PostGE2025 Nini maana ya kuwa na waziri mkuu pamoja na makamu wa Rais?

PostGE2025 Nini maana ya kuwa na waziri mkuu pamoja na makamu wa Rais?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Powell Gonzalez

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2023
Posts
1,554
Reaction score
2,717
Kuna maana gani ya kuwa na waziri mkuu ambae anakuwa appointed na president, wakati huo huo tuna vice president ambae pia anaingia kitini kupitia ticket ya rais.

It's useless to have the PM as the head of the government, being appointed by an individual (President). It's even foolish to have both the vice president and the prime Minister. In this constitution, Mwalimu Julius alitupiga.

Kimsingi inatakiwa abaki mmoja, aidha tuwe na vice president au tuwe na prime minister. Na kama kuna ulazima wa kuwa na wote basi inabidi rais asihusike kivyovyote Kwenye mchakato wa upatikanaji wa PM.
Ni mawazo tu.

Truth is an offence but not a crime.
 
kwa ujinga wa katiba iliopo waziri mkuu ni kama rais wa tanganyika, muungano wa kijinga sana huu
 
Tanzania ni nchi ya maajabu matupu, sijui kama kuna nchi nyingine duniani ina makamu wa rais na waziri mkuu kwa pamoja na marais wawili.
 
katiba ina mapungufu
nchi maskii wabunge wa viti maalumu zaidi ya 100?
wana kazi gani? ofisi zai ziko api?

Tanzania kutoka kwenye umasikini ni never
 
Back
Top Bottom