Nini maana ya maneno haya?

Nini maana ya maneno haya?

Wewe ndio unanilaumu, mimi nimeelezea hali halisi. Kakangu (rip general), ulikuwa ndio usemi wake wakati tunakua. Ukifanya kitu kidogo tu anamuambia mama 'mzigo wako huu'

well, sikuwahi kuhusisha hii na muundo wa kanisa. Mtoa mada hapo juu amenipa mwanga kiasi. Naendelea kujifunza. Lakini mwisho wa siku nilidhani mtunga mithali akisema hivyo alimaanisha jukumu la malezi ni la mama zaidi. Na usisahau jamii za kale baba alitumia muda makondeni akilima na kulisha mifugo na mama akiwa nyumbani kutunza familia.

kiukweli nachukulia majukumu yoote ya kuangalia nyumba na watoto ni ya kwangu. Na naamini mume akiwa hopeless familia itaendelea tu vizuri, ila ukipata mke hopeless imekula kwako mazimaaai
Kama kawaida umekuja na kulaumu
Mna kazi sana nyie .......
Ni kweli kabisa unaamini kuwa Mungu alikuwa na mtazamo wako huu kusema hayo maneno?

Unajua ni kwanini hiyo dhana ya kumlaumu mama ilikuwepo?
Unafikiri ni kwanini mamam husononeka zaidi?

Ni kweli baba kujisifia au umesema hayo ili ujiridhishe tu?
 
Wewe ndio unanilaumu, mimi nimeelezea hali halisi. Kakangu (rip general), ulikuwa ndio usemi wake wakati tunakua. Ukifanya kitu kidogo tu anamuambia mama 'mzigo wako huu'

well, sikuwahi kuhusisha hii na muundo wa kanisa. Mtoa mada hapo juu amenipa mwanga kiasi. Naendelea kujifunza. Lakini mwisho wa siku nilidhani mtunga mithali akisema hivyo alimaanisha jukumu la malezi ni la mama zaidi. Na usisahau jamii za kale baba alitumia muda makondeni akilima na kulisha mifugo na mama akiwa nyumbani kutunza familia.

kiukweli nachukulia majukumu yoote ya kuangalia nyumba na watoto ni ya kwangu. Na naamini mume akiwa hopeless familia itaendelea tu vizuri, ila ukipata mke hopeless imekula kwako mazimaaai

Now your talking .......!!
 
Sasa mkuu ni kwanini huyo mzazi awe baba peke yake?

Mkuu hii inawezekana lakini sio kwa kiwango kikubwa

MTAZAMO WANGU
Mkuu,nionavyo mimi ni kuwa nyakati hizo na hata kwenye kanuni na sheria za Mungu ni kuwa baba na mama wana majukumu tofauti kwenye familia

Mama yeye ni kulea wana jukumu ambalo ni la maana sana hata kuzidi yote kwani mwana huanzia hapa na hata maraisi bora na wabovu huanzia hapa na viongozi wote

Baba yeye ni kutafuta mkate wa kila siku na hata akija nyumbani yeye ni kutoa maagizo na amri mara nyingi kama sio zote

Sasa ukiyatazama hayo utaona kuwa mtoto anapikuwa mpumba.vu basi huwa ni aibu sana kwa aliyemlea ambae ni mama yake na ndio chanzo cha kuguswa na hilo na hatima yake ni kuhuzunika,kwenye suala la kumfurahisha au kuwa fahari ya baba ni pale ambapo kimsingi baba hufurahi pale ambapo mtoto anapikuwa anamtii sana bila kuleta upinzani pale baba anapokuwa nyumbani,lakini pia jukumu lingine la baba ni kuisimamia nyumba pamoja na mlezi wa wana hivyo kama baba atakuwa amemsimamia vyema mama ambae ni mlezi wa wana basi mama huyo atakuwa na msimamo kwa anaowalea pia na hilo kupelekea mtoto kulelewa kwenye malezi bora

Inapofikia hatua hiyo basi baba anapata heshima kwakuwa ameweza kutoa usimamizi kwa mama ambae ndio aliyemlea mwana ambae ni matokeo mazuri ya usimamizi huo!
Ni kweli unachosema, ila tasfiri unayoileta ni "plain meaning interpretation", to my understanding, in a broad sense, mstari huo unalenga, pamoja na mambo mengine, kuonyesha ni kwa jinsi gani mama anawajibika na kuwa karibu na mwana, hasa pale anapopotea. Hii ni kwa mujibu wa "mischief interpretation"...
 
Nimekupata mkuu

Mambo haya ndio yanayosababisha bond kubwa sana kati ya mama na mwana na hadi hapo umuhimu wa mama kuwa "bright" unaonekana na kile kitendo cha akina mama kuwaachia watoto wale wasichana wa nyumbani ambao hawana uhakika na makuzi yao baada ya miezi mitatu tu ya kujifungua ni hatari sana

Tujilaumu wenyewe kwa "dunia" kuharibika!
 
mnaposoma biblia mjuwe kabisa ni tofaiti sana na unavyosoma gazeti la kiu na ijumaa.

kuna kitu kinaitwa bible knowledge, ni lazima umuombe roho mtakatifu na siyo roho mtakavitu kwanza ili akuongoze unapoisoma bible.

hilo andika mnalolijadili hapa linapatika katika agano la kale kitabu cha mithali. kwa kifupi hiki ni kitabu cha hekima za Suleiman kilichosheheni mafumbo.
 
Ngoja tuone kama tutaweza kujua hasa alichokua anamaanisha!
 
Eiyer, naamini umekutana na familia zilizovunjika. Unaonaje, watoto wenye chances za kufanikiwa kimaisha zaidi wanatokea wa single dad ama kwa single moms? Sikatai kuna single moms vimeo lakini naona chances za malezi mazuri ni mama anaposimamia manake hata akiwa na mahusiano mengine hatosahau wanae.

kitu kingine, haswa kwa wazee wetu above 50, akitangulia baba chances za mama kumfuata ni kubwa sana. Lakini mama mjane anaweza kuishi miaka 30 zaidi ya afya njema akifurahia na wanae.
 
Last edited by a moderator:

Hili la watoto kufanikiwa sijalifanyia utafiti lakini ngoja nijaribu kulikagua nitakuja na maelezo kulihusu

Zaidi sana nakubaliana na wewe kuhusiana na malezi kuja kumuamulia mtu hatma yake maishani

Huyu nae alilelewa na mama .......

Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom