Nini madhara ya kufanya ngono mara nyingi?

Nini madhara ya kufanya ngono mara nyingi?

Napiga kimoja asubuhi,nachomoka job mchana hata Kama anapika napewa kimoja,jioni kimoja tena
 
Madahara yako utakuwa legelege sana utakuwa huwezi kuinua hata kilo 15 za mchele mwili unakosa nguvu 2 mbegu zako zinakosa rutuba unaweza kuzaa mtoto mlemavu (3) utazeeka mapema sana ...
Fanya ngono angala mara tatu kwa wiki
 
Kuhus mlemavu kama kuna ukweli Nina ushahid
Madahara yako utakuwa legelege sana utakuwa huwezi kuinua hata kilo 15 za mchele mwili unakosa nguvu 2 mbegu zako zinakosa rutuba unaweza kuzaa mtoto mlemavu (3) utazeeka mapema sana ...
Fanya ngono angala mara tatu kwa wiki
 
Inaeezekana hata miaka 10
Katika maisha yangu sikuwahi kuamini kama kuna me wanawaza kukaa miezi hata 4 bila kufanya mapenzi!!!!!
Leo hii toka Korona ilipoingia na kuondoka Tz sijawahi kufanya kabisa!

Kuna wakati nahisi niko The Heage, lakini nimeimudu kwa kuwa busy na job na kuamua kuwa mtu wa Church tu.

Ndugu, jipe break kidogo tu, usiuendekeze mwili, utakuja kujuta mbeleni. Saizi bado mapema.
Hata mimi nilishauriwa sana japo sijaoa ila hiyo hali nilikuwa nayo.
 
Je, kuna madhara Ku sex every day? Wife nae hataki sasa. Anakua na kazi nyingi anachoka sometimes. Ila lengo langu kila siku goli 3
Hahaha mkuu unataka kugundua nn na unafanya kila siku ni kwamba una nyege kila siku au Kuna kitu unakitafuta???[emoji38][emoji38][emoji38] Btw wife lazima achoke sex ni starehe mpe muda na yy mwili upate nyege jaman cio kila siku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom