Nini Majukumu ya Mume wa Rais (First Gentleman) Kiserikali?

Tangu Rais Kagame aonekane wanazindua gari akiwa na Mama kule Rwanda, Sijamuona tena Huyu Baba yetu. Labda kilichoharibu ni zile kauli alizosema Mama kuwa kazi ya Mwanaume ni kuchangia mbegu tu, mambo mengine tuwaachie wao.

Namshauri Mume wa rais nae aanzishe mfuko wa kusaidia mikopo kwa Vijana. Kama vile mke wa Rais Kikwete alivyokuwa anasaidia Wanawake.
EOTF ya mama Mkapa ilifanya vizuri sana kuliko mke yeyote wa rais
 
We shindwa we

49C233A4-75B0-41C6-8410-CC597E559AC4.jpeg
 
Kidogo hii inaweza kuwa hoja sabili.

Lakini pale Ikulu kuna ofisi ya Mwenza wa Rais.

Isije ikatokea watu wabaya wakapitia kwake na kuleta changamoto kwenye Taasisi ya Rais.

Wataalam wa sheria wanalionaje hili!
Wajuaji watatupa jibu...
 
Kumbuka Rais ni Icon yetu kama Taifa.
Kama mwenza wake anayo ofisi kwenye ofisi za Ikulu basi siyo kosa kuulizia uwepo wake.

Inawezekana hili linawakera watu fulani ambao wamepewa ile A.K.A ya wale wadudu wasumbufu kwenye nywele zetu

Mkuu, kwa taarifa yako tu ni kwamba. Kuna Rais Zanzibar hakuishi nyumba maalum ya Rais pale Kilimani akaenda zake Mbweni. Hao ndio wazanzibari.
Sasa hapo pima kama hao kupe kati ya rais wa Zanzibar na Mme wa Rais, ipi inawakera zaidi?
 
Wazanzibari hawana makuu, na vilevile sio watu wa kupelekeshwa.

Kuna siku askari wa usalama barabarani kamsimamisha dereva wa daladala anamwambia afike kituoni pale Malindi, dereva kamwambia usinizonge bwana, hizo sheria tu hata mimi nnazo kwa mke wangu, tangulia kituoni ntakuja.

Nikasema hapa ingekua Bongo ndugu zake wangekua wanamtafuta vituo vya polisi.
🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom