni watu wengi watakao.upenda kwa hiyo kama mnapenda na.mmeo fukiza chumbani tu.

Huondoa harufu za ajabu ajabu ndani ya nyumba.

Udi hufukizwa kunako papuchi yaani.kunanukia balaa, kutia ulimi huko hujiizi.maswali.

Pia huweza kufukizwa hata nguo na.mwili mzima pia kunukia vzr na.kuondoa harufu( unpleasant smell ya ngozi au kwapa)

Jaribu hutaacha, toka niujue wife aspofanya makeke ndani ya wiki lazima nimuulize.
Wewe yaonesha ulikuwa unakula kozi wakati mkeo akifukiza papuchi yake.
 
Jamani natumai nyoote mu wazima wa afya...
Naomba Kwa wanaofahamu matumizi na faida za uddi Kwa mwanamke,kwani Mr.kaenda Zanzibar akaniambia anataka aniletee udii.nikashindwa kumuhoji maswali mengi kwani hakua sehemu nzuri...naomba munisaidie wanaojua haya mambo

Wewe nenda kajifukize tu huo udi halafu yakikukuta you know where to find me.
 
Itakua mumeo kaona thread ya mti chuma ndio maana anataka akufanyie majaribio
 
utanukia hatari yani kama malaika vile huwenda ikawa sababu ya kumuongezea mumeo ashki ya tendo la ndoa
Inategemea ni udi gani, mengine yananuka vibaya kama nini sijui. Pia kuwa makini unaweza kukaribisha mapepo.
 
Mimi ni mwanaume lkn huwa naona kwa mke wangu toka kitambo kwa kweli udi unafanya mambo ya ajabu kabisa( postive exceptional effects)

Udi unaweza kufukiza ndani ya nyumba au chumbani pekee kwani si watu wengi watakao upenda kwa hiyo kama mnapenda na.mmeo fukiza chumbani tu.

Huondoa harufu za ajabu ajabu ndani ya nyumba.

Udi hufukizwa kunako papuchi yaani kunanukia balaa, kutia ulimi huko hujiulizi maswali.

Pia huweza kufukizwa hata nguo na mwili mzima pia kunukia vzr na kuondoa harufu( unpleasant smell ya ngozi au kwapa)

Jaribu hutaacha, toka niujue wife aspofanya makeke ndani ya wiki lazima nimuulize.



mmmmh we mkali. basi poa sana
 
Wahi hospital kwa uchunguzi zaidi pappi yaeza kuwa na kamlio si kazuri kwa matumizi ya binadamu.
 
Jamani natumai nyoote mu wazima wa afya...
Naomba Kwa wanaofahamu matumizi na faida za uddi Kwa mwanamke,kwani Mr.kaenda Zanzibar akaniambia anataka aniletee udii.
Kubali Udi unamambo mengi mazuri,kwanza harufi yake kwenye nyumba ukifusha,unaweza kufusha kanzu zake kama anavaa kanzu hasa ijumaa kwa ajili ya msikitini,au unaweza kufusha nywele zako akinusaa oooh raha tupu,ukifusha mwili ndio usiseme,ukifusha nguo ndio usiseme,sasa upate na Al Oud ile isio washa kama Misk nyeupe ujitie nyuma ya masikio kidogo,kwenye mapaja nyuma ya mgongo kwa chini kidogo,mengine ni PM ntakupa jinsi ya kufusha ukae vp kwenye chetezo..
 
Back
Top Bottom