Nini madhara ya kufanya ngono mara nyingi?

DAN LOKOMOTIVE

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
1,064
2,000
hau
Je kuna madhara Ku sex every day?Wife nae hataki sasa.Anakua na kazi nyingi anachoka sometimes.Ila lengo langu kila siku goli 3
hakuna madhara as long as unafanya na mtu unayemuamini kwa maana ya magojwa, kama haingiliaa ratiba zako za kila siku za kujenga maisha na kama una mke hapo ndo vizuri na pia inasaidia kukuongezea hamu zaidi na ufanisi katika kulifanya na kupunguza stress za hapa na pale ila tu uwe unakula vizuri una replace protein zinazopotea maana ukipiga mashine kwa goli 3 kila siku sperm count per ejaculation lazima ishukue ala in all hakuna madhara kama ni safe sex.
 
Capitano

JF-Expert Member
Apr 7, 2011
1,960

Daah asavali umenisaidia sana mimi binafsi
 
fisi 2

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
2,478
2,000
Jiandae kwa haya wote kutoka waaminifu mnapotengana kidogo tu. Mkeo kuja kuliwa na vijana pale umri wako utapokua mkubwa na kushindwa kupiga hivyo sasa.

Jiandae kwa magonjwa uzeeni ya kuuchosha mwili ujanani. Mwisho hakuna alieushinda wala kuukomoa uchi wa Mwanamke .
 
Demi

JF-Expert Member
Nov 22, 2016
22,740
2,000
Goli 3 kila siku huo muda unatoa wapi? Utakuwa huna kazi inayokukeep busy
 
evonik

JF-Expert Member
Jun 12, 2015
2,836
2,000
-Kumchoka mapema mkeo,
-Nguvu kuishiwa mapema
-Kupoteza kumbukumbu kwa urahis
-Kukauka kwa fluid za magoti
-Mwili kuchoka Mara kwa Mara
N:B Fanya kwa kiasi, sio kila siku jipe muda wa kufanya mambo mengine yakuweke busy kuliko kuwaza sex kila leo
 
SK2016

JF-Expert Member
Apr 6, 2017
7,971
2,000
Katika maisha yangu sikuwahi kuamini kama kuna me wanawaza kukaa miezi hata 4 bila kufanya mapenzi!!!!!
Leo hii toka Korona ilipoingia na kuondoka Tz sijawahi kufanya kabisa!

Kuna wakati nahisi niko The Heage, lakini nimeimudu kwa kuwa busy na job na kuamua kuwa mtu wa Church tu.

Ndugu, jipe break kidogo tu, usiuendekeze mwili, utakuja kujuta mbeleni. Saizi bado mapema.
Hata mimi nilishauriwa sana japo sijaoa ila hiyo hali nilikuwa nayo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom