kitonger
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 1,164
- 1,542
NB:Eda ya Kufiwa ni miezi 4 na siku 10.ya mungu mengi..Vipi endapo first daddy akatangulia mbele ya muumba..je,Mkewe atawajibika kukaa eda au??
NB:Eda ya Kufiwa ni miezi 4 na siku 10.ya mungu mengi..Vipi endapo first daddy akatangulia mbele ya muumba..je,Mkewe atawajibika kukaa eda au??
Hakuwepo. Au ndoa ishakufa labda."Prince Philip". Alikuweoo Chato juzi? Nauliza,kwa sababu nilisikia wanasema"picha inayofuata,viongozi watapiga na wenza wao".
Dini Ya Haki Haitaki Kujilegeza Kuwa MarioMa first lady ndo wanapelekwa pelekwa. 1st Gentleman yuko na mambo yake.