Nini maana ya maneno haya?

Nini maana ya maneno haya?

kichwa kizito hapa nasubiri ufafanuzi
 
Eiyer mtoto mwenye mafanikio baba huwa karibu naye, mwenye matatizo hatupwi na mama. Mum always forgive and cares even if you mess up.
 
Last edited by a moderator:
Mama katupwa wapi hapa? ama andiko halijamalizika?
 
Eiyer mtoto mwenye mafanikio baba huwa karibu naye, mwenye matatizo hatupwi na mama. Mum always forgive and cares even if you mess up.

Point!

The better goes to the father for prestige..

The worse goes to the mother for laments..
 
Mithali 10:1
1 Mwana mwenye hekima humfurahisha babaye; Bali mwana mpumba.vu ni mzigo wa mamaye.

DSC01629.JPG

CHIPS.PNG

Waione Ntuzu , Mtambuzi , ladyfurahia , Kaunga , charminglady , Samaritan AshaDii , Basluma Original , Mkuu wa chuo , Phlagiey , Karucee , ICHANA , Asprin , Mr Rocky , Kaizer , Ishmaeli , Heaven on Earth , lara 1 , Zinduna , Fixed Point , KOKUTONA , kyanaKyoMuhaya , Bujibuji na wengine mje mnisaidie tafadhalini!

Mara nyingi mtoto akiwa msumbufu mama ndio anae umia sana akikumbuka uchungu alioupata wakati akiwa anajifungua.Maumivu anayopata baba ni tifauti na ya mama.Ndio maana mtoto -------- anakua mzigo kwa mama na si baba.
 
Baba hahusiki na malezi yake?
 
Baba hahusiki na malezi yake?

Mara nyingi muhusika mkuu kwenye malezi uwa ni mama.Na ndio maana kuna mstari unaosema mwanamke mwenye busara huamka asubui na mapema kabla giza alijaisha ili awaandalie watu wa nyumbani kwake, na si baba.
 
Always mtoto asipofanikiwa mama ndie hulaumiwa kwa kila kitu. Na mama ndie husononeka zaidi. Lakini mtoto akifanikiwa baba hujisifia na wala haikumbukwi kama mama aliwahi kuchangia lolote
Naapa kwa jina la mama na baba yangu sijawahi kumlaumu mama yako kwa lolote hata pale ulipofeli mitihani yako ya kidato cha kwanza.........
Nimekuwa nikiwajibika pale ninapohisi nina mchango katika jambo lolot ambalo halikuenda sawa katika familia au hata katika shughuli zangu za kawaida. Kwa hiyo naamini hilo ulilosema hapo juu niko nalo mbali mwanangu
 
Afadhali .........!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom